Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,179
- 26,188
Kweli ujinga mzigo;Ukikosa neema ya Mungu iliyo bure sijui tuseme nini sasa? Unashindwa kutumia akili ndogo tu. Chanjo inayotolewa baaada ya wewe kusaini hati ya kukubaliana na lolote liwawalo. Hutumii akili uliopewa na Mungu kujiulizi kulikoni wajameni? Hizo chanjo za awali zilikuwa hivyo? Mungu akakupa Neema na Rehema yake ya huu upenyo wa hii kauli ya "chanjo ni hiari ya mtu" Napo tena hujiulizi tu kulikoni maana hizo za zamani ni lazima isiyo fuatiliwa kwa uzembe au kwa kuona muitikio wa kukubalika jwazo ni mkubwa. Bado ukajipeleka khaa! Aliye andikiwa kupotea ni wakupotea tu. Ndio hayo ya kujifanyia tathimini baada ya siku kadhaa hamna mwenye akili ya kujiuliza long term consequences ni zipi?
Suala sio kuwa nacho! Umekuwa nacho kwa njia gani? Ndio tuje kwenye hii kauli ya kuwa unachukia wenye nacho. Na wenye nacho wengine wanajistukia kuwa wanachukiwa kumbe hamna kitu kama hicho ni mahangaiko ya nafsi zao wakikumbuka walivyo kipata hicho kinachoitwa kuwa nacho.
-Mbona unapoenda kufanyiwa operation ndugu/wewe husaini fomu ili kukubaliana na lolote litalotokea!IUnashangaa nini utaratibu huo kwenye chanjo?
Chanjo hii imekuja kwa dharura kutokana na dharura yenyewe,isingewezekana kusubiri miaka 30 ili kujiridhisha wakati watu wanateketea!So majaribio ya muda mfupi yameleta matokeo chanya,ndio maana unasaini ili kama itakuletea madhara basi asilaumiwe mtu!
Hili ni jambo LA kawaida sana,wala huhitaji kuwa alarmed!
-Hakuna chanjo yoyote huko nyuma ambayo imewahi kuwa lazima!Hakuna matibabu ambayo yamewahi kuwa lazima!Ulichanjwa kwa hiari yako au wazazi wako!