Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maumuvu yakorodani kwako yalikua endelevuBado kimya
Sasa mambo ya urology na mambo ya reproduction wapi na wapi?Hawez angukia pua huyo nidaktar professor kabisa wa urology anafahamika Sana tu Ila kashastaafu
Mkuu korodani hapo daktar muhisika ni urologySasa mambo ya urology na mambo ya reproduction wapi na wapi?
Ndiyo nikakuuliza urology na korodani wapi na wapi mkuu?Mkuu korodani hapo daktar muhisika ni urology
Korodani ushaenda kwenye mambo ya reproduction. Urology mfumo wa mkojo we unaona inasound?Ndiyo nikakuuliza urology na korodani wapi na wapi mkuu?
Tiba zilizomsaidia ndugu yangu mwenye shida kama yakoWasalaam wana jamii forums,
Ni muda tena natokea hapa jukwaani jioni ya leo nikiwa na shauku la kupata mwanga kuhusu upatikanaji wa dawa hizi za kuongeza ukakamavu kama mwanaume, kwani bila dawa hizi naweza kupatwa na mapungufu haya..
-Kuchoka mara kwa mara atakama sijafanya kazi yeyote..(fatigue). ata kama ni asubuhi,
-kuwa na msongo wa mawazo bila kuwa na ukomo.
-Kushindwa kumfikisha shemeji yenu kileleni (Baada ya kimoja chali,(ananilalamikia nina muhurumia)
-Kuwa na hasira kali za bila kujizuia.
-Kukonda kupita kiasi na uzito upo chini ya mfuko mmoja wa cement na nina zaidi ya miaka 40.
Kwa kifupi nina upungufu wa "Testosterone" ,tatizo hili linakuja baada ya kukosa Testes (Both testacles)...
Matibabu ya muda wote nimesoma mitandaoni na nimeona yapo yaani (Testosterone Replacement Therapy (TRT) na yana namna tatu:-
-Gel (TRT). mafuta ya kujipaka
-Pills,oral (TRT)-Vidonge vya kumeza.
-Injection (TRT)-Sindano.
Swali katika pita pita zangu kwenye maduka ya madawa (pharmacy), nimekutana na dawa za sindano ila hizi zina kera kuchomwa sindano kila mwezi kwa kweli hainifurahishi, nimeulizia mafuta (gel) wamesema hawana,
Swali la msingi,
Ni duka gani naweza kupata hizi gel (TRT) mkoa wowote hapa Tanzania.?. mimi nipo Dodoma kikazi,
Natanguliza shukrani zenu wanajf asante.