Hizi chokochoko za KIDINI zinazo endelea zinachochewa zaidi na matamko ya TEC, kwa maslahi ya Amani ya Taifa letu naomba tuache.

zandrano

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
8,598
Reaction score
9,539
Kwenye msafara wa mamba, kenge na mijusi nao huingilia kati na matokeo yake ni uchafuzi, kwa sasa nchi yetu inaelekea kwenye uchaguzi mkuu....yatupasa kuelewa kuwa wapo maadui wasio itakia mema Nchi yetu wanaweza kutumia faida ya malumbano na matamko kutuingiza kwenye machafuko.
Nchi ikichafuka hakuna atakaye salimika, hivyo yatupasa kutumia busara na hekima kuyaendea mambo kuliko kila kitu kuita vyombo vya habari.
 
Nani anayeweza kuchafua amani ya nchi pasi na haki?
Kati ya yule anayeiba KURA CCM na wale wanaotaka uchaguzi ufanyike kwa usawa, uhuru, haki na uwazi!???
Jibu kama mtu mwenye akili timamu
 
Nchi ikichafuka hakuna atakaye salimika, huvyo yatupasa kutumia busara na hekima kuyaendea mambo kuliko kila kitu kuita vyombo vya habari.
KUNA MSABATO (SDA) MWENZIO HUKO TWITTER WANASEMA YEYE NDIYE CHANZO CHA KUPIGWA KWA MKATOLIKI .

TANGU ZAMANI NYIE WASABATO HUWA MNASHIDA SANA NA KANISA KATOLIKI.
 
Mkuu soma theory ya cause and effect, kisha njoo urekebishe uzi wako kwa kutuambia nani aache nini
 
KUNA MSABATO (SDA) MWENZIO HUKO TWITTER WANASEMA YEYE NDIYE CHANZO CHA KUPIGWA KWA MKATOLIKI .

TANGU ZAMANI NYIE WASABATO HUWA MNASHIDA SANA NA KANISA KATOLIKI.
Mimi SIO msabato, mimi ni Roman Catholic, ila sipendi kuliona kanisa langu lina nyooshewa vidole kwa kulaumiwa kuwa ndio chanzo cha uchochezi wa vurugu za kisiasa. Kumbuka sisi ni waumini lakina tuna ushabiki wa vyama tofauti hivyo si vyema Askofu/Padre kuonyesha msimamo wake wa kisiasa waziwazi. Watatugawa na kujaza chuki.
 
Kwenye msafara wa mamba, kenge na mijusi nao huingilia kati na matokeo yake ni uchafuzi, kwa sasa nchi yetu inaelekea kwenye uchaguzi mkuu....yatupasa kuelewa kuwa wapo maadui wasio itakia mema Nchi yetu wanaweza kutumia faida ya malumbano na matamko kutuingiza kwenye machafuko.
Nchi ikichafuka hakuna atakaye salimika, huvyo yatupasa kutumia busara na hekima kuyaendea mambo kuliko kila kitu kuita vyombo vya habari.

Ukisikia kaguna mtu ujue jiwe la gizani huyo limempata.

Poleni:

Screenshot_20250306-183123_1.jpg

Si fanyeni vyema muone? Mbona mtasifiwa mno tena si TEC tu, bali hadi na kina sisi!
 
Nani anayeweza kuchafua amani ya nchi pasi na haki?
Kati ya yule anayeiba KURA CCM na wale wanaotaka uchaguzi ufanyike kwa usawa, uhuru, haki na uwazi!???
Jibu kama mtu mwenye akili timamu
Ukishakuwa isiemu unajiona wewe ndio uka akili kuliko watu wote na pia hata kama uko uchi unajiona umevaa wala hutaki uambiwe ukweli, ulevi wa madaraka ni mbaya sana kuliko ule wa vilevi. SHAME Tanzania one of the poorest Shit hole countries.
 
Wapuuzi tu hawa. Wana hubris AMANI bila HAKI!?
Waasema kuna watu wanaua na kuteka watu kisha kuisingizia serikali!?
Yaani serikali hii inayojua mpaka mtu anachopanga kichwani ( taarifa za kiinteligensia ) wakati wa maandamano. Ishindwe kujua mtu anayepanga mauji ya watu?
 
Kwenye msafara wa mamba, kenge na mijusi nao huingilia kati na matokeo yake ni uchafuzi, kwa sasa nchi yetu inaelekea kwenye uchaguzi mkuu....yatupasa kuelewa kuwa wapo maadui wasio itakia mema Nchi yetu wanaweza kutumia faida ya malumbano na matamko kutuingiza kwenye machafuko.
Nchi ikichafuka hakuna atakaye salimika, huvyo yatupasa kutumia busara na hekima kuyaendea mambo kuliko kila kitu kuita vyombo vya habari.

Kukosekana kwa HAKI na Demokrasia ndiyo kiini cha kuwepo kwa hii mitafaruku yote kabisa inayoendelea
 
Mimi SIO msabato, mimi ni Roman Catholic, ila sipendi kuliona kanisa langu lina nyooshewa vidole kwa kulaumiwa kuwa ndio chanzo cha uchochezi wa vurugu za kisiasa. Kumbuka sisi ni waumini lakina tuna ushabiki wa vyama tofauti hivyo si vyema Askofu/Padre kuonyesha msimamo wake wa kisiasa waziwazi. Watatugawa na kujaza chuki.

100% wewe ni MSABATO kabisa ,rejea post zako za makambi ya kisabato kule TARIME.Ukiwa muungo uwe na kumbumbu vizuri. Usikane usabato wako kisa nimekuchoma
 
Kwenye msafara wa mamba, kenge na mijusi nao huingilia kati na matokeo yake ni uchafuzi, kwa sasa nchi yetu inaelekea kwenye uchaguzi mkuu....yatupasa kuelewa kuwa wapo maadui wasio itakia mema Nchi yetu wanaweza kutumia faida ya malumbano na matamko kutuingiza kwenye machafuko.
Nchi ikichafuka hakuna atakaye salimika, huvyo yatupasa kutumia busara na hekima kuyaendea mambo kuliko kila kitu kuita vyombo vya habari.
Wewe ni CCM tena chawa haswa na kufahamu vizuri ,pili wewe ni msabato .
 
Kwenye msafara wa mamba, kenge na mijusi nao huingilia kati na matokeo yake ni uchafuzi, kwa sasa nchi yetu inaelekea kwenye uchaguzi mkuu....yatupasa kuelewa kuwa wapo maadui wasio itakia mema Nchi yetu wanaweza kutumia faida ya malumbano na matamko kutuingiza kwenye machafuko.
Nchi ikichafuka hakuna atakaye salimika, huvyo yatupasa kutumia busara na hekima kuyaendea mambo kuliko kila kitu kuita vyombo vya habari.
Haya kwa mfano uchaguzi usimamiwe na Hao CCM na wale wanaounga mkono uchaguzi wa amani kwa kusema kuwa Amani kwanza na uchaguzi utakua huru .

Unakutana na watu wenye akili ya kulipa kisasi bila kuchelewa .Halafu mgombea wetu awe wa CUF ile ya Zamani ya itikadi ya kigaidi halafu Mkurugenzi mwenye roho moja na mwili mmoja usio na spear amekataa kumtangaza siku ya kwanza ya pili watu wanaongezeka yeye anatoka na kuingia kwa kiburi akisubiri sehemu nyingine watangaze ili polisi wote wahamie kwenye kituo chake kisha apindue matokeo ,Sasa unakutana na mapanga Shaa na Moto juu na gari lake na yeye mwenyewe anafinguwa kwenye ofisi na masanduku yake ya kura na kuchomwa moto .
Hapo amani imetoweka kwa sababu ya matamko ya Maaskofu au matamko ya mashehe wasioona mambo yajayo .

Mungu hana ushirika na dhulma .

Muhamad na Yesu walikuja baada ya watawala wa dunia kutawala kwa dhulma na watu maskini kuumizwa sana.
Kundi la matajiri siku zote linaangalia faida zao . Sasa serikali ya haki iko kwa ajili ya kuangalia haki za maskini katika ardhi waliyopewa na Mungu . Hiyo ndiyo kazi ya serikali na sio kuumiza watu au kutaka ukuu na heshima kwa dhulma na vitisho.

Kanisa limetaja mambo mawili Haki na amani . Kosa lao ni nini ?

Kuna mashehe wanasimama na Wenye nguvu kwa sababu ya Pesa na kusema amani tu hata kama hakuna haki watakaoona wanaonewa wakae kimya wavumilie kwa sababu utawala ni kwa zamu wasubiri zamu ya Rais mkristo waseme kwa sasa ni muislam wakae kimya watu wote wafuate nyayo maaskofu wakasema kama mnasema tukae kimya kwa sababu mtaondoa uhai wetu wetu sisi hatuogopi kufa kwa ajili ya haki ya wengi .

Mashehe wanasema basi tupo tayari kushirikiana na serikali kuwaua .

Nani anayevunja amani ya nchi ?

Jeshi la Wananchi kamwe halitakubali kukaa kimya kakundi ka wanasiasa wanaolipwa mabilioni ya pesa za walipa kodi halafu wanakiuka katiba na kuwaua watu wasio na hatia .

Wanajeshi wengi wanasali tofauti na polisi maana Jumapili ,Ijumaa na Jumamosi wanapata muda wa kwenda kumtii Mungu wa Majeshi na sio Mungu wa wanasiasa bali majeshi . Wanasiasa ni kakundi tu kamewekwa kidemokrasia za kibinadamu lakini utaratibu wa Mungu ni Jeshi kutawala kwa yule mwenye uzalendo zaidi na mwenye mbinu zote za kivita,kiuchumi kisiasa na kulileta jamii pamoja .

Mungu wa majeshi ni mkuu kuliko Samia . Hatishwi na amani ya mchongo huku wageni wakiwa wanapora rasilimali za nchi kwa kasi kubwa kwa sababu tu ni zamu yetu kuiba na ni lazima tuibe miaka kumi.
Amani ya dhulma haina faida mbele za Mungu maana anayependa shulma ni shetani sasa ilijipambanua kuwa ni mtawala wa dhulma kamwe hautapata amani ya kweli maana unaowadhilumu watachukua sheria mikononi .
Jino kwa jino halitawahusu Maaskofu bali wale wanaodhulumiwa.

Hivi padri Kitima anatishia gani kwa waislam maana Mwaipopo alimwandama sana na kutoa wito wa kumshughulikia . Tishio hilo ni lipi ?
Tangu lini kanisa limehamsisha wakristo kuvamia misikiti au kuua mashehe au kushambulia waislam?
Kwa nini waislam wakerwe na malalamiko ya haki yanayoonyesha serikali inapokosea na kuvunja katiba.

Hivi katika ya nchi inapovunjwa inawanufaisha nini Bakwata mpaka wafurahie wale wanaokosea kuuawa na kupigwa .
CCM ikitoka madarakani inawaumiza nini Bakwata mpaka waone kuwa yatatokea vita ?
 
Kosa la TEC ni KUJIHUSISHA MOJA KWAMOJA NA HARAKATI ZA CHADEMA/siasa, kama ni kudai HAKI na AMANI viongozi wote wa dini zote wana hubiri mambo hayo.
Tatizo la TEC wao wameonyesha msimamo wao waziwazi wa kuunga harakati za Chadema bila kujali kuwa wao ni viongozi wanao ongza waamini wenye vyama tofauti. hapo tu ndipo wanapo kosea. Wanapaswa wahubiri HAKI na AMANI bila kuegemea CHAMA chochote, wawe neutral.
 
Ukiachana na hizo chokochoko unazungumziaje hoja zao?
hoja za kudai HAKI na AMANI ni sawa kabisa, ila wao kama viongozi wa kidini wanapaswa wachukue tahadhari juu ya matamko yao kwani yanaweza kubomoa badala ya kujenga. Busara ni jambo la muhimu.
 
Kwenye msafara wa mamba, kenge na mijusi nao huingilia kati na matokeo yake ni uchafuzi, kwa sasa nchi yetu inaelekea kwenye uchaguzi mkuu....yatupasa kuelewa kuwa wapo maadui wasio itakia mema Nchi yetu wanaweza kutumia faida ya malumbano na matamko kutuingiza kwenye machafuko.
Nchi ikichafuka hakuna atakaye salimika, hivyo yatupasa kutumia busara na hekima kuyaendea mambo kuliko kila kitu kuita vyombo vya habari.
Nchi imeshachafuka muda mrefu tu. Wanaokemea, ni kuzuia uchafu usizidi kusambaa na kukita mizizi. Wanaozuia ni wanufaika wa uchafu.
 
Kosa la TEC ni KUJIHUSISHA MOJA KWAMOJA NA HARAKATI ZA CHADEMA/siasa, kama ni kudai HAKI na AMANI viongozi wote wa dini zote wana hubiri mambo hayo.
Tatizo la TEC wao wameonyesha msimamo wao waziwazi wa kuunga harakati za Chadema bila kujali kuwa wao ni viongozi wanao ongza waamini wenye vyama tofauti. hapo tu ndipo wanapo kosea. Wanapaswa wahubiri HAKI na AMANI bila kuegemea CHAMA chochote, wawe neutral.
😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Yaani siku hizi dhambi nayo ina vyama ?

Ukisema uzinzi ni dhambi inabidi uangalie chama gani wana kashfa nyingi za uzinzi ?
Hatari sana kwa hali hiyo.

Mnachoshindwa kuelewa ni kwamba Kanisa katoliki lina wasomi wengi na Maaskofu sio wahuni wa mitaani au wabangaizaji . Ni watu wanaofuatilia mambo kwa undani sana.

Aliyeanza kufungua macho watu kuhusu hali zao kuporwa ni Wakili Msomi Mwabukusi . Akiwaonyesha watu kwa uwazi ukiukwaji wa Sheria ya kulinda rasilimali za nchi .

Chadema ya Mbowe ilijitenga na harakati za Mwabukusi na wanaharakati wengine waliopinga uuzwaji wa bandari.

Akaitisha maandamano Chadema chini ya Mbowe wakagoma kushiriki na wakawakataza wanachama wao kushiriki .

Cha ajabu Wakajitokeza baadhi ya waislam kumpinga Mwabukusi .
Mbaya zaidi walikua wanatumia lugha wanayotumia sasa kuwa washughulikiwe wanaleta uvunjifu wa amani kwa sababu rais ni Muislam.

Samia hakujitokeza kukemea wale baadhi ya waislam waliokua husisha mambo ya kitaifa na dini yao . Huo haukuwa Udini .

Watanzania kwa sababu ya mitandao wakimuelewa sana Mwabukusi pakaibuka mwamko mpya wa kupigania rasilmali za nchi na kuwa na haki katika nchi ili kupata viongozi wazalendo .
Kanisa lilipoona mzozo mkubwa wa Bandari nao wakatoa ushauri wa kuwa serikali isiuze bandari kwa sababu inawezekana kupata watanzania wenye uwezo wa kusimamia vizuri . Maaskofu wakadhihakiwa sana na kutukanwa sana kwenye mitandao na akina Mwaipopo na vijana wa Bakwata na kuitwa mashoga na kila aina ya maneno mabaya . Rais hakutokea kukemea na kusema wanaotukana kwa mgongo wa usalama wanavunja amani bali wanashauri na kuonyesha suluhisho lake ndio wanaoleta ***** ***** .
Dr, Samia tena akataka kuwafukuza Wamasai wote kwenye maeneo yao ili awape waarabu wajenge mahoteli na viwanja vya ndege maana eneo la Laliondo halikuwa tosha na wanyama walizotuibia na kupelekwa Dubai hawatoshi .
Mwabukusi kapinga na wanaharakati wengine akiwemo Lisu . Shehe Mwaipopo na baadhi ya Waislam ndani ya CCM wakasema wamasai waliopo Ngorongoro sio watanzania hivyo waondolewe kwa nguvu warudishwe Kenya . Yaani Rais Samia bila hata kutafakari vizuri akaanza kupeleka magari ya Jeshi kwenda kuwahamisha na kuwatoa Wamasai kwa nguvu .

Kanisa likaonya kuwa kutumia nguvu kuhamisha Wamasai kuleta umwagikaji wa damu . Maaskofu wakatukanwa sana na kudhalilisha na akina Mwaipopo na Mwijaku na wasanii kibao wakawdhalilisha maaskofu na kuwaita mashoga eti wakemee ushoga sio kuingilia mambo ya serikali .

Hakuna kiongozi yoyote aliyekemea udhalilishaji huo .

Je, suala la Wamasai nani alikua sawa kati ya Maaskofu na Wale akina Mwaipopo .? Je, nani angeweza kuvunja amani ?

Sasa turudi tena kwa TEC .
Kwa sasa watu wote wenye akili nzuri ,wazalendo na wasomi wazuri wanamwelewa Sana Lisu , Heche na Lema .
Hawa watu hata polisi wenyewe wanawaelewa .
Sasa Kanisa limeona kuwa lisikae kimya maana wananchi wengi wanamamko mkubwa sana wa kuona kura zao zinaheshimiwa . CCM bado wanataka kutumia mbinu za kuiba kura na kushinda kwa lazima .

Hivi kwa mfano vijana zaidi ya Elfu 30 wakipiga kura zao na mitandao ya sasa wakapeana taarifa kuwa mgombea waliyemchagua ameshashinda halafu Tume ikagoma kumtangaza .Je , kwa uzoefu wa chaguzi kote duniani panakuwa salama ? Je, yaliyotokea Zanzibar 2001 viongozi wa dini wasubiri mpaka yatokee Tanganyika ndipo waseme ?

Joto la uchaguzi wa mwaka huu lipo juu sana maana CCM imepoteza mvuto sasa kukaa kimya kutaleta maafa makubwa maana kama Chadema wakigombea kwa tume iliyopo maafa yatakuwa makubwa sana maana CCM itabidi itumie nguvu kubwa sana ili kushinda . CCM wanajifanya wapole kwa sababu ya vyama vilivyojitokeza ni dhaifu .

Lakini pia anayoyasema Padri Kutuma sio ya Chadema bali Chadema ndio waliochukua ushauri wake kwenye kwenye Kongamano la jukwaa la Demokrasia na katiba.

Lakini pia Taasisi ya hali za binadamu na utawala bora wamesema sana juu ya marekebisho ya TUME, TAMWA, Shura ya maimamu n.k.

Hofu ya CCM na Samia sio uvunjifu wa amani bali ni kukosa kura . Amani ya Tanzania haijaleta na Samia wala CCM.

Amani imeletwa na wamisionary karne ya 18 mpaka leo nchi ina amani . Nyerere aligombea Uwaziri mkuu na kupiga kampeni nchi nzima chini ya mfumo wa vyama vingi kuanzia mwaka 1958 mpaka 1960 .
Hakuwahi kufanyiwa fujo na wananchi bali dola la waingereza ndio waliokua wanzuia mikutano yake kwa hofu yao wenyewe sio vita inayoletwa na Watanganyika.

Samia sidhani kuwa Wakristo wa Tanganyika wanamakambi ya kufundisha watu kutumia majambia na Kareti kama kule kwao Zanzibar . Huku kuna amani tele tunachotaka ni haki . Ooh amani amani amani utafikiri kuna vita . Amani ipo ndio maana CCM hawapotezwi wala kuuawa wala kupigwa .
Chadema ndio walipaswa kulalamikia amani sio CCM .
 
Back
Top Bottom