Hizi hapa takwimu za hasara aliyopata Putin na Urusi, vifaru 684 vilifyekwa kwenye msafara

Hilo hata halijui,na ndiyo maana kwa sasa wanashangilia kuona magorofa yameharibiwa kwao huo ni ushindi, hawajui
kabisa kuwa huu ni mzigo wa Russia.Lakini Putin mwenyewe na 'Denazification' yake amefail vibaya sana
 
Eti hana
Lakini kweli hana
 
Kama RUSSIA walivyoulinda usalama wataifa lao
Ikibidi watu kufa ili taifa liwe salama lazima watu wafe haijalishi watakua wawapi lakini lazima wafe
Nadhani umenielewa
Kila mtu ashinde mechi zake,habari ya kupangiana namna gani ya kuendesha Nchi haipo,eti Putin anaamrisha Wanajeshi wa Ukraine waweke silaha chini,yeye kama nani,silaha hazijawekwa chini na wanaume wako kazini kulinda Taifa lao.Putin kadharirika kuvimbiwa na dogo Zelensiky [emoji3]
 
Sasa vifaru 600 kwa Urusi ni kitu gani?
Urusi ina vifaru zaidi ya 30,000 labda wanajeshi wake kuuwa ndio hasara.
=30,000 - 1 =29,999 na kuendelea
 
Hivi kujenga hayo magorofa ya ukraine yanayobomolewa kila siku ni dollar ngapi na uchumi uliopolomoka ukraine mwezi hamna kazi zinafanyika kweli sisi ukraine hatupotezi russia ndo anapoteza
Kwa wasiojua kama nyie ni kwamba gharama zote zilizosababishwa na hivi vita vya kijinga vya Putin vitalipwa na Russia kama War Reparations.

Kabla ya kuondolewa vikwazo lazima atasain mkataba wa kulipa hizo "War Reparations" na wala hilo halina mjadala, nakumbuka hadi tarehe 12/03/2022 makisio ya gharama zote zilikuwa zinakadiriwa kufikia US$ bilioni 118.
 
Russia sio Zimbabwe.........hii vita kuisha ni kwamba dunia tayari itakua na wababe wengine hao wamagharibi hata wakilipwa miaka 1000 ila influence ya dunia itakua imeshatoka upande wao
 
Warusi wamekufa kama kuku. Hapo kwenye askari 1300 ongeza 0 ndio idadi halisi.
Mataifa ya kikomunisti kama Russia wanatabia ya kuficha ukweli
Wanaoficha ukweli ni wale wanaowaweka waafrika kwenye giza hadi sasa,,,muafrika kafanyiwa ukatili mkubwa sana na hawa mbuzi wa magharibi hayo ya ukraine cha mtoto wamalizane tu hao nguruwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…