Annonymous
JF-Expert Member
- May 9, 2013
- 688
- 1,126
Hii yenyewe kabisa. Yani imekaa kisayansi ile ile yanCopper magnetic bracelet pure inao uwezo wa kublock negative power zisikuattack.
Thus copper inablock radi isipige nyumba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii yenyewe kabisa. Yani imekaa kisayansi ile ile yanCopper magnetic bracelet pure inao uwezo wa kublock negative power zisikuattack.
Thus copper inablock radi isipige nyumba.
Hata kabla ya ujio wa dini zilitumika.Material things hazina uhusiano wowote na spiritual realm ,ulimwengu wa roho una elimu Pana Sana ,
Hii nimeisikia zamani sanaMchawi ogopa mti wa Muhogo kama unawaogopa hawa wapumbavu weka kijiti cha Muhogo kitandani, ukitembea usiku vijijini shika mti wa Muhogo kama walking stick
DuuuhBangii ndiyo kiboko ya wachawi.
Kwamba hicho kipande cha mti au fimbo ya muhogo unauweka tuu bila kitu kingine au kufanya loloteHii nimeisikia zamani sana
YesKwamba hicho kipande cha mti au fimbo ya muhogo unauweka tuu bila kitu kingine au kufanya lolote
Nikwambie tu bwana kuwa Yesu Kristo ndiye MWAMBA. Kaa ndani yake na yeye ndani yako, aisee umemaliza shughuli na wachawi.Habari
Naomba kuwathirisha nondo kidogo ambazo nimepata kwa wakulungwa na wakali wa hizi kazi
Kama unazo ambazo hatujui ziweke hapa
Ila kwa kuanzia hizi hapa
1. Kipande cha mti wa muhogo (siyo muhogo mpira )
2. Kipande cha shaba (bangili ya shaba vaa mkononi)
3. Chumvi ya mawe
Kubwa ambayo ni kuliko zote ni kumcha Mungu hizo zote ni takataka kama una Mungu wako kama ni muislamu mche Allah S.A.W
Kama ni mkristo mche Yesu Kristo
Kama unanjia ambayo hapo juu haipo iweke hapo chini tupate nondo
Pua ya nguruwe
Chumvi unaifanyaje mtaalamuChumvi
Unaweka kwenye maji ya kuogea auChumvi
...Bangi au Bangili ?...Bangii ndiyo kiboko ya wachawi.