Hizi hapa Jezi mpya za yanga zavuja kabla uzinduzi

Wewe Zile Jezi Ni Kali Huwez Fananisha Na Za Kwenu Zile Kila Sehemu Matangazo Ya Mo, Ngowi Hawezi Design Upuuzi Kama Huo Mnaosambaza Nyie Makolo Aweke Majengo Kwenye Jezi Kwani Ni Shati Hilo.
Wee upooooo????? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Byuti byuti.
 
Hiyo ya kijani watubadilishie wasilete ugai gai jezi halina hata mood ya kuvaa bwana.

Halafu ndo ya home sasa dah.
 
Hiyo ya kijani watubadilishie wasilete ugai gai jezi halina hata mood ya kuvaa bwana.

Halafu ndo ya home sasa dah.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sensaaaa hoyeeeee!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…