greenwoods
JF-Expert Member
- Sep 21, 2020
- 2,328
- 3,955
Kwani amekwambia amechanja?Mbona huendelei kujifukiza nyungu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani amekwambia amechanja?Mbona huendelei kujifukiza nyungu?
Hahaha, ila Corona ilikuwa ni mpango wa Mungu wanaomsema hawa jamaa, ikatuondolea kero ndani ya nchi! Ukitaka kujua jamaa alikuwa jinga ni vile kafa na gazeti lake la kutukana watu limekufa (Tanzanite), alikokuwa anaelekea huku mwishoni angeipeleka nchi kwenye vita, hakuwa mpenda amani hata kidogoNakuonya Corona Haipendi kabisa Dharau
Unaelewa Jinsi ilivyomalizana na Mzee Meko, Yule Mzee Mwendakuzimu
Mungu hajaribiwi, fungeni hospitali zote mwende kwenye maombi ili muone matokeo yake. Ikiwa Moses Kulola bingwa wa maombi alifia hospitalini yatosha kusema ACHENI UZWAZWA.Mabeberu wanakereka sana kuona Tanzania hatukutumia wanazoziita "njia za kisayansi" kupambana na corona!! Badala yake Rais wetu wa wakati huo aliitisha maombi ya kufunga ya siku 3 Kitaifa. Mwitikio wa watanzania kwa maombi hayo ulikuwa mkubwa sana. Mabeberu wameshuhudia kuwa Tanzania tuko salama kuliko mataifa yote mengine yaliyojikita kwenye lockdown, chanjo, nk. Walitabiri tutaokota miili barabarani haikuwa hivyo!! Wametushuhudia tukijazana kwenye viwanja vya mpira bila barakoa, tulijazana kumuaga JPM bila barakoa!! Wamesubiri tuugue kwa wingi wamekata
Idadi ya waliokufa mpaka sasa ni 714. Kuna idadi ya wagonjwa wanaopata naafu pia. Kwa ujumla suala zima la corona lipo kitakwimu zaidi kuliko haya masuala ya ramli.Mabeberu wanakereka sana kuona Tanzania hatukutumia wanazoziita "njia za kisayansi" kupambana na corona!! Badala yake Rais wetu wa wakati huo aliitisha maombi ya kufunga ya siku 3 Kitaifa. Mwitikio wa watanzania kwa maombi hayo ulikuwa mkubwa sana. Mabeberu wameshuhudia kuwa Tanzania tuko salama kuliko mataifa yote mengine yaliyojikita kwenye lockdown, chanjo, nk. Walitabiri tutaokota miili barabarani haikuwa hivyo!! Wametushuhudia tukijazana kwenye viwanja vya mpira bila barakoa, tulijazana kumuaga JPM bila barakoa!! Wamesubiri tuugue kwa wingi wamekata tamaa!! Kinachotafutwa sasa ni kufuta rekodi sahihi kuwa ni Mungu aliyetuponya!! Viongozi wetu wanashinikizwa kutoa data za corona na kusema kweli wamelazimika hata kupika takwimu ili tu kuwafurahisha mabeberu ili waachie mkopo wa corona!! Mbaya zaidi mabeberu wanashinikiza watu wachanjwe!! Lengo ni kuwa mbele ya safari waje kusema kilichowaokoa ni chanjo na siyo Mungu!!
Lakini jibu liko wazi, kama chanjo hazikufanikiwa kuwaokoa wao zingetuokoaje sisi?? Mabeberu wamechanjana chanjo moja haikutosha, wakachanjana ya pili bado haikutosha wanaendelea kuambukizwa na kuambukiza na kuugua na kufa wengine. Hivi sasa wanapanga kuchanja ya 3!! Kisha wachanjane booster mara kwa mara!! Kila siku marekani wanakufa zaidi ya 1000 kwa corona!! Kwetu hata hiyo chanjo moja haiwezekani kuenea kwa watu wote, itatuokoaje? Hizo chanjo millioni 1 imeshindikana kuisha hadi data za kupika zinaelekea kutumika!!
Watanzania tusifanye kosa la kumpokonya Mungu utukufu kwa kushawishiwa na wapagani wa kizungu kuchanja!! Hatuchanji ng'o!! Mungu alishatuponya na REKODI itabaki hivyo!! Mwisho wa siku tutyaona ni Mungu yupi anaokoa! mungu chanjo au Mungu YEHOVA muumba wa mbingu na nchi.
Kwani unatumia biblia ipi ? KjV, AV , NKJV,....au biblia nyengine kati ya mamia ya biblia ?
Kutoka kanisa lipi Na bibLia ipi ?
Chai za Biblia hizo zilizoandikwa na watu miaka zaidi ya 2500 iliyopita, hazina proofHata hizo dawa zinataratibu zake za kuzinywa. Haunywi tu kwasababu ya kunywa. Vinginevyo utajikuta kuishia kwenye ulaghai wa Shetwani. Ndio maana Naamani wa Biblia Kamanda Mkuu wa majeshi ya Siria japo kwa shingo upande alilazimika kupiga mbizi mara saba mto yoridani na akaponywa ukoma.
Baada ya kuona covid -19 inabandua walioitungia urongo mmoja baada ya mwingine wakaona daaah tutakwisha haya na tukubali matokeo...
Kapige mbiziHata hizo dawa zinataratibu zake za kuzinywa. Haunywi tu kwasababu ya kunywa. Vinginevyo utajikuta kuishia kwenye ulaghai wa Shetwani. Ndio maana Naamani wa Biblia Kamanda Mkuu wa majeshi ya Siria japo kwa shingo upande alilazimika kupiga mbizi mara saba mto yoridani na akaponywa ukoma.
Chai za Biblia hizo zilizoandikwa na watu miaka zaidi ya 2500 iliyopita, hazina proof
Corona imemchukua, sasa anatoshaje na hayupo?Kufa wewe basi asiye na faida
Kapige mbizi
Hayo ya kufunga hospitali unayasema wewe! Sisi tunasema tulimwomba Mungu mbele ya dunia yote na dunia yote imdshunudia Mungu akituponya!! Ukiangalia yaliyotokea na yanayoendelea kutokea duniani kote huwezi kukwepa kuuona mkono wa Mungu jliotuokoa!! Hata wanaokufuru bado nao Mungu aliwaokoa!! Ndiyo maana wako hai japo wanautumia uhai huo kumkufuru na kumkejeli Mungu. Lakini siku moja watakutana nays siku ya hukumu!!Mungu hajaribiwi, fungeni hospitali zote mwende kwenye maombi ili muone matokeo yake. Ikiwa Moses Kulola bingwa wa maombi alifia hospitalini yatosha kusema ACHENI UZWAZWA.
Mwendazake na inner cycle yake wamekufa hivi hivi kwa kukosa maarifa!Mungu wa Mbinguni si mufilisi wa uweza eti mpaka kurudia mbisi kama Naamani.
Mungu amempa binadamu maarifa ya kupambana na changamoto katika maisha!Hayo ya kufunga hospitali unayasema wewe! Sisi tunasema tulimwomba Mungu mbele ya dunia yote na dunia yote imdshunudia Mungu akituponya!! Ukiangalia yaliyotokea na yanayoendelea kutokea duniani kote huwezi kukwepa kuuona mkono wa Mungu jliotuokoa!! Hata wanaokufuru bado nao Mungu aliwaokoa!! Ndiyo maana wako hai japo wanautumia uhai huo kumkufuru na kumkejeli Mungu. Lakini siku moja watakutana nays siku ya hukumu!!
Hahahaaaa... hawa wahuni na machanjo yao ni shida mnoMbona wewe usiye mjinga hukufa zaidi ya kuleta porojo zako tu hapa?
Sio kwa chanjo hizi za kihuni.Huenda Chanjo ndiyo jawabu alilolitoa Mungu kupitia mwanadamu kuwakomboa viumbe wake na Uviko!