#COVID19 Hizi chanjo za Corona zinaenda kuondoa herd immunity tuliyoipata nchini

#COVID19 Hizi chanjo za Corona zinaenda kuondoa herd immunity tuliyoipata nchini

Nimeshangaa waziri mkuu anaongea tena kwa bashasha na kumsifu daktari mmoja anayesemekana kabeba chanjo kwenye BEGI anapita mitaani kuchanja...sijajua ni mkoa gani ila hii chanjo haiifadhiwi kama mandazi...
Wenzako hawajali hata Kama haziwekwi kwenye fridge muhimu wao watu wachanjwe kumfurahisha mzungu ili waendelee kukopa.
Ndo maana hawataki hata kusema zinaexpire lini.
 
Mabeberu wanakereka sana kuona Tanzania hatukutumia wanazoziita "njia za kisayansi" kupambana na corona!! Badala yake Rais wetu wa wakati huo aliitisha maombi ya kufunga ya siku 3 Kitaifa. Mwitikio wa watanzania kwa maombi hayo ulikuwa mkubwa sana. Mabeberu wameshuhudia kuwa Tanzania tuko salama kuliko mataifa yote mengine yaliyojikita kwenye lockdown, chanjo, nk. Walitabiri tutaokota miili barabarani haikuwa hivyo!! Wametushuhudia tukijazana kwenye viwanja vya mpira bila barakoa, tulijazana kumuaga JPM bila barakoa!! Wamesubiri tuugue kwa wingi wamekata tamaa!! Kinachotafutwa sasa ni kufuta rekodi sahihi kuwa ni Mungu aliyetuponya!! Viongozi wetu wanashinikizwa kutoa data za corona na kusema kweli wamelazimika hata kupika takwimu ili tu kuwafurahisha mabeberu ili waachie mkopo wa corona!! Mbaya zaidi mabeberu wanashinikiza watu wachanjwe!! Lengo ni kuwa mbele ya safari waje kusema kilichowaokoa ni chanjo na siyo Mungu!!
Lakini jibu liko wazi, kama chanjo hazikufanikiwa kuwaokoa wao zingetuokoaje sisi?? Mabeberu wamechanjana chanjo moja haikutosha, wakachanjana ya pili bado haikutosha wanaendelea kuambukizwa na kuambukiza na kuugua na kufa wengine. Hivi sasa wanapanga kuchanja ya 3!! Kisha wachanjane booster mara kwa mara!! Kila siku marekani wanakufa zaidi ya 1000 kwa corona!! Kwetu hata hiyo chanjo moja haiwezekani kuenea kwa watu wote, itatuokoaje? Hizo chanjo millioni 1 imeshindikana kuisha hadi data za kupika zinaelekea kutumika!!
Watanzania tusifanye kosa la kumpokonya Mungu utukufu kwa kushawishiwa na wapagani wa kizungu kuchanja!! Hatuchanji ng'o!! Mungu alishatuponya na REKODI itabaki hivyo!! Mwisho wa siku tutyaona ni Mungu yupi anaokoa! mungu chanjo au Mungu YEHOVA muumba wa mbingu na nchi.
Brain damaged
 
Wewe ndiye uliyerogwa! Uzima ulio nao ni Mungu amekupa, halafu unajisikia vibaya watu kushuhudia uponyaji wa Mungu!! Lazima uwe na pepo mchafu!! Hivi Tanzania wangekufa kwa maelfu kama huko ulaya wewe ungepona? Ni Mungu katuponya ukiwamo wewe pia umeponywa na Mungu!! Endelea kukataa na usishangae Mungu akiamua kukunyima pumzi uone kama hutazimika kama koroboi!!
Huna uhalali wowote wa kunishauri juu ya maisha yangu wewe kajamba nani
 
Sio kwa chanjo hizi za kihuni.

Hamtaki kutumia tiba asili mnabugia matakataka ya mabeberu eti mnaita chanjo!

Hahahaa chanjoo!!!!
Toka umezaliwa mpaka Leo,umepata chanjo ngapi za hao unaowaita mabeberu?
Achana na mawazo ya kimasikini na kifukara,sio kila mwenye nacho unamfanya adui yako kuisafisha nafsi yako,huo ni ulimbukeni!
 
Toka umezaliwa mpaka Leo,umepata chanjo ngapi za hao unaowaita mabeberu?
Achana na mawazo ya kimasikini na kifukara,sio kila mwenye nacho unamfanya adui yako kuisafisha nafsi yako,huo ni ulimbukeni!
Jibu zuri sana kwa hao mazumbuku
 
Acha ujinga boss. Watu korona iliua ndugu na jamaa zetu wengi tu.

Acha ujinga weweee. Wa kufa kwa COVID wanakufa tuu kama wanavyokufa wengine kwa magonjwa mengi

Wapo ndugu zetu waliochanjwa COVID na wamekufa kwa COVID wapo wasiochanjwa pia
 
Mwendazake na inner cycle yake wamekufa hivi hivi kwa kukosa maarifa!

Unajua maana ya Kufa kwa Mkristo wewe? Ref Kuishi ni Kristo kufa ni faida. Achaneni huu ujinga wa mipasho mpaka kwa marehemu.
 
Mungu amempa binadamu maarifa ya kupambana na changamoto katika maisha!
Kupata chanjo sio kumkana Mungu bali ni kuutukuza ukuu wake!Mungu anajionesha kwa namna nyingi!Huenda Chanjo ndiyo jawabu alilolitoa Mungu kupitia mwanadamu kuwakomboa viumbe wake na Uviko!

Mungu ndiye alisema mpewe chanjo zenye bar codes. Kakuambia hana uwezo wa kutambua watu wake? Huyu ni shetani na maaujanja yake awawekee alama ili ajue watu wake ni wapi.
 
Mungu ndiye alisema mpewe chanjo zenye bar codes. Kakuambia hana uwezo wa kutambua watu wake? Huyu ni shetani na maaujanja yake awawekea alama ili ajue watu wake ni wapi.
Bidhaa ngapi ambazo unatumia zina Bar Code?Hats Soda unayokunywa INA Bar Code!Bar code ni mfumo tu wa utambuzi!
Ujinga ni mzigo!
 
Basi nenda kafunge siku 40 bila kula ili ufe katika kristo!!!!

Hatuendagi kiholelaholela tunaagizwa na Roho Mtakatifu cha kufanya. Bwana Yesu akamwambia shetani mtu haishi kwa mkate tu bali kwa kila Neno litokalo kwa Mungu. Hatari ya kuwa stomachi woshipaz ni hiyo utanaswa na shetani na hatima yako ni jehanamu.
 
Bidhaa ngapi ambazo unatumia zina Bar Code?Hats Soda unayokunywa INA Bar Code!Bar code ni mfumo tu wa utambuzi!
Ujinga ni mzigo!

Ndio maana nikakuambia shetani katumia mfumo huo wa utambulisho kutambua walio wake. Wewe ndio wa kunifundisha bar code ni nini?
 
Mabeberu wanakereka sana kuona Tanzania hatukutumia wanazoziita "njia za kisayansi" kupambana na corona!! Badala yake Rais wetu wa wakati huo aliitisha maombi ya kufunga ya siku 3 Kitaifa. Mwitikio wa watanzania kwa maombi hayo ulikuwa mkubwa sana. Mabeberu wameshuhudia kuwa Tanzania tuko salama kuliko mataifa yote mengine yaliyojikita kwenye lockdown, chanjo, nk. Walitabiri tutaokota miili barabarani haikuwa hivyo!! Wametushuhudia tukijazana kwenye viwanja vya mpira bila barakoa, tulijazana kumuaga JPM bila barakoa!! Wamesubiri tuugue kwa wingi wamekata tamaa!! Kinachotafutwa sasa ni kufuta rekodi sahihi kuwa ni Mungu aliyetuponya!! Viongozi wetu wanashinikizwa kutoa data za corona na kusema kweli wamelazimika hata kupika takwimu ili tu kuwafurahisha mabeberu ili waachie mkopo wa corona!! Mbaya zaidi mabeberu wanashinikiza watu wachanjwe!! Lengo ni kuwa mbele ya safari waje kusema kilichowaokoa ni chanjo na siyo Mungu!!
Lakini jibu liko wazi, kama chanjo hazikufanikiwa kuwaokoa wao zingetuokoaje sisi?? Mabeberu wamechanjana chanjo moja haikutosha, wakachanjana ya pili bado haikutosha wanaendelea kuambukizwa na kuambukiza na kuugua na kufa wengine. Hivi sasa wanapanga kuchanja ya 3!! Kisha wachanjane booster mara kwa mara!! Kila siku marekani wanakufa zaidi ya 1000 kwa corona!! Kwetu hata hiyo chanjo moja haiwezekani kuenea kwa watu wote, itatuokoaje? Hizo chanjo millioni 1 imeshindikana kuisha hadi data za kupika zinaelekea kutumika!!
Watanzania tusifanye kosa la kumpokonya Mungu utukufu kwa kushawishiwa na wapagani wa kizungu kuchanja!! Hatuchanji ng'o!! Mungu alishatuponya na REKODI itabaki hivyo!! Mwisho wa siku tutyaona ni Mungu yupi anaokoa! mungu chanjo au Mungu YEHOVA muumba wa mbingu na nchi.
Acha ujinga

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Toka umezaliwa mpaka Leo,umepata chanjo ngapi za hao unaowaita mabeberu?
Achana na mawazo ya kimasikini na kifukara,sio kila mwenye nacho unamfanya adui yako kuisafisha nafsi yako,huo ni ulimbukeni!

Ukikosa neema ya Mungu iliyo bure sijui tuseme nini sasa? Unashindwa kutumia akili ndogo tu. Chanjo inayotolewa baaada ya wewe kusaini hati ya kukubaliana na lolote liwawalo. Hutumii akili uliopewa na Mungu kujiulizi kulikoni wajameni? Hizo chanjo za awali zilikuwa hivyo? Mungu akakupa Neema na Rehema yake ya huu upenyo wa hii kauli ya "chanjo ni hiari ya mtu" Napo tena hujiulizi tu kulikoni maana hizo za zamani ni lazima isiyo fuatiliwa kwa uzembe au kwa kuona muitikio wa kukubalika jwazo ni mkubwa. Bado ukajipeleka khaa! Aliye andikiwa kupotea ni wakupotea tu. Ndio hayo ya kujifanyia tathimini baada ya siku kadhaa hamna mwenye akili ya kujiuliza long term consequences ni zipi?

Suala sio kuwa nacho! Umekuwa nacho kwa njia gani? Ndio tuje kwenye hii kauli ya kuwa unachukia wenye nacho. Na wenye nacho wengine wanajistukia kuwa wanachukiwa kumbe hamna kitu kama hicho ni mahangaiko ya nafsi zao wakikumbuka walivyo kipata hicho kinachoitwa kuwa nacho.
 
Back
Top Bottom