Hizi hapa takwimu za hasara aliyopata Putin na Urusi, vifaru 684 vilifyekwa kwenye msafara

Ww jamaa jaribu kusoma maana haya yote yana sababishwa na elimu duni uliyo nayo.

Maana nimesoma coment zako lakini inaonesha una tabia ya kuongelea mambo usio kuwa na elimu nayo.

Hebu tupe huo udhibitisho wa haya unayo yaongea maana ndo kwanza nayasikia kwako.

Narudia tena kukwambia dunia haiendeshwi kienyeji kama unavyo fikiri bali inaendeshwa katika mfumo maalumu kwa hiyo kila kitu kinafanyika kwa kufuata mfumo maalumu kwahiyo usitegemee Ukraine kupokea hela za bure bure.

Hizo nchi za magharibi zina iunga mkono Ukraine sio kwamba zinawapenda raia wa Ukraine bali wapo hapo kwa maslahi ya mataifa yao wao wanacho kiangalia ni kuidhoofisha Urusi kwa gharama za maisha ya raia wa Ukraine kwa hiyo hata Ukraine iangamie wao hawajari wanacho jari ni maslahi yao.

Hata hizo silaha unazo ona wanapeleka usidhani ni za bure bali ni mikopo watakuja kulipa baada ya vita haijalishi wameshinda au waneshindwa.
 
Nakazia ✍️✍️✍️
Hiyo ndo kweli ila CHAWA wa putin hawawezi kukuelewa, wameathirika saana kwa propaganda za muuaji, dikteta putin 🙄
 
Kuna billions za dola za Iran zilizuiliwa Marekani toka mwaka 1979 sasa unataka kuniambia kwamba Marekani wamewatunzia tu Wairan hizo pesa zaidi ya miaka 40, hujui kwamba zingine ndio walitumia kuwanunulia neti.
Hata zingekaa mpaka 100 hazi guswi mkuu maana zimezuliwa na hazi jataifishwa.

Mwaka2016 baada ya mkataba wa nyukilia kati ya Iran na mataifa yenye nguvu Iran ilipokea zaidi ya billion30$ zilizo kuwa zina shikiliwa kwa zaidi ya miaka 40 kwenye benki za magharibi ina maana kama Marekani isinge jitoa kwenye mkataba Iran ingekuwa imesha pokea zaidi ya bilion60$ mpaka sasa.
 
Hatari sana.
 
Hukuelewa vizuri hilo swala lilivyokuwa.
 
Hizo silaha atakayelipa gharama zake ni Russia mwenyewe kupitia War Reparations na wala sio Ukraine.
 
Usiongee nao sana, si wanakuona wewe mtu wa magharibi? Wataelewa tu hiki unachozungumza. Wasichokijua ni kwamba, hata sisi zamani tuliamini kuwa hakuna jeshi strong kama la Russia lakini kwa vita hii tumeshusha imani kwa Russia, tumeona kuwa Russia yupo pabaya.
 
Kadri muda unavyoenda tutakuja kujua US amepanga nini mrusi.
 
Watu kama hao wanapenda ubishi, ni kuwasamehe tu mkuu.
 
Huu ni ujinga mkubwa mno, hasa dini flani ikiamini akipigwa Ukraine amepigwa US, hawaipendi vibaya sana US.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mm siwezi kupoteza muda kukuletea chanzo wakati habari ilitangazwa na kila chombo cha habari kama hukuiona ni uzembe wako.
 
UONGO
Ww mkenya una matatizo yeye alimaanisha billion sema kakosea kuandika maana Ukraine yenyewe ilisema imepata hasara $ 570bilion na sio million.

Wakenya mnatabia ya kukurupuka ndio maana mnakufa na njaa.
 
Hivi hizo habari za kutunga zinawasaidia Nini nyinyi ?uo ni upuuzi msaidieni mwenzenu anamalizwa huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…