Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Ucha ujinga wewe huyo Mungu wako kama ananguvu alishindwaje kuzuia COVID isitokee duniani??Mtaongea sana lakini ukweli kuwa Mungu ni mwenye Nguvu na Uweza Mkuu utabakia kuwa hivyo milele yote. Hakuwaahi kuwepo, hayupo na hatakuwepo wa kupindisha ukweli huo. Na kwa waumini wa kweli wa Mungu wa Mbinguni huta watoa hapo kwenye huu mtazamo. Haya mengine yote yatokanayo ni kazi ya shwetani na vikaragosi wake. Kazi yenu kila siku ni kuhangaika na JPM wakati mwenzeni mwendo/, kazi yake hapa duniani kamaliza na imani aliilinda. Mkae mkijua Wamachinga (hilo likiwa ni moja kati ya mengine mengi) wanawasubiria mje na suluhisho lao.