Hizi hapa takwimu za hasara aliyopata Putin na Urusi, vifaru 684 vilifyekwa kwenye msafara

Pale mla makande asiye jua hata bunduki ina shikwaje anapo mfundisha Urusi namna ya kupigana vita.

Hivi unaijua $ 570 billions au una isikia?

Au unadhani hela ni za kuokota tu

Hiyo pesa ili uipate unatakiwa uchukue uchumi wa Africa kusini , Morocco na kenya uunganishe ndo uweze kupata hizo fedha.
Nchi yetu sasa hivi inadaiwa billion 20$ tu jasho linatutoka mpaka serikali inahaha namna ya kulilipa mpaka serikali inaweka kodi za ajabu ajabu ili ilipe deni.

Hiyo ni pesa ndefu mno mpaka Ukraine irudishe hiyo hasara ita mchukua zaidi ya miaka 20 na ushenzi.
 

Sheikh naona kama njaa ya swaumu inakutesa, ungesubiri futar ndio uje kubwabwaja, wapi mwenzako ametaja billions, msome upya kataja millions....
 
Hivi hunadhani tumesahau vile U.S alishindwa na wataliban mpaka akakimbia.. aliondoka na kuacha vifaa kibao vya gharama jamaa walifurahi mpaka wakawa wanaendesha helkopta chini Kama gari yani..

kwa kifupi kwenye vita yoyote Ile unapoingia lazima uwetayari kuppteza watu na Mali, ndo unatakiwa kufanya hesabu za kutosha kuhakikisha unachopigania kinamaslahi zaidi sio unakuwa mpole mpaka mtu akikutia dole unasema Mungu atalipa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

By the way kuzuiwa kwa chombo Cha habari Cha Russia kimefanya watu wengi wajue taarifa ya upande mmoja tuu.. hii vita wanaokufa wote ni kwa sababi ya NATO na Mmarekani yao ikiwa ndani ikiongozwa na puppet Zelensk.. Sasa tusisumbuane Yani hao ndo wanaotaka vita iendelee.

Mmarekani aliruhusu Israel itambuliwe Kama nchi kinyume na mkataba wa umoja wa mataifa unaosema nchi kutambuliwa lazima iwe na mipaka inayoeleweka.. huyu Leo ndo anajifanya anajua demokrasia eti.
View attachment 2182581View attachment 2182582View attachment 2182583View attachment 2182586View attachment 2182584View attachment 2182585
 
Sio kweli hakuna unachofahamu hapo na wala hiyo sio pesa kwa nchi za magharibi. Bonds za Russia zinazoshikiliwa na nchi za magharibi tu zinaizidi hiyo pesa na tayari wameshaanza kuzitumia kuikarabati Ukraine hata bila kuiambia Russia.

Usicheze na G-7 wewe, hao ndio wanahodhi uchumi wa dunia na kila mtu anatamani awe mshirika wao wa kibiashara ndio maana leo Iran anabembeleza ule mkutano wa 6+1 ufanyike ili Marekani amuondolee vikwazo vya kiuchumi.

Na ni kwa mantiki hiyo hiyo China anamkwepa rafiki yake Russia asije akamponza.
 
Sheikh naona kama njaa ya swaumu inakutesa, ungesubiri futar ndio uje kubwabwaja, wapi mwenzako ametaja billions, msome upya kataja millions....
Ww mkenya una matatizo yeye alimaanisha billion sema kakosea kuandika maana Ukraine yenyewe ilisema imepata hasara $ 570bilion na sio million.

Wakenya mnatabia ya kukurupuka ndio maana mnakufa na njaa.
 

Kilichomshinda US ni kuendelea kushikilia baada ya ushindi, na pia alikua anapigana vita vya mbali sana na nyumbani, Urusi licha ya limsafara lake la kilomita zaidi ya 60km amegaragazwa na kugeuza, halafu kataifa kenyewe ni jirani yake hapo tu.
 
Ww mkenya una matatizo yeye alimaanisha billion sema kakosea kuandika maana Ukraine yenyewe ilisema imepata hasara $ 570bilion na sio million.

Wakenya mnatabia ya kukurupuka ndio maana mnakufa na njaa.

Nimekushauri uje baada ya futar maana hapa utaandika andika vitu visivyoeleweka kisa njaa, hebu nipe source wapi Ukraine walisema wameingia hasara ya $570 billion
 
Kumbe tunabishana na watu wasio na uelewa wowote.
Dunia haiendeshwi kienyeji namna hiyo.
Pesa zimezuiliwa tu na wala hazujachukuliwa
Huwezi kutumia pesa za nchi nyingine kienyeji namna hiyo.
Eti nchi za magharibi hela sio tatizo ?

Nchini Marekani na Ulaya kuna mamilioni ya watu hawana makazi wana kufa kwa balidi kwa nn wasitumie hizo hela ambazo wanazo nyingi kuwa jengea makazi raia wao?
 
Nimekushauri uje baada ya futar maana hapa utaandika andika vitu visivyoeleweka kisa njaa, hebu nipe source wapi Ukraine walisema wameingia hasara ya $570 billion
Kumbe haujui ?nadhani hata proNATO wenzako watakuwa wana kushangaa kwa kuto kujua hili.
Sasa tulia msubiri kuuwana baada ya uchaguzi kama kawaida yenu ila hatutaki wakimbizi kwenye nchi yetu.
 
Kumbe haujui ?nadhani hata proNATO wenzako watakuwa wana kushangaa kwa kuto kujua hili.
Sasa tulia msubiri kuuwana baada ya uchaguzi kama kawaida yenu ila hatutaki wakimbizi kwenye nchi yetu.

Leta source ya $570b wacha kukwepa na maneno mengi.
 
Sasa vifaru 600 kwa Urusi ni kitu gani?
Urusi ina vifaru zaidi ya 30,000 labda wanajeshi wake kuuwa ndio hasara.
Urusi ana vifaru 30,000 una uhakika na takwimu zako?
 
Wewe unaichukulia dunia kama gongolamboto, mbona ukraine wana hela zaidi ya hizo nchi za ulaya kila leo wanaimiminia mahela ukraine
 
Hakuna taifa lolote duniani ambalo huwa linatoa takwimu sawa vitani iwe Urusi, Marekani, Uingeleza ,hata Tz yaani ki ufupi hakuna taifa lolote duniani ambalo huwa linatoa takwimu sahihi juu vifo vya wanajeshi wake vitani.
Sio takwimu za vita tu hata sensa ya hapa kwetu bado haikupi perfect result kwasababu ipo kimakadirio

Kuna watu waliokufa vitani kwa mabomu ambayo hukuti maiti zaidi ya majivu, sasa utajuaje idadi exactly ya marehemu zaidi ya makadirio?
 
Kwenye swala la kuzuia vyombo vya habari za urusi hapo ndo western wamebugi

Sijajua wamefanya hivyo kama vikwazo au kupunguza temper za raia wasisikie madhara wanayopata watu wa Ukraine au namna gani
 
Kwenye swala la kuzuia vyombo vya habari za urusi hapo ndo western wamebugi

Sijajua wamefanya hivyo kama vikwazo au kupunguza temper za raia wasisikie madhara wanayopata watu wa Ukraine au namna gani
Hiyo sio sawa kabisa.. na ni dalili mbaya mno kwasababu ni Kama wanaitafuta attention kwanguvu ya watu ili wapate nguvu na support ya kuishusha Russia.. ni sawa na kumchokoza Mmbwa alafu akianza kukukimbiza unasema huyu "Mmbwa Ana kichaa naomba auliwe"..[emoji28][emoji28][emoji28]

Mchezo anao ucheza US na NATO unajulikana.. watu wengi wanaifatilia hii Vita kwa karibu mno pamoja na kwamba upande mmoja unapendelewa zaidi
 
Wewe unaichukulia dunia kama gongolamboto, mbona ukraine wana hela zaidi ya hizo nchi za ulaya kila leo wanaimiminia mahela ukraine
Dunia aindeshwi kienyeji kama unavyo fikiri hela zina tafutwa haziokotwi usi dhani pesa inatolewa kienyeji kienyeji na bure bure.

Na wala usidhani hizo nchi za magharibi zina wapenda sana raia wa Ukraine bali wapo hapo kwa maslahi yao hakuna pesa za burebure atakazo zipata Ukraine.

Hata hizi silaha unazoona wana pereka Ukraine ni mikopo na si misaada kama wanavyo tangaza watatakiwa kulipa siku za mbeleni baada ya vita.

Hiyo hela ni ndogo kuitamka lakini ni pesa ndefu mno.

Mpaka sasa ulaya na Marekani bado kuna mamilioni ya watu hawana makazi wanaishi kwenye mabaraza ya nyumba na maduka wakiumizwa na baridi sasa kama wana pesa za kumwaga kwanini wasiwajengee kwanza nyumba raia wao wanao teseka na baridi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…