Hizi hapa ni Sababu za msingi kwa Watu wote kuichangia Chadema ili kusambaza "NO REFORM NO ELECTION"

Atakayewaza hivyo atakuwa mjinga sana, hii ni kwa sababu viongozi walio madarakani leo ndio wanaokesha kuombaomba kwa wazungu.

Kingine ni hiki, unawezaje kupeleka malalamiko ya Demokrasia kwenye ubalozi wa Uganda au Rwanda?
Iwe case by case. Huwezi kuziweka nchi zote za Africa kwenye kapu moja. Otherwise, hakuna sababu ya kuamini kwamba Tanzania chini ya CHADEMA itakuwa tofauti na Tanzania ya sasa, kwasababu nayo bado itakuwa moja ya nchi za Africa!
 
Nitachanga, nitawachangia wanangu na Mke wangu pia.

Nitachanga pia kwa niaba ya kizazi changu cha badae.
 
Ukishachanga wew na familia yako inatosha. Kuna mengi ya muhimu ya kuyachangia.
 
Iwe case by case. Huwezi kuziweka nchi zote za Africa kwenye kapu moja. Otherwise, hakuna sababu ya kuamini kwamba Tanzania chini ya CHADEMA itakuwa tofauti na Tanzania ya sasa, kwasababu nayo bado itakuwa moja ya nchi za Africa!
Unataka kuanzisha mada ndani ya mada, hatuna muda wa kupoteza
 
Chadema haijawahi kupora majengo ya serikali wala haijawahi kujimilikisha viwanja vya soka
Jiulize imezaliwa lini... Ungekuwa wewe umezaliwa 70's una miliki mali ungeacha..?
Just a common sense ya kuvulia barabara
 
Nimeshachangia tayari ni wakati wa mabadiliko
 
kumchangia kibaraka na kibaka wa siasa ni utapeli 🐒
 
Kwenye uongozi wa mbowe michango ya ovyo ovyo kama hii haikuwepo, lisu kama chama kimemshinda amrudishie mbowe chama chake
Lisu hauzi unga, chama kinaendeshwa na wanachama na sio mtu. Huko kuendeshwa na mtu tulishatoka boss.
 
Si achukue hizo pesa nyingi zilizoko.makao makuu azitumie kudai hicho aitacho haki kwa nini achangishe wakati kipindi cha kampeni alisema yeye kama makamu mwenyekiti anajua ziko nyingi mno
Ccm huko kwanini mnaumia ya chadema?
 
Hata Samia alichangiwa fomu ya Urais. Lakini mnaumia saaaaaaanaaaaaaa wacheni hizo kuumia hakufai.
Tena hata zilipotosha bado aliendelea kupokea zingine zilizochangwa hata na viwete.

Astaghafillullah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…