Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 7,748
- 10,288
Nimeona wanataka aonekane ni rais wa watu na kiongozi mwenye huruma. Lakini kila kona Watanzania wanasema ni maigizo ten ya kitoto.
Mfano rais Kumuwekea mfungwa sikio ili anog'onezwe. Kupiga picha na wafungwa wakiwa wamekaribiana.
Lakini kidonda cha Oktoba 29 hakiwezi kumalizwa kwa drama.
Watanzania wa miaka aliyotawala Mwalimu Nyerere sio wa Leo