Mabeberu wanakereka sana kuona Tanzania hatukutumia wanazoziita "njia za kisayansi" kupambana na corona!! Badala yake Rais wetu wa wakati huo aliitisha maombi ya kufunga ya siku 3 Kitaifa. Mwitikio wa watanzania kwa maombi hayo ulikuwa mkubwa sana. Mabeberu wameshuhudia kuwa Tanzania tuko salama kuliko mataifa yote mengine yaliyojikita kwenye lockdown, chanjo, nk. Walitabiri tutaokota miili barabarani haikuwa hivyo!! Wametushuhudia tukijazana kwenye viwanja vya mpira bila barakoa, tulijazana kumuaga JPM bila barakoa!! Wamesubiri tuugue kwa wingi wamekata tamaa!! Kinachotafutwa sasa ni kufuta rekodi sahihi kuwa ni Mungu aliyetuponya!! Viongozi wetu wanashinikizwa kutoa data za corona na kusema kweli wamelazimika hata kupika takwimu ili tu kuwafurahisha mabeberu ili waachie mkopo wa corona!! Mbaya zaidi mabeberu wanashinikiza watu wachanjwe!! Lengo ni kuwa mbele ya safari waje kusema kilichowaokoa ni chanjo na siyo Mungu!!
Lakini jibu liko wazi, kama chanjo hazikufanikiwa kuwaokoa wao zingetuokoaje sisi?? Mabeberu wamechanjana chanjo moja haikutosha, wakachanjana ya pili bado haikutosha wanaendelea kuambukizwa na kuambukiza na kuugua na kufa wengine. Hivi sasa wanapanga kuchanja ya 3!! Kisha wachanjane booster mara kwa mara!! Kila siku marekani wanakufa zaidi ya 1000 kwa corona!! Kwetu hata hiyo chanjo moja haiwezekani kuenea kwa watu wote, itatuokoaje? Hizo chanjo millioni 1 imeshindikana kuisha hadi data za kupika zinaelekea kutumika!!
Watanzania tusifanye kosa la kumpokonya Mungu utukufu kwa kushawishiwa na wapagani wa kizungu kuchanja!! Hatuchanji ng'o!! Mungu alishatuponya na REKODI itabaki hivyo!! Mwisho wa siku tutyaona ni Mungu yupi anaokoa! mungu chanjo au Mungu YEHOVA muumba wa mbingu na nchi.