Hizi hapa responses kutoka kwa wasomaji kuhus Lissu kusema sasa ni siasa za mshike mshike, siyo maridhiano tena

Haiwezekani mtandao mzima ukawa na majibu ya kizombie.

Ushaona humu Jf wote tukaishia kuiunga mkono hoja moja, ilishawahi kutokea hiyo?

Umechagua majibu pekee yanayokufurafisha.

Emb weka link ya huo mtandao tusome majadiliano hayo sisi wenyewe.
 
Box litaamua!
 
Mbona umechukia majibu ya watu wanafiki pekee? Au na wewe ni sehemu ya hao?
I need your comments on these majibu. Familia iko nje yeye anasema watoto wa wajinga waandamane..NEVER!
 
Siasa za mshike mshike inategemea na mwamko na kujitoa kwa wananchi kukoje.Hii mitandao sio kiashiria kua watu kweli wamejitoa kupambana na hayo mabadiliko wanayojisemea mitandaoni.Hii haina tofauti na ushabiki wa mpira wa kila mtu kujifanya anajua kukosoa wakati hakuna kitu..Huo mshike mshike utaishia kua ushabiki tu ila hauwezi kuwasumbua ccm wakabadilika chochote.Kitakachotokea atakutana na kesi za uchochezi na kuishia kulalamika kwa watanzania wasio na msaada.
 

Lissu yupo sahihi, kama watawala wanakandamiza haki za kikatiba kwa wapinzani kimakusudi, hakuna haja ya kubembelezana kwa kisingizio cha maridhiano.
 
MKWARA MBUZI HUO
 
"until the lion learns how to write, every story will glorify the hunter".

Umechagua michango ya wajinga tu inayokupendeza mwenyewe.

Tupe link tukapime mizani wenyewe kwa mtandao huo, maana hata Facebook haiwezi kuwa na maoni ya upande mmoja kiasi hicho.
 
Sasa umeandika nini? Pumba tupu
 
Ngoja tuone atafanya nini........ familia yke iko nje anawadanganya mfe,, blood bastard!
Unadhani katiba mpya itakuja kilelemama?
Lazima ipambaniwe. Hii ni nchi yetu sote na tunao wajibu wa kuipambania kesho yetu
 
Anadhani mleta mada watu wote ni wajinga kama yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…