Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Sasa ulimsaidiaje?Halafu wanawake mda mwingine huwa ni kama wanachekesha nakumbuka demu mmoja WA Kenya alitaka mtoto kwangu kisa dimpozi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa ulimsaidiaje?Halafu wanawake mda mwingine huwa ni kama wanachekesha nakumbuka demu mmoja WA Kenya alitaka mtoto kwangu kisa dimpozi
Ndio pale akili inakataa ila moyo unapiga konde ukisema dawa zipo tuKwahiyo uliepukaje huo Ukimwi na unajua njaa inavyo waka pisi ikija getto.
mnara una simamia speed 350 Kph [emoji23][emoji117] malizia stori mkuu.
Nilipita naye sababu demu mwenyewe na tayali nishajaza uzuri ni kuwa anatokea familia nzuriSasa ulimsaidiaje?
Kwenye mapenzi kama hayo, anayevutiwa sana na mwenzake pia akawa na malengo maalumu kama hivyo, ilitakiwa umfanye na hela atoe akupe, tena tozo la maana.Nilipita naye sababu demu mwenyewe na tayali nishajaza uzuri ni kuwa anatokea familia nzuri
Tuko pamoja kitanda hakizai haramUsiogope
Dah huyu demu ni history kidogo ndefu lakini kiujumla ameniwezesha pakubwa Sana ukizingatia Mimi nilikuwa unga unga mwana lakini siwezi zungumzia mafanikio yangu bila njia zake alizonipitisha na kuniwezesha kiasi Fulani na ndio sababu mpaka sasa nipo naye japo sio naishi naye mana wanawake WA kenye kuishi nao inahitaji moyo SanaKwenye mapenzi kama hayo, anayevutiwa sana na mwenzake pia akawa na malengo maalumu kama hivyo, ilitakiwa umfanye na hela atoe akupe, tena tozo la maana.
Au mkuu uliambulia tu kupiga mkia kwa kugawa mbegu Taifa jirani na kudisturb takwimu ya sensa bila sababu?
Kwa taarifa yako hawa viumbe, ukiona lengo lake kwako ni mbegu tu, elewa hauwezi "kumfuga".
Sasa najiuliza, nature ya baiolojia inavyoruka ruka katika uumbaji wa mtoto tumboni, akaja kufanana na bibi yake baba yake, hana hata dimpoz alizozitamani kwako itakuwaje!
Hapo Bilnenga mtupuNgoja nisindikize uzi na picha ya Mobeto akiwa na mwanae aliyemzaa kwa Diamond PlatnumzView attachment 2437763
[emoji23][emoji23][emoji23] Wanawake bhanaNi kawaida sana BRO! tena siku hizi hawafichi utasikia ....... Naomba mbegu bhasi!
Yaani hawaogopi utazani wanaomba pembejeo za kilimo!
[emoji23][emoji23][emoji23]Hapa lilikufa jitu kudadeki zaoNgoja nisindikize uzi na picha ya Mobeto akiwa na mwanae aliyemzaa kwa Diamond PlatnumzView attachment 2437763
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hatari na nusuHahaa na mie sina mke tuwasalimie tu mademu zetu
Hapa ndipo nakubaliana na wewe. Lakini pia mpango wa Mungu kuwaumba Hawa viumbe ilikuwa kwamba tuwe tunasonga wanasepa na kuzaaa. Shida ilianza tulipoanza kujimilikisha Hawa viumbe Wakati nature ilihitaji wawe wa wote. Leo unapita wewe kesho mwingine, hivyo hivyo. Ndiyo maana hawaachi kurudi kwenye asili Yao.Kifupi ni kwamba wanaume tupo kwa ajili ya kukamilisha mission.
Wake tunaoishi nao hatupo kwa mapenzi yetu bali ni ukamilifu wa mission zetu. Hivyo basi itategemea umeikamilishaje mission yako. Kila mbegu imtokayo mwanaume inaleta kiumbe hapa duniani, iwe kwa kujichua ama kukojolea kikojoleo mahsusi. Hii ndio inakamilisha ile nadharia ya kwamba sisi wanaadamu wote sio NDUGU, mwanamke yupo kama GATE tu ya kuleta viumbe duniani awe cha kibinaadamu ama kinyume chake. Kwahiyo usioe kwa kutegemea kwamba watoto utakaowazaa na huyo mwanamke ni wa kwako wewe ni sababu tu, huna unachomiliki kuanzia huyo mtoto\watoto mpaka huyo mwanamke. Kila kitu kipo katika mpangilio maaalum. Kama hujanielewa wewe ni jeuri na kiburi. Watoto wanakuja wakiwa full package kutoka huko kwa wanaowapandikiza hizo mimba usiku.
Usigeneralise hii ni Tabia ya kichagga. Simulia pia mtoto wa babaHii tabia ya kubambikiana watoto haijaanza Leo!
Tangu enzi za mabibi na mababu tabia hii ilikuwepo!
Kipindi hiko wamama walitumia njia hiyo kama mbinu ya kubakiza mbegu duniani ili kukwepa magonjwa ya kurithi!
Magonjwa kama ya siko cell, kifafa, LAANA ZA KURITHI n.k Viliwasumbua kizazi cha zamanj!
Hivyo wanawake waliamua kuitumia mbinu hii kama (buckus) ya kizazi chao!
Walitambua kuzaa mitoto mingi kwa baba mmoja ni sawa na kuweka mayai kwenye kapu moja! Walioogopa sana laana za kurithi kiwatafna watoto wote jumla jumla!
Katika orodha ya watoto 8 kwenye tumbo lao walihakikisha wanachomekeemo vitoto viwili vya inje ili kama ikitokea uwepo wa magonjwa hatari basi watoto wasife wote!
Kadri dunia inavyosonga hata malengo ya kinamama yanaongezeka siku hadi siku;
Kizazi cha Leo hakiko mbali sana na waliyofanya mabibi enzi hizo!
Sasa hivi wamama wengi hawabambiki waume zao watoto kwasababu za magonjwa tu Bali kwasababu zingine zifuatazo!
1. Baadhi hawataki kuzaa na waume zao kutokana na sura mbovu (hivyo wanabambika mimba mwanzo mwisho)
2. Wanaolewa na mtu asiyempenda kwa sababu ya kifedha lakini moyoni hayupo
3. Wanapenda show off! Hasa wakigundua watoto wa awali wamezaa hawana mvuto kwenye mapicha picha hivyo wanahakikisha wanachomekeemo kitoto cha kuja kupost
4. Kuwafurahisha waume zao ambao wanonekana ni mahanithi angalau ndoa iendelee kujibu
5. Bahati mbaya katika kuchepuka wanapewa mimba na wanaamua kuzaa.
Mtoto wa kwanza, Wa pili, wa tatu, wa nne, wa tano KAMA hujabambikwa BRO MSHUKURU SANA MUNGU SANA.....
Lakini ukiona wa kwanza masikio yamelala ,wa pili masikio yamelala mara paap mtoto wa tatu Masikio yamesimama kama sungura! Jiulize sana lakini usithubutu kumuacha mkeo! Michezo hiyo iko tangu zaman!
Kaeni na wazee vizuri!
Mwanamke hakuumbwa kwa ajili ya mwanaume, mwanamke ni kiumne advanced zaidi ya mwanaume ama tunasema ni version latest ya binaadamu. Mwanamke ni GATE kwa ajili ya wanadamu kufika duniani kutokea huko wanakotokea ili kukamilisha missions za ulimwengu. Hivyo basi mwanamke ni wa kumuheshimu ama kumuogopa kama hujui hili. Hata akikuletea mtoto mzungu we kausha tu maisha yaendelee sababu hata utungwaji wa Mimba haumuusishi mwanaume, unaweza zaa na mwanamke mmoja watoto watano lakini ambaye atatokana na sperm zako akawa ni mmoja tu. Hata kama watafanana kwa kila kitu, hawawezi fanana tabia. Kwanini kwa sababu hata binaadamu wa kwanza alitengenezwa, hakutokana na manii. Hivyo kuku hawezi taga embe. Hukutokana na manii iweje manii zako zimlete mtoto mwizi ili hali wewe ni mchungaji? Simple tu. Sisi hapa ni wakamilishaji wa missions, kila kitu kipo ktk mpangiio maalumu. Usimchukie wanamke uliyenaye sababu huna mamlaka naye ki asili naye yupo apo kukamilisha mission zake.Hapa ndipo nakubaliana na wewe. Lakini pia mpango wa Mungu kuwaumba Hawa viumbe ilikuwa kwamba tuwe tunasonga wanasepa na kuzaaa. Shida ilianza tulipoanza kujimilikisha Hawa viumbe Wakati nature ilihitaji wawe wa wote. Leo unapita wewe kesho mwingine, hivyo hivyo. Ndiyo maana hawaachi kurudi kwenye asili Yao.
Sahihi, mwanamke hakuumbwa kwaajili ya mwanaume. Na ndiyo maana wanaume tunafanya makosa kujimilikisha Hawa viumbe, kwakuwa hawakuumbwa kwaajili yetu.Mwanamke hakuumbwa kwa ajili ya mwanaume, mwanamke ni kiumne advanced zaidi ya mwanaume ama tunasema ni version latest ya binaadamu. Mwanamke ni GATE kwa ajili ya wanadamu kufika duniani kutokea huko wanakotokea ili kukamilisha missions za ulimwengu. Hivyo basi mwanamke ni wa kumuheshimu ama kumuogopa kama hujui hili. Hata akikuletea mtoto mzungu we kausha tu maisha yaendelee sababu hata utungwaji wa Mimba haumuusishi mwanaume, unaweza zaa na mwanamke mmoja watoto watano lakini ambaye atatokana na sperm zako akawa ni mmoja tu. Hata kama watafanana kwa kila kitu, hawawezi fanana tabia. Kwanini kwa sababu hata binaadamu wa kwanza alitengenezwa, hakutokana na manii. Hivyo kuku hawezi taga embe. Hukutokana na manii iweje manii zako zimlete mtoto mwizi ili hali wewe ni mchungaji? Simple tu. Sisi hapa ni wakamilishaji wa missions, kila kitu kipo ktk mpangiio maalumu. Usimchukie wanamke uliyenaye sababu huna mamlaka naye ki asili naye yupo apo kukamilisha mission zake.
Umenena ukichapiwa we Lea tuMwanamke hakuumbwa kwa ajili ya mwanaume, mwanamke ni kiumne advanced zaidi ya mwanaume ama tunasema ni version latest ya binaadamu. Mwanamke ni GATE kwa ajili ya wanadamu kufika duniani kutokea huko wanakotokea ili kukamilisha missions za ulimwengu. Hivyo basi mwanamke ni wa kumuheshimu ama kumuogopa kama hujui hili. Hata akikuletea mtoto mzungu we kausha tu maisha yaendelee sababu hata utungwaji wa Mimba haumuusishi mwanaume, unaweza zaa na mwanamke mmoja watoto watano lakini ambaye atatokana na sperm zako akawa ni mmoja tu. Hata kama watafanana kwa kila kitu, hawawezi fanana tabia. Kwanini kwa sababu hata binaadamu wa kwanza alitengenezwa, hakutokana na manii. Hivyo kuku hawezi taga embe. Hukutokana na manii iweje manii zako zimlete mtoto mwizi ili hali wewe ni mchungaji? Simple tu. Sisi hapa ni wakamilishaji wa missions, kila kitu kipo ktk mpangiio maalumu. Usimchukie wanamke uliyenaye sababu huna mamlaka naye ki asili naye yupo apo kukamilisha mission zake.
HahahahSahihi, mwanamke hakuumbwa kwaajili ya mwanaume. Na ndiyo maana wanaume tunafanya makosa kujimilikisha Hawa viumbe, kwakuwa hawakuumbwa kwaajili yetu.
Kukamilisha mission, ni sahihi, japokuwa ilipaswa tuwe tunapiga wanaendelea na maisha bila kugrant recognition ili wapitishe walivyotumwa kupitisha kiasili. Tatizo, au matatizo yanaanza pale ambapo, tunajimilikisha. Na ndiyo maana tunaona wanatukosea ilihali wameumbwa Kwaajili ya kupitisha viumbe.