BinSalum7
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 1,733
- 3,847
Ushawahi kuwa na uwezo wa kusimamia show kazi kazi?mke wangu anataka walau vitatu kwa wiki ila mimi ni kimoja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushawahi kuwa na uwezo wa kusimamia show kazi kazi?mke wangu anataka walau vitatu kwa wiki ila mimi ni kimoja
Ulizaliwa bila korodani?? duuh!!Sina korodani na hilo tatizo linafahamika hospitalini na wao ndiyo wa kwanza kunipatia dawa ya kuchoma (injection) ila inachosha eti
Daah! ulipata matatizo gani? I feel your pain bro[emoji24][emoji22]Zilitolewa baada ya kupata matatizo
Ulipata tatizo gani mpaka wakazitoa balls zote mbiliSina kabisa nilitolewa naziona hivi
Ngoja nizitafute ntakutumia dm Ila consultation yake anachaji laki mojaAsante sana yupo mkoa gani nitampataje (contact)
Pole sana mkuu, nini kilisababisha ukatolewa?Sina kabisa nilitolewa naziona hivi
Ilikuwa vipi hadi ukatolewa? Ama ulikuwa na tatizo lipi lililopelekea?Sina kabisa nilitolewa naziona hivi
Soon, kuna mtu ataangukia pua huko PMNgoja nizitafute ntakutumia dm Ila consultation yake anachaji laki moja
Hawez angukia pua huyo nidaktar professor kabisa wa urology anafahamika Sana tu Ila kashastaafuSoon, kuna mtu ataangukia pua huko PM
Nimejikuta nazishika kama zimoHauwezi kupata sexual drive ikiwa hauna korodani . utatumia kila haina ya dawa/supplements/Mazoezi hautoweza kupona.
Usione hayo mazaga yananing'inia tu kwenye chupi yana maana kubwa
Ni pm ntakusaidia ukiona mabadiliko utanibarikiWasalaam wana jamii forums,
Ni muda tena natokea hapa jukwaani jioni ya leo nikiwa na shauku la kupata mwanga kuhusu upatikanaji wa dawa hizi za kuongeza ukakamavu kama mwanaume, kwani bila dawa hizi naweza kupatwa na mapungufu haya..
-Kuchoka mara kwa mara atakama sijafanya kazi yeyote..(fatigue). ata kama ni asubuhi,
-kuwa na msongo wa mawazo bila kuwa na ukomo.
-Kushindwa kumfikisha shemeji yenu kileleni (Baada ya kimoja chali,(ananilalamikia nina muhurumia)
-Kuwa na hasira kali za bila kujizuia.
-Kukonda kupita kiasi na uzito upo chini ya mfuko mmoja wa cement na nina zaidi ya miaka 40.
Kwa kifupi nina upungufu wa "Testosterone" ,tatizo hili linakuja baada ya kukosa Testes (Both testacles)...
Matibabu ya muda wote nimesoma mitandaoni na nimeona yapo yaani (Testosterone Replacement Therapy (TRT) na yana namna tatu:-
-Gel (TRT). mafuta ya kujipaka
-Pills,oral (TRT)-Vidonge vya kumeza.
-Injection (TRT)-Sindano.
Swali katika pita pita zangu kwenye maduka ya madawa (pharmacy), nimekutana na dawa za sindano ila hizi zina kera kuchomwa sindano kila mwezi kwa kweli hainifurahishi, nimeulizia mafuta (gel) wamesema hawana,
Swali la msingi,
Ni duka gani naweza kupata hizi gel (TRT) mkoa wowote hapa Tanzania.?. mimi nipo Dodoma kikazi,
Natanguliza shukrani zenu wanajf asante.