Gordian Anduru
JF-Expert Member
- Apr 16, 2021
- 369
- 747
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Microsoft point natumia kwenye laptopNaomba jina la hio app unayotumia kuzungushia
Nyie si ma GIANT sasa mbona unaitafuta Yanga kwenye msiba wenu mafanikio yenu ni Nguvu MojaLete na ya Utopoloo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Byuti byuti.
Napata wapiMicrosoft paint natumia kwenye laptop
Kutafuta mapungufu ya Simba hakuwezi kuinua rank ya Yanga kwenye viwango vya CAF. Unaonyesha jinsi gani ulivyo na upeo mdogo.
Kutafuta mapungufu ya Simba hakuwezi kuinua rank ya Yanga kwenye viwango vya CAF. Unaonyesha jinsi gani ulivyo na upeo mdogo. Itawachukua zaidi ya mwongo mmoja kuikaribia Simba kwenye viwango vya kimataifa,huu ni ukweli mchungu lakini utabakia kuwa
Ndiyo hapo unadhihirisha kuwa una utindio wa ubongo. Unachosema ni sawa na kupiga punyeto tu unajiongopea mwenyewe. CAF CL hakuna fluke wala bahashaYANGA inahitaji miaka 10 kufikia mafanikio ya AL AHLY lakini YANGA inahitaji mwaka mmoja tu kufuta futa rekodi zoote za Simba kwa mfano YANGA akicheza fainali ya CAFCL mwaka huu atakuwa amevunja kila rekodi ya SIMBA
UTINDIO NA PUNYETO MANENO HAYA YANADHIHIRISHA KUISHIWA HOJA UKWELI NI KWAMBA SIMBA HANA KOMBE LOLOTE AFRIKA NA HIVYO HANA UKUBWA WOWOTENdiyo hapo unadhihirisha kuwa una utindio wa ubongo. Unachosema ni sawa na kupiga punyeto tu unajiongopea mwenyewe
Huwezi jilinganisha wewe ukiyeko nafasi ya 84 na aliyeko nafasi ya 14, unadhihirisha tu kuwa wewe ni kilaza.Utindio na punyeto maneno haya yanadhihirisha kuishiwa hoja ukweli ni kwamba simba hana kombe lolote afrika na hivyo hana ukubwa wowote.....
YANGA inahitaji miaka 10 kufikia mafanikio ya AL AHLY lakini YANGA inahitaji mwaka mmoja tu kufuta futa rekodi zoote za Simba kwa mfano YANGA akicheza fainali ya CAFCL mwaka huu atakuwa amevunja kila rekodi ya SIMBA
Mwambie huyo Omera anafikiria kucheza fainali ni sawa na kunywa uji kuwa kila mjaluo anaweza kunywa uji.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unadhani kucheza fainali caf ni kama matako kila mtu anayo
Lini sasa mtafika finallyYANGA inahitaji miaka 10 kufikia mafanikio ya AL AHLY lakini YANGA inahitaji mwaka mmoja tu kufuta futa rekodi zoote za Simba kwa mfano YANGA akicheza fainali ya CAFCL mwaka huu atakuwa amevunja kila rekodi ya SIMBA