Hizi dawa za kuongeza uanaume zinapatikana wapi hapa Tanzania?

Hizi dawa za kuongeza uanaume zinapatikana wapi hapa Tanzania?

Tiba ya kwanza- kuimarisha misuli ya uume na nguvu za kiume.
👉Mahitaji👉 tikiti kipande 1, karoti 1
👉 parachichi 1,ndizi mbili
👉mfano day 1 Utaanza kula tikiti,👉karoti, parachichi Kisha ndizi(Kumbuka kuwa unabadilisha tunda la kuanzia) day 2 parachichi, tikiti, uwe una badilisha.

👉ndani ya siku 14, hakikisha haufanyi mapenzi ndani ya muda wa dawa. Acha kutazama x, usipige nyeto. Nihilist
Jamani siyo nguvu za kiume tu ila mbadala wa korodani. je unafahamu kazi za korodani??
 
"Sahil" ni kidonge kimoja kinauzwa buku tano. Waarabu hawakosei, nilimega ka nusu tu nikqmeza, nilipiga show ya mwana ukome wiki nzima. Katafute pharmacy mi niliijua baada ya kuagizwa na mzee mmoja mwenye miaka 70+ ndo nikaona niitest aiseee..... maajabu yamo

jina tunaomba la hicho kidonge.
 
"Sahil" ni kidonge kimoja kinauzwa buku tano. Waarabu hawakosei, nilimega ka nusu tu nikqmeza, nilipiga show ya mwana ukome wiki nzima. Katafute pharmacy mi niliijua baada ya kuagizwa na mzee mmoja mwenye miaka 70+ ndo nikaona niitest aiseee..... maajabu yamo
Hebu naomba maelezo kidogo kuhusu hiki kidonge nifanye kutumia wakati nasubilia vilainishi (gel)..

Je ndicho kinaitwa hivi

"Divine Nutrition Triplex Fish Oil"​

Attachments

  • download (4).jpg
    download (4).jpg
    8.1 KB · Views: 11
Kwa Nini usiende hosp? Au hosp wamekuambia wameshindwa.kwa Nini mnakimbilia tu dawa? Wafanye tests nyingine.kwasababu hata prolactin ikizidi Kwa mwanaume anakua na symptoms kama ulizosema.Jamni msitumie tu madawa bila kujua dose gani inahitajika,mtakufaa
 
Laiti ungesoma habari kuanzia mwanzo ungeelewa kwamba ata huko hospital nilipita ila nikapewa dawa ya kuchoma sindano.....sasa habari ya kuchoma sindano kila mwezi nimechoka na nipo mbali na hiyo hospital, huku nilipo hawaelewi tatizo hilo...
 
  • Thanks
Reactions: Mit

Kweli sikusoma vizuri,nisamehe.ulienda zaidi ya hosp moja kupata ushauri tofauti? Kwasababu mara nyingi dawa hizi za mtaani zinaweza mtibu huyu akapona na huyu asipone au akaibua tatizo jingine.
 
Kweli sikusoma vizuri,nisamehe.ulienda zaidi ya hosp moja kupata ushauri tofauti? Kwasababu mara nyingi dawa hizi za mtaani zinaweza mtibu huyu akapona na huyu asipone au akaibua tatizo jingine.
Tena kubwa za kanda siyo vi-dispensary. ....
 
😂😂pepo kanitoka mtumishi. Ila kusema ukweli nimefarijika...kuanzia sasa najiamini. Brush kwa wingi.
Ngoja Katiba mpya ije tu .watu kama nyie wa dk 2 tutapendekeza muwe mnanyongwa kila mwisho wa mwezi! Mfie mbalii😖

Wapiga brush wapewe bonus kila mwezi 😀
 
Ngoja Katiba mpya ije tu .watu kama nyie wa dk 2 tutapendekeza muwe mnanyongwa kila mwisho wa mwezi! Mfie mbalii😖

Wapiga brush wapewe bonus kila mwezi 😀
Daah! Kama ni hivyo bora nirudi kwetu Ipilimo nikajifiche huko.

Au laa sivyo nijifunze brush ili nipate bonus.
 
Daah! Kama ni hivyo bora nirudi kwetu Ipilimo nikajifiche huko.

Au laa sivyo nijifunze brush ili nipate bonus.
😆😆😆 ipilimo tena😆😆...wakikunyonga niachie mashati yako nayaelewa kinoma....! Rip in advance
 
Mkuu chukua njia ndefu ya kujenga afya kwa chakula, piga chini kama miezi miwili misosi yote yenye asili ya acid, kula matunda na majani zaidi,karanga.
Nunua seamoss ina virutubisho vingi vinavyohitajika ktk mwili.
Issue kubwa ni mwili uwe katika hali ya alkalinity na unapata virutubisho.
Matunda yenye asili ya acid piga chini, nanasi, carot...
In some weeks tu mwili unaanza kuwa na nguvu.
Fanya pia kautafiti google juu ya vyakula vya acid,kwepa.
Pia kuna vibebeo vya maji au jags huwa zinafanya maji yawe na alkali,nunua. Wife mshirikishe hilo zoezi ili usiwe katika panic mode. Ni suala la kufanyia kazi pamoja nae.
 
Back
Top Bottom