edwayne
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 8,919
- 9,797
Mzee hayo mazoezi ni kumfanya awe mkakamavu ila hamna chakula kinaweza ongeza sexual drive. Sexual drive ni hormones. Sasa hizo hormones zinatengenezwa kwenye pumbu tuu hapo lazima atumie vidonge au sindano za hiyo hormones kama vile mtu ansvyochoma insulin akiwa na kisukariZingatia nachoandika hapa utakuja kunishukuru. Fanya mazoezi ya mwili ya kukimbia,kuruka kamba,kuogelea,kuendesha baiskeli,kupanda milima n.k...kula vyakula vinavyoongeza sexual drive matunda kama tikiti,nanasi,ndizi na tende,tumia chai yenye tangawizi na mdalasini..Tumia sea food aina ya pweza na ngisi. Ingiza hivyo vitu kwenye utaratibu wako wa maisha ya kila siku. Siku ukiwa na mechi tengeneza juisi yenye mchanganyiko wa matunda hayo na viungo nilivyotaja.