Hii tabia ya kubambikiana watoto haijaanza Leo!
Tangu enzi za mabibi na mababu tabia hii ilikuwepo!
Kipindi hiko wamama walitumia njia hiyo kama mbinu ya kubakiza mbegu duniani ili kukwepa magonjwa ya kurithi!
Magonjwa kama ya siko cell, kifafa, LAANA ZA KURITHI n.k Viliwasumbua kizazi cha zamanj!
Hivyo wanawake waliamua kuitumia mbinu hii kama (buckus) ya kizazi chao!
Walitambua kuzaa mitoto mingi kwa baba mmoja ni sawa na kuweka mayai kwenye kapu moja! Walioogopa sana laana za kurithi kiwatafna watoto wote jumla jumla!
Katika orodha ya watoto 8 kwenye tumbo lao walihakikisha wanachomekeemo vitoto viwili vya inje ili kama ikitokea uwepo wa magonjwa hatari basi watoto wasife wote!
Kadri dunia inavyosonga hata malengo ya kinamama yanaongezeka siku hadi siku;
Kizazi cha Leo hakiko mbali sana na waliyofanya mabibi enzi hizo!
Sasa hivi wamama wengi hawabambiki waume zao watoto kwasababu za magonjwa tu Bali kwasababu zingine zifuatazo!
1. Baadhi hawataki kuzaa na waume zao kutokana na sura mbovu (hivyo wanabambika mimba mwanzo mwisho)
2. Wanaolewa na mtu asiyempenda kwa sababu ya kifedha lakini moyoni hayupo
3. Wanapenda show off! Hasa wakigundua watoto wa awali wamezaa hawana mvuto kwenye mapicha picha hivyo wanahakikisha wanachomekeemo kitoto cha kuja kupost
4. Kuwafurahisha waume zao ambao wanonekana ni mahanithi angalau ndoa iendelee kujibu
5. Bahati mbaya katika kuchepuka wanapewa mimba na wanaamua kuzaa.
Mtoto wa kwanza, Wa pili, wa tatu, wa nne, wa tano KAMA hujabambikwa BRO MSHUKURU SANA MUNGU SANA.....
Lakini ukiona wa kwanza masikio yamelala ,wa pili masikio yamelala mara paap mtoto wa tatu Masikio yamesimama kama sungura! Jiulize sana lakini usithubutu kumuacha mkeo! Michezo hiyo iko tangu zaman!
Kaeni na wazee vizuri!