Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 5,566
- 5,477
... acha utani na Luziferi kijana, elimu yake iko juu sana ya hizo bar codes zenu!Mungu ndiye alisema mpewe chanjo zenye bar codes. Kakuambia hana uwezo wa kutambua watu wake? Huyu ni shetani na maaujanja yake awawekee alama ili ajue watu wake ni wapi.
... acha utani na Luziferi kijana, elimu yake iko juu sana ya hizo bar codes zenu!
Ulinzi Wa Mungu upo juu ya kila binadamu!Hiyo haimaanishi usinywe dawa za malaria upatapo au usichanjwe Polio,Corona NK!Au usifunge mkanda kwenye gari,Ubarikiwe na kumbuka Corona IPO na inaua!Haya na iwe hivyo. Uwe na usiku/ siku njema yenye Ulinzi Mkuu wa Mungu wa Mbinguni na wala sio ulinzi wa hii chanjo ya corona.
Mkuu sisi sio wageni au watoto. Kuanzia March 2020 mpaka March 2021, vifo vya viongozi vilivyoteokea nchi hii, haijawahi kutokea katika historia ya nchi yetu; mnataka kusema matatizo ya moyo na "changamoto" za kupumua ndio zimekuja 2020!Shetani ni mshenzi kwelikweli maana kakujaza ujinga kuwa viongozi tena wakubwa hawafi na hata wakifa hawafi kwa staili hii ya hawa ya jinsi umauti wao ulivyo wafikia. Na shetani ni mshenzi kweli kweli kakuvuruga na umekubali kuvurugikiwa haswa. Shetani kawatia hofu kuu na mmekuwa watu wa ndimi mbili mbili mbele ya kamera.
Ndio kanisa lako hilo na biblia yako hiyo ??Mzukule wa mazinge utaujua tu.
Mungu wa Biblia hajajifungia kwenye box. Ndio maana ametupa sisi watoto wake Roho Mtakatifu msaidizi anaye ishi ndani yetu ili awe wa kutuelewesha Neno la Mungu. Huyu ni tofauti sana na yule anaye abudiwa mpaka na majini. Huyu wa kwetu ameweka bayana kwamba majini na bwana wao shetani sehemu yao muafaka ni lile ziwa liwakalo moto milele yote kule kuzimu aka jehanamu aka hell.
Acha uzushi wewe. Tuambie ni lini ulirudia chanjo ya ndui na surua.Haya machanjo hayafai. Yanaua Kinga ya mwili.
Baada ya muda mwili wako hautaweza kupambana hata na mafua mpaka udungwe chanjo lingine.
Utakuwa unadungwa michanjo mpakaa!
BUSINESS!
Mkuu sisi sio wageni au watoto. Kuanzia March 2020 mpaka March 2021, vifo vya viongozi vilivyoteokea nchi hii, haijawahi kutokea katika historia ya nchi yetu; mnataka kusema matatizo ya moyo na "changamoto" za kupumua ndio zimekuja 2020!
Ulinzi Wa Mungu upo juu ya kila binadamu!Hiyo haimaanishi usinywe dawa za malaria upatapo au usichanjwe Polio,Corona NK!Au usifunge mkanda kwenye gari,Ubarikiwe na kumbuka Corona IPO na inaua!
Mungu wa biblia ipi ?? KJV, NKV, QJV au biblia zaidi ya mamia tofauti ??
Mithali 20:5 inakutosha kukujibu. Lengo lako si zuri.Ndio kanisa lako hilo na biblia yako hiyo ??
hilo ndilo kanisa lako jipya na biblia yako ??Mithali 20:5 inakutosha kukujibu. Lengo lako si zuri.
Biblia hizi zote zina mtaja Mungu Baba, Mwana na Roho Mtakatifu. Zote zinatimiza kusudi la mwanadamu kwa Mungu wake lililoko Warumi sura ya 12 na aya ya1 hadi 2.
Sikushangai hiyo ni imani yako inavyo kufundisha kuwa kitabu kitukufu cha hiyo imani yako kinatakiwa kiandikwe kwa lugha moja tu. Ingawaje baadaye wako waliojiongeza wakaamua kukitafsiri kwa lugha nyingine ili kuwafikia wengi zaidi. Vinginevyo leo hii tungejiuliza mungu gani mwenye uwezo wa lugha moja tu? Ama utakuja kusema uongo kwamba tafsiri za lugha nyingine zilishushwa kutoka mbinguni au mungu aliwatumia wanadamu hawahawa wa mwili na nyama kukitafsiri?!
Wewe mungu wako ni yupi wa QJV aliyeruhusu ushoga au wa Jehovahs witness ambaye ni Jehovah na si Yesu ?? Au ni wa Satanic bible ambaye ni Shetani ??
Satanic Bilble na Qjv ninakuachia wewe.
Umeacha majina mengi mengine yanayo mtaja na kumaanisha huyu MUNGU WA MBINGUNI. Baadhi ni haya Yehovah, Yahweh/YHWH, Adonai, Elohim, Mungu wa Ibrahimu Isaka na Yakobo/Israeli nk.
Jibu swali unaloulizwa
Wewe mungu wako ni yupi wa QJV aliyeruhusu ushoga au wa Jehovahs witness ambaye ni Jehovah na si Yesu ?? Au ni wa Satanic bible ambaye ni Shetani ??
Ndiye mungu wako huyo na biblia yako hiyo ??Sipangiwi.
SipangiwiNdiye mungu wako huyo na biblia yako hiyo ??
Huyo ni roho mtakatifu wa kanisa lako pia ??Sipangiwi
Huyo ni roho mtakatifu wa kanisa lako pia ??