#COVID19 Hizi chanjo za Corona zinaenda kuondoa herd immunity tuliyoipata nchini

Watu wanakufa wewe unaleta habari za kinga za makundi.

Kwanza umesoma PCB,CBG ama PCM?

Unaelewa molecular biology? Kaa utulie mzee.

Mbona husemi kama wote wakipata chanjo inakuwaje.

Kula dozi mzee tusije tukakupoteza member wetu humu jamvini.
[emoji2][emoji28][emoji1241]
 
We changu unahangaika sana na CHADEMA una mimba Yao?
Duh..hebu soma coments zote hapo juu uone kama kuna mtu kataja neno changu?

Mwenzetu hii ndio biashara inayokuweka mjini ndio maana unaitaja sana ee? Sasa kwa taarifa yako humpati mtu hapa.
 
Wakati dunia imechanganyikiwa na kujifungia ndani, mtaalam JPM hakuangaika na hizo njia. Alishauri watu wapige nyungu, wale matunda, tangawizi na malimao, kisha maisha yaendelee!

Dunia na waliokuwa wanampinga walivyoona mwingiliano kama ule wa kwenye mwendokasi na viwanjani, walipiga kelele na kusema watanzania watakufa kwa mamilioni. Lakini cha ajabu na hasa baada ya kuondolewa woga, watz waliendelea na maisha kama kawaida.

Tukiacha unafiki na kishikiliwa akili na wazungu, Tz tumeshapata somo kubwa kuhusu korona. Imewezekana na maisha yameendelea kama kawaida bila kuwa “wafungwa wa korona“ . Lakini tumeshindwa kujifunza kwenye uzoefu wetu wenyewe! Tunasubiri mpaka mzungu aseme, ndiyo tutajifanya waelewa kwa ku quote alochoongea mzungu!
 
Kwahiyo ubalozi wa Marekani ni polisi?
Wamefuata nini sasa pale si Lisu alisema hamtahangaika, polisi wakitaka wakae nae au wamtoe wenyewe bila masharti?
 
We mtoa mada hujui, we ni kijana uliekaa na kusikiliza maneno tu ya mtandaoni
Hizo variant unazoziongelea ni aina mbalimbali ya Covid na hizo aina zinatokea baada ya mutation na sio chanjo kama unavyosema
Chango maana yake unachomwa na kuingiziwa wadudu wa Corona wasio na nguvu, af mwili unatengeneza wanajeshi wanauwa hizo weak virus, baada ya apo
 
Haya machanjo hayafai. Yanaua Kinga ya mwili.

Baada ya muda mwili wako hautaweza kupambana hata na mafua mpaka udungwe chanjo lingine.

Utakuwa unadungwa michanjo mpakaa!

BUSINESS!
 
Huyo mama ni kibaraka wa mabeberu!

She is unfit !
 
Kaka mbona unajidili mambo ambayo huelewi???
Ulisema : "Wachunguzi wanasema chimbuko la inayoitwa kwa kiingereza VARIANTS ni matokeo ya chanjo." -
Hebu tuambie: Mchunguzi gani?? Lini?? Wapi??? Taja chanzo!!!

Mabadiliko ya virusi SI TOKEO YA CHANJO. Kila virusi inaendelea kubadilika. Mfano virusi za Korona aina ya influenza (ni aina ya Korona pia) huathiri hasa nchi za kaskazini kila majira ya baridi. Wamebuni chanjo lakini wanahitaji kbadilisha chanjo kila baada ya miaka kadhaa kwa sababu virusi inabadilika. Virusi isiyobadilika haina uwezo wa kuruka kutoka wanyama (kama COVID) kustawi kwenye watu.

Acha kupiga makelele kwa kutumia maneno ambayo huelewi. Tafadhali!
 

Glass ya uelewa wako wa herd immunity bado haijajaa. Herd immunity inapatikana kwa moja (au combination) ya njia mbili: (1) previous infections and/or (2) through vaccination!
 
Wamefuata nini sasa pale si Lisu alisema hamtahangaika, polisi wakitaka wakae nae au wamtoe wenyewe bila masharti?

Acha kulazimisha, walisema hawataenda polisi kuwabembeleza na kweli hawajaenda. Au huo ubalozi wa US umeugeuza nao ni sehemu ya mbeleko ya ccm?
 
Kafie CHATO

Daaa Muda woore nimekaa hapa nasubiria analysis yako kumbe ndio hii imekuja hivi[emoji851][emoji30][emoji30]
Nilijua Utajibu Kitaalam Facts ili Mtoa mada aelewe na Sisi wasomaji Tuelewe tukuoe Kudos,
Kumbe Mwenzetu kabla ya Kujibu Umetafakari itikadi ya Mtoa mada ukajibu Itikadi ambazo Sisi Hazitusaidii,Kiufupu Ulichojibu Hakijatusaidia sisi wasomaji ama Mtoa mada,
Nadhani Hii hoja yako Inatakiwa Ku disappeared
 
Mkuu kuhusu chanjo tangu uzaliwe umechanjwa chanjo ya surua, pepopunda, usubi mpaka umefika umri huo umepata madhara gani na pia usitolee majibu ya moja kwa moja taarifa ambazo umezipata mitandaoni pasipo fanya uchunguzi hayo majibu yanapatikana maabara za uchunguzi wa dawa na tiba.
 
Kwa taarifa yako👇👇
Chanjo za corona ZITAONGEZA Herd immunity...The higher the level of immunity, the larger the benefit. This is why it is important to get as many people as possible vaccinated.
 
Sumu inawezaje kuokoa maisha wewe ngumbaru?

Ukishadungwa hayo machanjo yenye sumu yanaenda kuua kinga asili ya mwili.

Mwisho wake ni kufwaa tu au kuwa zombi.
Hiyo umeitoa wapi?!.. Aisee, nadhani hamna nchi Duniani ambayo kila mtu ni mtaalamu wa kila kitu kama Tanzania!
 
Kwa taarifa yako👇👇
Chanjo za corona ZITAONGEZA Herd immunity...The higher the level of immunity, the larger the benefit. This is why it is important to get as many people as possible vaccinated.
Hujui kilichotokea Seychelles iliyokuwa inaongoza kwa kuchanjwa watu wake?
Labda Kama una hoja nyingine leta.
 
Noma na nusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…