Hizi hapa njia nyepesi za kujikinga na wachawi

Uchawi ni kanuni na Ili kanuni ifanye Kazi ni lazima pawepo na visababishi.
Uchawi utumia nguvu ya miti, mimea,majini na manuizo. Uchawi ni nguvu na KILA nguvu Ina ukinzani wake ina vitu vinavyofifisha ile nguvu kufanya Kazi.
 
Kipande cha mfupa wa kitimoto ni funga kazi. Hawasogei maana wachawi na majini kwao kitimoto ni haramu
 
Hivi Ni kweli kipande Cha mti wa mhogo kinasaidia wakuu?
 
Nikwambie tu bwana kuwa Yesu Kristo ndiye MWAMBA. Kaa ndani yake na yeye ndani yako, aisee umemaliza shughuli na wachawi.
 
Sina haja ya makolokolo,
Yesu wangu atosha
 
Reactions: PNC
Hata ukivitumia hivyo bado unakuwa una mcha Mungu maana vyote vimeumbwa na kutokana na Mungu
 
Kuhusu uchawi ni ishu ya ki Imani tu ukiamini sana uchawi usiku hautalala utaweweseka ila ukimuamini muumba kutokana na Imani yako ya kiroho christian au Islamic unalala vizuri tu ,BINAFSI siamini uchawi naamini kwenye Imani yangu ya christian
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…