Jagina
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 8,428
- 4,022
Mungu wako anaitwa Sipangiwi ??Sipangiwi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu wako anaitwa Sipangiwi ??Sipangiwi.
Sipangiwi.Mungu wako anaitwa Sipangiwi ??
Miongoni mwa mambo machache ambayo aliyafanya kwa wazi na kwa kuonekana kote duniani Ni hili la chanjo, mpka kesho na kesho kutwa hakuna atakae bisha kuwa Mungu pekee alituvusha, hata hao wanaosema sijui hawaoni alichofanya ila waliona kwa macho kabisaaa, kuwa lockdown tuliisikia tu kwa watu,Mabeberu wanakereka sana kuona Tanzania hatukutumia wanazoziita "njia za kisayansi" kupambana na corona!! Badala yake Rais wetu wa wakati huo aliitisha maombi ya kufunga ya siku 3 Kitaifa. Mwitikio wa watanzania kwa maombi hayo ulikuwa mkubwa sana. Mabeberu wameshuhudia kuwa Tanzania tuko salama kuliko mataifa yote mengine yaliyojikita kwenye lockdown, chanjo, nk. Walitabiri tutaokota miili barabarani haikuwa hivyo!! Wametushuhudia tukijazana kwenye viwanja vya mpira bila barakoa, tulijazana kumuaga JPM bila barakoa!! Wamesubiri tuugue kwa wingi wamekata tamaa!! Kinachotafutwa sasa ni kufuta rekodi sahihi kuwa ni Mungu aliyetuponya!! Viongozi wetu wanashinikizwa kutoa data za corona na kusema kweli wamelazimika hata kupika takwimu ili tu kuwafurahisha mabeberu ili waachie mkopo wa corona!! Mbaya zaidi mabeberu wanashinikiza watu wachanjwe!! Lengo ni kuwa mbele ya safari waje kusema kilichowaokoa ni chanjo na siyo Mungu!!
Lakini jibu liko wazi, kama chanjo hazikufanikiwa kuwaokoa wao zingetuokoaje sisi?? Mabeberu wamechanjana chanjo moja haikutosha, wakachanjana ya pili bado haikutosha wanaendelea kuambukizwa na kuambukiza na kuugua na kufa wengine. Hivi sasa wanapanga kuchanja ya 3!! Kisha wachanjane booster mara kwa mara!! Kila siku marekani wanakufa zaidi ya 1000 kwa corona!! Kwetu hata hiyo chanjo moja haiwezekani kuenea kwa watu wote, itatuokoaje? Hizo chanjo millioni 1 imeshindikana kuisha hadi data za kupika zinaelekea kutumika!!
Watanzania tusifanye kosa la kumpokonya Mungu utukufu kwa kushawishiwa na wapagani wa kizungu kuchanja!! Hatuchanji ng'o!! Mungu alishatuponya na REKODI itabaki hivyo!! Mwisho wa siku tutyaona ni Mungu yupi anaokoa! mungu chanjo au Mungu YEHOVA muumba wa mbingu na nchi.
Kwanza kuibeba tu hvyo tayar haina kazi yake yaan unawekewa tu huenda kitu kingne ila c chanjo,Nimeshangaa waziri mkuu anaongea tena kwa bashasha na kumsifu daktari mmoja anayesemekana kabeba chanjo kwenye BEGI anapita mitaani kuchanja...sijajua ni mkoa gani ila hii chanjo haiifadhiwi kama mandazi...
Dah!... RIP
Mkuu mwenye Mwili Ni MUNGU, na ww binafsi huwezi kuupangia mwil ambao hujauumba matumizi, vingnevyo uwe unamwili wako tofauti na huo ulionao.. mwanadam hata siku 1 hafanyiwi majaribio, Sasa leo mwanadam anafanyiwa majaribio, Tena na watu ambao et wana akili, duh...Wayunani walisema, "Mungu husaidia wanaojiisaidia'
Mohammad (S.A.W) "Muamini Mungu,lakini mfunge ngamia wako".
Kumbukumbu ya Torati 28:8 Bwana ataiamuru baraka ije juu yako katika ghala zako, na mambo yote utakayotia mkono wako;..
Wachina walisema, "Mbingu huzawadia wenye bidii"
N:b Mungu hakumuumba binadamu 'empty box' Alimuumba na akili ili aweze kujisaidia pale inapobidi.
Acha kujitoa akili wewe, kama chanjo ni chapa hata walizopewa watoto wachanga (ikiwemo wewe) ni chapa.Unamatatizo ya kuelewa. Nimesema maandalizi ya kupigwa chapa ya mpinga Kristo. Sasa sina hakika labda huko kwenu kwamba kupigwa chapa ni matendo.
mwenye taaluma tupe majibu,why she dies ,while she already havn vaccine!!??kukosoa bandiko bila kutoa maelezo ,kwa nn afe kwa covd wakati alichanjwa ,huna tofauti na mtu asiyejua chochote!!Una taaluma yoyote ya Afya au ndio ukishakuwa na bundle, smartphone na vidole, umeshajua kila kitu.
Madaktari wa whatsapp ndio hao mkuu. Wanamkera sana Mama Gwajima.Una taaluma yoyote ya Afya au ndio ukishakuwa na bundle, smartphone na vidole, umeshajua kila kitu.
Mawazo ya mtu anayeamini sana taarifa za mitandaoni ni kama haya hapa. Unaamini kuwa wenye kutakiwa kuwa na ufahamu hawana ufahamu, unao ushahidi upi wa haya maneno uliyoandika?.Wanataakuma wengi wa afya hawana Taarifa za sasa(Current information)
Hivyo wanajua basic tuu,
Na hata wale wanaopata taarifa za Sasa za huu ugonjwa hawawezi kupeleka Maabara taarifa na Kuzifanyia kazi! Hivyo Kubaki na Kutegemea taarifa za Nje
Mimi nimechanjwa mwezi wa saba mwaka huu ni miezi mitatu imepita sasa na sioni tofauti yoyote ile mwilini mwangu. JPM alikuwa na uoga na vitu vigeni na ulimsumbua mpaka siku ya kifo chake.JPM, ndani yake nadhani mlikuwa na kisichoonekana chenye kumpa kuona mbaaaali sana! kwake ilikuwa ni bora afe yeye ila mtanzania asipate kitu kinaitwa chanjo ya korona, maana ni mpango mbovu juu ya afya ya badaye na uhai wa Taifa
Mpaka sasa, chanjo inasaidia kwa kiasi, ila hakuna hata mwanasayansi mmoja aliye thibitisha kuwa chanjo hiyo ni nzuri na inaubora wa kumhakikishia mtu kuwa salama hata baada ya miaka ijayo
Ninachosikitika ni kuwa hizi chanjo ambazo baadhi ya watu watazipa nchi zitaenda kuua herd immunity ambayo watanzania wengi kama sio wote nchini tulikuwa tumeipata kwa muda wa takribani miaka miwili.
Kwa wasiojua, herd immunity kwa lugha ya kawaida huitwa Kinga Kundi, hii ni aina ya kinga isiyo ya moja kwa moja (indirect immunity) dhidi ya ugonjwa inayotokea pale ambapo asilimia kubwa ya watu wana kinga dhidi ya ugonjwa husika iwe kwa njia ya maambukizo ya awali (kuugua kisha mwili ukatengeneza kinga).
Watanzania wengi sana kwa sasa korona kwao imekuwa ni kama ugonjwa wa mafua tu au uchovu kwa sababu miili yao imeishatengeneza kinga ya asili kutokana na kinga kundi(herd immunity). Wengi wanapoipata korona kwa sasa nchini wanapoteza uwezo wa kunusa na pia wanakosa hamu ya chakula na wanaharisha kidogo halafu baada ya siku kadhaa wanapona. Hii hali naamini inaenda kubadilika baada ya chanjo kuanza kutolewa nchini.
Kwa wasiojua ni kuwa kupata chanjo hakumzuii mtu aliyepata chanjo kupata korona lakini madhara yake ni kuwa, huyo aliyechanjwa halafu akapata korona, akimuambikiza mtu asiyechanjwa inakuwa ni korona hatari sana kwa aliyeambukizwa. Hii korona haikuchukui hata siku tatu unaondoka duniani kama hujawahi kupata matibabu haraka. Kibaya zaidi, hii korona inakula kidogo kidogo na inapofikia kwenye hatua za mwisho ndipo mtu unagundua pale unapokosa nguvu kwa ghafla.
Nchi nyingi za Afrika ambazo zilianza kutoa chanjo kwa wananchi wake zilijikuta ikiibuka korona nyingine kali iliyoshika kasi na watu kuanza kupoteza maisha ndio maana nchi hizo ziliamua kurudi tena kwenye lockdown.
Tusishangae baada ya hii chanjo kuanza kutolewa, namba ya watu kuanza kuugua korona au kufa itaongezeka sana nchini.
Wachunguzi wanasema chimbuko la inayoitwa kwa kiingereza VARIANTS ni matokeo ya chanjo. Hata variants zinaibuka kutokana na aina ya chanjo zinazotolewa kwa watu wa eneo hilo. Mfano Saouth Afrika iliibuka variants inayoitwa BETA baada ya wananchi kuanza kupatiwa chanjo ya Johnson and Johnson vaccine. Mpaka leo Afrika Kusini wako katika hali tete.
Kuna watu ninajua watakuja na hoja wakisema, basi ni bora tupate chanjo wote ili variants isitokee. Watakaouliza maswali haya lazima wajue kuwa hizi chanjo zinazokuja kwa nchi zetu hizi za Afrika niza wanasiasa, maofisa waandamizi wa juu serikalini, wafanyakazi wa afya, matajiri na familia zao. Kama hauko kwenye kundi hili utasubiri kupata chanjo kwa muda mrefu sana wakati VARIANT ikifanya kazi zake nchini.
Kwa mfano, Kenya pamoja na kelele zao za kujikinga na korona toka waanze kutoa chanjo wametoa kwa asilimia 1.5 ya wananchi wake wote. Ukichunguza kundi lililopata hizo chanjo ndilo nililolitaja hapo juu!
Watanzania tuko karibia milioni 60 kwa sasa ambapo Sensa ya Watu na Makazi ilisema idadi ya watu nchini ambao wako katika kundi la kufanya kazi ni 53% na pia kundi la wazee ni 6%. Hii inatuambia kuwa watu wanaotakiwa kuchanjwa nchini ni kama 60% ya watanzania kwa sababu watoto hawachanjwi.
Kwa hesabu ya kawaida pale juu, idadi ya Watanzania wanapaswa kupata chanjo ni milioni 36. Batch ya kwanza ya Johnson and Johnson vaccine iliyoingia nchini ni dozi milioni 1 kwa watu milioni 1
Population ya Dar es Salaam pekee ni watu karibia milioni 6 ambapo asilimia 60 ya wanaohitaji chanjo ni watu milioni 3 na laki 6. Hapo hujagusa mikoa mingine!
Mtu yuko kijijini eti unamsikia anasema twende tukachanje, hiyo chanjo utaipata wapi? Mpaka ikufikie ni majaliwa zaidi zaidi kama una bahati mbaya utafikiwa na mtu aliyechanjwa na kupata tena korona ambaye anakuja kueneza korona kali zaidi.
Mungu ibariki Tanzania!
Mkuu unamiaka mingap?? Unawatt?? Unajua madhira ya chanjo yanajitokeza baada ya mda gani?? Unajua kwa nn umechanjwa?? Unauhakika kuwa hutapata covd?? Na je hyo Kinga inakukinga na nn?? Na hicho unachojingika kinatokana na Nini??Mimi nimechanjwa mwezi wa saba mwaka huu ni miezi mitatu imepita sasa na sioni tofauti yoyote ile mwilini mwangu. JPM alikuwa na uoga na vitu vigeni na ulimsumbua mpaka siku ya kifo chake.
Mama Samia alichanjwa kabla yangu kipi kimemtokea mpaka dakika hii?.
Siku hizi umekuwa mjinga?Mimi nimechanjwa mwezi wa saba mwaka huu ni miezi mitatu imepita sasa na sioni tofauti yoyote ile mwilini mwangu. JPM alikuwa na uoga na vitu vigeni na ulimsumbua mpaka siku ya kifo chake.
Mama Samia alichanjwa kabla yangu kipi kimemtokea mpaka dakika hii?.
Ujinga ni wa watu wa aina yako wewe mkuu. Mnakuwa waoga wa kila kinachotoka huko nje utadhani mnalo suluhisho la uhakika la humu nchini.Siku hizi umekuwa mjinga?
Umesoma vizuri sana nilichiandika, ila umefanya maksudi kupotoa nilichoandika, huo ndio ujinga naousema
Nimeukuza, Ni mwanasayansi nani aliyekuja na utafiti kuonyesha chanjo ni salama hata miaka mingi ijayo, badala yake wewe unazungumzia miezi?
Acha ujinga bhana
😏Ujinga ni wa watu wa aina yako wewe mkuu. Mnakuwa waoga wa kila kinachotoka huko nje utadhani mnalo suluhisho la uhakika la humu nchini.
Mzungu kakuletea chanjo cha kila aina na hazijakuua mpaka umekuwa mtu mzima mwenye akili timamu za kujenga hoja humu ndani leo aache shughuli zote anazofanya kwa kutengeneza sumu ya kumuua mwafrika anayeshindwa kugundua hata pini au sindano ya kumsaidia yeye na familia yake!.
Neno mjinga umekimbilia kulitumia mapema mno.
Wewe ndio ndondocha maana wanaopinga hizi Propaganda za Corona na chanjo yake ni dunia nzima.Huko Ulaya kila siku wanaandamana kupinga chanjo, unataka kusema nako yupo jiwe?We kama umechanjwa utakua miongoni mwa watu wenye IQ ndogo sana duniani.Jiwe katengeneza mandondocha wengi sana sasa mwenyewe kaondoka hiyo mifugo yake inasumbua.
Mkuu waliothibitisha ubora wa chanjo ni hao wanaotuletea nyingi tu miaka na miaka na hazina matatizo yoyote kuanzia zile mimi na wewe tulichanjwa utotoni.😏
Ujinga ni kujibu kitu kisichosaizi yako,
Narudia tena, Ni nani aliyeithibitishia dunia kwamba, chanjo hizi zinaubora na kumhakikishia mlaji usalama wake hata ya miaka mingi?
Hujui...! kaa kimya, siyo kuleta habari za mzungu hapa na chanjo ya miaka ya mababu zako, hata hao wazungu hawajamalizana ujue?