Hizi dawa za kuongeza uanaume zinapatikana wapi hapa Tanzania?

Hizi dawa za kuongeza uanaume zinapatikana wapi hapa Tanzania?

Zingatia nachoandika hapa utakuja kunishukuru. Fanya mazoezi ya mwili ya kukimbia,kuruka kamba,kuogelea,kuendesha baiskeli,kupanda milima n.k...kula vyakula vinavyoongeza sexual drive matunda kama tikiti,nanasi,ndizi na tende,tumia chai yenye tangawizi na mdalasini..Tumia sea food aina ya pweza na ngisi. Ingiza hivyo vitu kwenye utaratibu wako wa maisha ya kila siku. Siku ukiwa na mechi tengeneza juisi yenye mchanganyiko wa matunda hayo na viungo nilivyotaja.
Vyakula ulivyotaja hapo natumia asilimia kubwa mtoe pweza na mazoezi nafanya nipo kwenye timu ya mpira ya mtaa ila kila siku zisogeazo nazidi shuka kiutendaji nguvu naishiwa nimekuwa mpweke mno
 
Zingatia nachoandika hapa utakuja kunishukuru. Fanya mazoezi ya mwili ya kukimbia,kuruka kamba,kuogelea,kuendesha baiskeli,kupanda milima n.k...kula vyakula vinavyoongeza sexual drive matunda kama tikiti,nanasi,ndizi na tende,tumia chai yenye tangawizi na mdalasini..Tumia sea food aina ya pweza na ngisi. Ingiza hivyo vitu kwenye utaratibu wako wa maisha ya kila siku. Siku ukiwa na mechi tengeneza juisi yenye mchanganyiko wa matunda hayo na viungo nilivyotaja.
Hauwezi kupata sexual drive ikiwa hauna korodani . utatumia kila haina ya dawa/supplements/Mazoezi hautoweza kupona.
Usione hayo mazaga yananing'inia tu kwenye chupi yana maana kubwa
 
Hauwezi kupata sexual drive ikiwa hauna korodani . utatumia kila haina ya dawa/supplements/Mazoezi hautoweza kupona.
Usione hayo mazaga yananing'inia tu kwenye chupi yana maana kubwa
Point ni kuwa hata kama hana hizo makitu asikariri lazima kwenda muda mreeefu ati atamridhisha ke....au basi material yangu ya kitambo
 
Videos za X zifungiwe maradufu la sivyo kitapatikana kizazi cha mazombi TZ.

1. WANAWAKE:

  • Ke wanajiduu kwa dildos
  • Ke wanajikadiria hadi nchi 16 kujiduu
  • Ke wanatengeneza makalio makubwa, hipsi, matiti, tumbo, ngozi, kucha, nywele hata vipochi manyoya bandia kuwaridhisha Me ambao hawatabiriki kimahusiano.
  • Ke wanaweka shabu ili vipochi manyoya view mnato.
  • Ke wanavaa taiti bandia zenye masponchi ya hipsi.
  • Ke wanajichua kwa ndizi na M.B.O bandia na chupa nyeti zote mbili.
  • Ke wanasagana na kufanywa mapenzi kinyume na maumbile.


2. WANAUME:

  • Me wanakuza M.B.O bandia kuridhisha Ke kiumbe kilichokataa uhalisia wake kiuumbwaji na kujiwekea vitu vingi bandia mwilini.
  • Me anang'ang'ana na vumbi la Kongo, viagra akishindana na alipotokea kumbe ndiyo anajiua kwa michubuko hadi kupata UKIMWI.
  • Me anahadaika kuiga visivyoigika hadi kuzama chumvini hatimaye kupata kansa za koo na midomo kuungua kama makalio ya nyani.
  • Me anajiua kushindana na kujijengea mwili 6 parks lakini anaishia kupigwa chini maana Ke hajawahi kujua anachokitaka kimahusiano.
  • Me anahonga Michepuko zaidi ya uwezo hatimaye Wazazi kufa njaa kwa kutowakumbuka.
  • Me kuongeza idadi ya single mothers sababu ya kuhadaika kuoa Ke ili wasaidiane kiuchumi kumbe kajipalia bomu linalolipuka muda wowote sababu pesa za Ke zimefungiwa sabufa.

VIDEO ZA X ZIFUNGIWE MARADUFU.



Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
"Sahil" ni kidonge kimoja kinauzwa buku tano. Waarabu hawakosei, nilimega ka nusu tu nikqmeza, nilipiga show ya mwana ukome wiki nzima. Katafute pharmacy mi niliijua baada ya kuagizwa na mzee mmoja mwenye miaka 70+ ndo nikaona niitest aiseee..... maajabu yamo
 
Anatupenda wote 😅😅
Screenshot_20230216-061916_Chrome.jpg
 
Wasalaam wana jamii forums,

Ni muda tena natokea hapa jukwaani jioni ya leo nikiwa na shauku la kupata mwanga kuhusu upatikanaji wa dawa hizi za kuongeza ukakamavu kama mwanaume, kwani bila dawa hizi naweza kupatwa na mapungufu haya..

-Kuchoka mara kwa mara atakama sijafanya kazi yeyote..(fatigue). ata kama ni asubuhi,
-kuwa na msongo wa mawazo bila kuwa na ukomo.
-Kushindwa kumfikisha shemeji yenu kileleni (Baada ya kimoja chali,(ananilalamikia nina muhurumia)
-Kuwa na hasira kali za bila kujizuia.
-Kukonda kupita kiasi na uzito upo chini ya mfuko mmoja wa cement na nina zaidi ya miaka 40.

Kwa kifupi nina upungufu wa "Testosterone" ,tatizo hili linakuja baada ya kukosa Testes (Both testacles)...

Matibabu ya muda wote nimesoma mitandaoni na nimeona yapo yaani (Testosterone Replacement Therapy (TRT) na yana namna tatu:-

-Gel (TRT). mafuta ya kujipaka
-Pills,oral (TRT)-Vidonge vya kumeza.
-Injection (TRT)-Sindano.

Swali katika pita pita zangu kwenye maduka ya madawa (pharmacy), nimekutana na dawa za sindano ila hizi zina kera kuchomwa sindano kila mwezi kwa kweli hainifurahishi, nimeulizia mafuta (gel) wamesema hawana,

Swali la msingi,

Ni duka gani naweza kupata hizi gel (TRT) mkoa wowote hapa Tanzania.?. mimi nipo Dodoma kikazi,

Natanguliza shukrani zenu wanajf asante.
Namm niko ddm ,tunaweza kuonana kuangakia jins ya kujijenga

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Tiba ya kwanza- kuimarisha misuli ya uume na nguvu za kiume.
👉Mahitaji👉 tikiti kipande 1, karoti 1
👉 parachichi 1,ndizi mbili
👉mfano day 1 Utaanza kula tikiti,👉karoti, parachichi Kisha ndizi(Kumbuka kuwa unabadilisha tunda la kuanzia) day 2 parachichi, tikiti, uwe una badilisha.

👉ndani ya siku 14, hakikisha haufanyi mapenzi ndani ya muda wa dawa. Acha kutazama x, usipige nyeto. Nihilist
 
Back
Top Bottom