Hizi hapa Instagram page za Timu Kubwa vs Timu zetu, umegundua nini?

Hizi hapa Instagram page za Timu Kubwa vs Timu zetu, umegundua nini?

Kwa hyo hata Geita nae akicheza club bingwa ndo kavunja records za simba?kwel wewe zumbukuku...kuna kushiriki na kuna stage za kufikia kama quorter final or sem-final...sasa wew kila msimu unabutuliwa nje ndani hizo level utafikia lin?
Ndiyo Geita atakuwa amevunja rekodi zote za Simba na Yanga
 
Kutafuta mapungufu ya Simba hakuwezi kuinua rank ya Yanga kwenye viwango vya CAF. Unaonyesha jinsi gani ulivyo na upeo mdogo.

Itawachukua zaidi ya mwongo mmoja kuikaribia Simba kwenye viwango vya kimataifa, huu ni ukweli mchungu lakini utabakia kuwa ukweli.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyieee
01323d600e724ab797bb4ad3ab8c53a7.jpg
 
Nyie si ma GIANT sasa mbona unaitafuta Yanga kwenye msiba wenu mafanikio yenu ni Nguvu Moja
Unaumia na Simba ukiwa wapi???? Poleeeeeh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] 0.5

Byuti byuti
 
YANGA inahitaji miaka 10 kufikia mafanikio ya AL AHLY lakini YANGA inahitaji mwaka mmoja tu kufuta futa rekodi zoote za Simba kwa mfano YANGA akicheza fainali ya CAFCL mwaka huu atakuwa amevunja kila rekodi ya SIMBA
Final ipi hiyo ya kucheza utopolo?? FA? au?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usinichekeshee mie hapa. Khaaah
 
Utindio na punyeto maneno haya yanadhihirisha kuishiwa hoja ukweli ni kwamba Simba hana kombe lolote Afrika na hivyo hana ukubwa wowote

Kama kuna kombe lolote ambalo Simba analo na Yanga hana basi tutajie
Lakini kuhusu matusi hakuna tusi jipya endelea kutukana
Kama kombe lolote Nani mtani jembe uto mnalo?
 
Vilabu vya juu ya simba vyote vimebeba vikombe vikubwa lkn simba sc ina followers wengi zaid ya berkane, zamalek kadoro Al Ahly
 
Back
Top Bottom