Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
- Thread starter
- #21
Umesema kweliAfrika viongozi wanawaza kuuza raslimali zetu na kudai hatuwezi kufanya chochote vitu kama hivi havianguki kutoka mbinguni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesema kweliAfrika viongozi wanawaza kuuza raslimali zetu na kudai hatuwezi kufanya chochote vitu kama hivi havianguki kutoka mbinguni.
US, Canada, Germany, Spain, actually nyingine ya ziada nimeiona ya Japan.Kwa kukisia zitakuwa Banks za UK au USA
Haziwezi hizo shughuli za kiuchumi bado kiwango chake kidogo sana hapa AfrikaNazo Banks za kilimo, biashara na miundombinu haziwezi kutoboa Afrika na kuwa powerful kwa namna ilivyo Afrika sasa?
Upo vyemaUS, Canada, Germany, Spain, actually nyingine ya ziada nimeiona ya Japan.
Damn, I've been around.
Basi tuna safari ndefu bado. Ila ni pesa nyingi sana tuna wachangia USA,China,UK na wenzake kutokana na projects nyingi tunazo fanya.Haziwezi hizo shughuli za kiuchumi bado kiwango chake kidogo sana hapa Afrika
Sasa Urusi iingie hapo kufanya nn wakati na wao ni maskini tu kama banana republic??Sijakuelewa mwanawane, unamanisha nini ukubwa wa nini? majengo au? kuwa worldwide? ebu kuwa smart basi alafu sijaona bank ya Urusi why
Ila tukikomaa tunaweza toboaMafanikio ya banking industry yanategemea sana kulingana na kukua kwa uchumi wa eneo. Kwa uchumi duni huu wetu huwezi kuwa na bank kubwa.
Bila kuwepo NMB na NBC hiyo list yako ni batili.
Ha ha ha😄Tangekinya CEO wa Benki (inayodaiwa Ni kubwa) anaenda kugombea Ubunge hukooo vijijini ili apate uteuzi. Halafu utegemee maajabu
Nashukuru nina akaunti kwenye bank namba moja duniani:LIST OF LARGEST BANKS
The following are lists of the largest banks in the world, as measured by total assests
By total assets
Industrial and Commercial Bank of China
China Construction Bank
Agricultural Bank of China
Bank of China
JPMorgan Chase
Mitsubishi UFJ Financial Group
Bank of America
HSBC
BNP Paribas
Crédit Agricole
The list is based on the April 2023 S&P Global Market Intelligence report of the 100 largest banks in the world. The ranking was based upon assets as reported and was not adjusted for different accounting treatments.
Accounting treatment affects the assets reported: for example, the United States uses US GAAP (as opposed to IFRS), which only reports the net derivative position in most cases, leading to US banks having fewer derivative assets than comparable non-US banks. If JPMorgan Chase reported under the IFRS, it would be ranked 4th on the list as of 2022, rather than 5th.
Banks by country or territory
Number of banks in the top 100 by total assets
Rank Country Number 1 China 20 2 United States 11 3 Japan 8 4 United Kingdom 6 France 6 Canada 6 South Korea 6 8 Australia 5 9 Germany 4 10 Spain 3 Netherlands 3 Singapore 3 Brazil 3 14 Switzerland 2 Italy 2 Russia 2 Sweden 2 18 India 1 Finland 1 Denmark 1 Belgium 1 Austria 1 Norway 1 Qatar 1 United Arab Emirates 1
UfisadiShida nini Afrika ?
Upo vyede👍Nashukuru nina akaunti kwenye bank namba moja duniani:
View attachment 2703239