Hizi hapa Instagram page za Timu Kubwa vs Timu zetu, umegundua nini?

YANGA inahitaji miaka 10 kufikia mafanikio ya AL AHLY lakini YANGA inahitaji mwaka mmoja tu kufuta futa rekodi zoote za Simba kwa mfano YANGA akicheza fainali ya CAFCL mwaka huu atakuwa amevunja kila rekodi ya SIMBA
Ni bora umeonyesha umahiri wako, kwa kutumia neno "Kwa Mfano".

Aiseeh hakunaga kitu kwa mfano, nyie chezeni mfike huko[emoji23].
 
Angalia ucje jikojolea hapo kitandani kwa ndoto hiyo
YANGA inahitaji miaka 10 kufikia mafanikio ya AL AHLY lakini YANGA inahitaji mwaka mmoja tu kufuta futa rekodi zoote za Simba kwa mfano YANGA akicheza fainali ya CAFCL mwaka huu atakuwa amevunja kila rekodi ya SIMBA
 
Ila watu wapumbavu huwa wanajiamini sana

Yaani Yanga acheze fainali za CAFCL kwa kutumia wazee aliowasajili? Halafu mwaka huu anachezaje hiyo fainali na imeshapita?
 
yanga tuna alama 0.5 hatujitutumui. Simba mna point 12 mmesababisha taifa kupeleka timu 4 lakini hamjatufikia sisi kwa mafanikio. Sisi tunalingana na al ahly, mamelod, na matimu makubwa makubwa na tunajulikana na kuogopeka afrika nzima.
 
YANGA inahitaji miaka 10 kufikia mafanikio ya AL AHLY lakini YANGA inahitaji mwaka mmoja tu kufuta futa rekodi zoote za Simba kwa mfano YANGA akicheza fainali ya CAFCL mwaka huu atakuwa amevunja kila rekodi ya SIMBA
Mkuu amka usije ukajikojolea bure.
 
Nyie si ma GIANT sasa mbona unaitafuta Yanga kwenye msiba wenu mafanikio yenu ni Nguvu Moja

IMG_0709.jpg
 
YANGA inahitaji miaka 10 kufikia mafanikio ya AL AHLY lakini YANGA inahitaji mwaka mmoja tu kufuta futa rekodi zoote za Simba kwa mfano YANGA akicheza fainali ya CAFCL mwaka huu atakuwa amevunja kila rekodi ya SIMBA

Short and clear.
 
Kwa hyo hata Geita nae akicheza club bingwa ndo kavunja records za simba?kwel wewe zumbukuku...kuna kushiriki na kuna stage za kufikia kama quorter final or sem-final...sasa wew kila msimu unabutuliwa nje ndani hizo level utafikia lin?
 
Back
Top Bottom