#COVID19 Hizi chanjo za Corona zinaenda kuondoa herd immunity tuliyoipata nchini

Imani ni zaidi ya yote na hata vitu halisi tuvionavyo kwa macho ni matokeo ya imani ya rohoni.

Kiujumla Mungu huwa hashindwi, hajawahi kushindwa na hatashindwa daima kwa jambo lolote lile duniani na hata mbinguni.
 
Acheni kumsingizia Mungu kwenye mambo ya kishamba.
Mungu hajaondoa corona Tanzania.
Mungu hafanyi nusunusu, The same God aiponye Tanzania na UVIKO kisha ashindwe kuwaponya Watanzania na ufukara😃😃😃😃😃😅.
The same God aiponye Tanzania na UVIKO kisha Mungu huyohuyo ashindwe kumponya Magufuli a.k.a mungu wenu na magonjwa ya ajabu🤣🤣🤣
 
Acha upumbavu wewe,haya kama uliponywa basi ongezeni viwango vya utalii tupate pesa za kigeni kutoka kwa nyie mlioponywa.
 
Nimeshangaa waziri mkuu anaongea tena kwa bashasha na kumsifu daktari mmoja anayesemekana kabeba chanjo kwenye BEGI anapita mitaani kuchanja...sijajua ni mkoa gani ila hii chanjo haiifadhiwi kama mandazi...
 
Umerogwa wewe siyo bure
 

Mtaongea sana lakini ukweli kuwa Mungu ni mwenye Nguvu na Uweza Mkuu utabakia kuwa hivyo milele yote. Hakuwaahi kuwepo, hayupo na hatakuwepo wa kupindisha ukweli huo. Na kwa waumini wa kweli wa Mungu wa Mbinguni huta watoa hapo kwenye huu mtazamo. Haya mengine yote yatokanayo ni kazi ya shwetani na vikaragosi wake. Kazi yenu kila siku ni kuhangaika na JPM wakati mwenzenu mwendo/kazi yake hapa duniani kamaliza na imani aliilinda. Mkae mkijua Wamachinga (hilo likiwa ni moja kati ya mengine mengi) wanawasubiria mje na suluhisho lao.
 
kweli mkuu. hawa watu hawafai kabisa. Mungu wetu atatupigania hakika
 
Imani ni zaidi ya yote na hata vitu halisi tuvionavyo kwa macho ni matokeo ya imani ya rohoni.

Kiujumla Mungu huwa hashindwi, hajawahi kushindwa na hatashindwa daima kwa jambo lolote lile duniani na hata mbinguni.
Mbona huendelei kujifukiza nyungu?
 
Umeneena mkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…