Nihilist
JF-Expert Member
- Jun 11, 2022
- 226
- 353
- Thread starter
- #41
hapana ata mimi najiona nina mapungufu.Mayb inadepend na age💨💨🙌🙌...pia mtaftie kazi yoyote kama hana kazi💨🙌
Maana mahusiano yetu yana miaka minne na sijawahi ata siku moja kumuomba mimi kufanya mapenzi yeye ndiye huanza kinachofuatia ni kutafuta namna ya kumdanganya