Hizi hapa Instagram page za Timu Kubwa vs Timu zetu, umegundua nini?

Kutafuta mapungufu ya Simba hakuwezi kuinua rank ya Yanga kwenye viwango vya CAF. Unaonyesha jinsi gani ulivyo na upeo mdogo. Itawachukua zaidi ya mwongo mmoja kuikaribia Simba kwenye viwango vya kimataifa,huu ni ukweli mchungu lakini utabakia kuwa

YANGA inahitaji miaka 10 kufikia mafanikio ya AL AHLY lakini YANGA inahitaji mwaka mmoja tu kufuta futa rekodi zoote za Simba kwa mfano YANGA akicheza fainali ya CAFCL mwaka huu atakuwa amevunja kila rekodi ya SIMBA
 
Ndiyo hapo unadhihirisha kuwa una utindio wa ubongo. Unachosema ni sawa na kupiga punyeto tu unajiongopea mwenyewe. CAF CL hakuna fluke wala bahasha
 
Utindio na punyeto maneno haya yanadhihirisha kuishiwa hoja ukweli ni kwamba Simba hana kombe lolote Afrika na hivyo hana ukubwa wowote

Kama kuna kombe lolote ambalo Simba analo na Yanga hana basi tutajie
Lakini kuhusu matusi hakuna tusi jipya endelea kutukana
 
Ndiyo hapo unadhihirisha kuwa una utindio wa ubongo. Unachosema ni sawa na kupiga punyeto tu unajiongopea mwenyewe
UTINDIO NA PUNYETO MANENO HAYA YANADHIHIRISHA KUISHIWA HOJA UKWELI NI KWAMBA SIMBA HANA KOMBE LOLOTE AFRIKA NA HIVYO HANA UKUBWA WOWOTE
KAMA KUNA KOMBE LOLOTE AMBALO SIMBA ANALO NA YANGA HANA BASI TUTAJIE
LAKINI KUHUSU MATUSI HAKUNA TUSI JIPYA ENDELEA KUTUKANA
 
Utindio na punyeto maneno haya yanadhihirisha kuishiwa hoja ukweli ni kwamba simba hana kombe lolote afrika na hivyo hana ukubwa wowote.....
Huwezi jilinganisha wewe ukiyeko nafasi ya 84 na aliyeko nafasi ya 14, unadhihirisha tu kuwa wewe ni kilaza.
 
YANGA inahitaji miaka 10 kufikia mafanikio ya AL AHLY lakini YANGA inahitaji mwaka mmoja tu kufuta futa rekodi zoote za Simba kwa mfano YANGA akicheza fainali ya CAFCL mwaka huu atakuwa amevunja kila rekodi ya SIMBA

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unadhani kucheza fainali caf ni kama matako kila mtu anayo
 
YANGA inahitaji miaka 10 kufikia mafanikio ya AL AHLY lakini YANGA inahitaji mwaka mmoja tu kufuta futa rekodi zoote za Simba kwa mfano YANGA akicheza fainali ya CAFCL mwaka huu atakuwa amevunja kila rekodi ya SIMBA
Lini sasa mtafika finally
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…