Hizi hapa benki kubwa/bora duniani, Afrika bado changamoto. Tatizo ni nini?

Haziwezi hizo shughuli za kiuchumi bado kiwango chake kidogo sana hapa Afrika
Basi tuna safari ndefu bado. Ila ni pesa nyingi sana tuna wachangia USA,China,UK na wenzake kutokana na projects nyingi tunazo fanya.

Tutajikwamua vipi sasa hapa ?
 
Sijakuelewa mwanawane, unamanisha nini ukubwa wa nini? majengo au? kuwa worldwide? ebu kuwa smart basi alafu sijaona bank ya Urusi why
Sasa Urusi iingie hapo kufanya nn wakati na wao ni maskini tu kama banana republic??
 
Nashukuru nina akaunti kwenye bank namba moja duniani:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…