Hizi hapa timu 24 zitakazokuwa kwenye African Footbal League, Yanga haimo!

Hizi hapa timu 24 zitakazokuwa kwenye African Footbal League, Yanga haimo!

Tunawaomba TP waendelee kutumia uwanja wetu.... sisi tutaujaza hamna shida TP wana nyuzi nyeusi ya bahati kama yetu.
Ongezea waendelee kuacha kiiingilio kiwe bure maana wakiweka kiingilio buku 2 tu uwanja utakuwa mtupu ule
 
"Haiwezekani YANGA SC tunaonewa tuandamane Hadi ikulu kwa mama" alisikika utopolo mmoja
 
Daah haujui kabisa mpira mkuu Yanga kabla hajashiriki alikua na point moja ya miaka ya nyuma msimu mmoja kakusanya point 21 vitu ni rahisi uliza Timu ikifika fainal inapata point ngapi sio makundi...
Makolo wakati wanaingia group stage first time walikua pot 4,angejiuliza Yanga miaka 26 hajaingia group stage alipoingia msimu huu straight yuko pot 3
 
Taarifa rasmi zitatolewa baada ya mashindano ya msimu huu kuisha ila haitakuwa inatofautiana sana na hii
Ndo ulipoishia hapa..!! Hongera kwa kutaka matamanio yako yawe ndo maamuzi ya waanzisha mashindano..!! In otherway hongera kwa KUZUA A.KA UZUSHI
 
Huu siyo mtazamo wangu bloo, waulize wahusika. Ila kumbuka kwenye rank za FIFA na CAF, Uganda wametuacha mbali sana usiwachukulie poa.
Kuna FIFA rankings na Club rankings muzeye.
 
Rage aheshimiwe!!

Rais wa CAF: mwaka huu tumeanza na timu nane kwa kuanzia, Ila mwakani tunatarajia kuwa na timu 24 ambazo zitatokana na kufanya vizuri katika ligi za ndani pamoja na ubora wa Rank za CAF.

TATU MALOGO FC FANS; yanga haimo hata kwenye timu za awali 24 zitakazo shiriki AFL.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ndo ulipoishia hapa..!! Hongera kwa kutaka matamanio yako yawe ndo maamuzi ya waanzisha mashindano..!! In otherway hongera kwa KUZUA A.KA UZUSHI
Kuna FIFA rankings na Club rankings muzeye.
Huwa najua ninachokiongea ni uamuzi wako kuamua kunisikiliza au kutonisikiliza.

Angalia hiki nilichosema mwishoni mwa msimu uliopita wa CL

Screen Shot 2023-10-24 at 8.19.55 AM.png
 
Back
Top Bottom