Hizi hapa baadhi ya Comments za WanaJf Mashabiki wa Simba walizitoa kabla ya Derby

Hizi hapa baadhi ya Comments za WanaJf Mashabiki wa Simba walizitoa kabla ya Derby

Dah! Kumbe nimeshikishwa huku, sikuwa na habari aisee. B... unataka nikataze na huku? Lol

Ova
Sasa si ulisema mwenyewe b…? Ukajimaliiiiza mwenyewe.
Ndio nimekuleta kikaangoni wananzengo wakukaange ukome siku nyingine kuichukulia poa Yanga.

Unikataze? Vibaya hivyo b… Huo udikteta huna.
 
Hovyoooo!!!
JamiiForums598407804.jpg
 
Sasa si ulisema mwenyewe b…? Ukajimaliiiiza mwenyewe.
Ndio nimekuleta kikaangoni wananzengo wakukaange ukome siku nyingine kuichukulia poa Yanga.

Unikataze? Vibaya hivyo b… Huo udikteta huna.
Kwa kweli siwezi b... hiyo ni hatua mbaya ya ubinafsi uliopitiliza, ambayo si tabia njema.

Ova
 
𝙐𝙏𝙊 𝙇𝙀𝙏𝙀𝙉𝙄 𝙏𝙄𝙈𝙐 𝙐𝙒𝘼𝙉𝙅𝘼𝙉𝙄[emoji16]

Nimeona andiko la Takadini anawaombea Utopolo wenzake eti Mechi isogezwe mbele, Poleni Sana 𝗨𝗧𝗢𝗣𝗢𝗟𝗢 ninyi Hii Mechi ilishapangwa uzuri Hali ya hewa inaruhusu Kwasasa labda mtafute njia Nyingine ya kukwepa hiki kipigo [emoji123].

Ewe mwanasimba Anza kusogea uwanjani Sasa muda Ndiyo huu tukawafumue Utopolo kwa pamoja uzuri tayari washajaa kwenye reli yetu Ni muda Sasa wakwenda kuwazalilisha Vibonde wetu wa msimu uliyopita na Ngao ya Jamii [emoji3].

#NOTE
Leo uto mkiingia tu uwanjani tunafunga mageti yote Hakuna mtu kutoa Timu Kama sikuile mlivyotukimbia, Kuku Nyie [emoji2957].

MOUD Mtanzania #Nainjoy.
Aaaahaaass
 
Back
Top Bottom