Hizi hapa timu 24 zitakazokuwa kwenye African Footbal League, Yanga haimo!

Hizi hapa timu 24 zitakazokuwa kwenye African Footbal League, Yanga haimo!

Eleza zimepatikanaje hizo 21?. Alafu 21 ukiongeza point yenu 1 ya nyuma mbona haiji 25
Daah upo sahihi Chief very sorry bhana nimekumbuka Yanga wana points 21 ukijumlisha na ile moja kipolo ya muda kama unavyosema zidisha 4 mara mechi 5 utapata 20 kama nimekosea nijulishe...simba wana 35 walibeba point 3 tatu za misimu ya nyuma na Al Ahly anaongoza akiwa na 87 huku Mamelodi wana 51...
 
Hii ndiyo list ya awali ya timu 24 zinakazocheza katika toleo lijalo la African Football League.

Waandaaji wa AFL ambayo ni taasisi inayojitegemea imeona ni muhimu nchi zile ambazo zinajulikana zaidi kwa mpira Africa lazima zipewe uwakilishi pamoja na kwamba katika level za club wamekuwa hawana timu kubwa katika miaka ya hivi karibuni. Hii ni kwa sababu ni rahisi zaidi kuiuza Senegal au Ghana kimataifa kwenye masuala ya mpira kuliko Tanzania au Kenya kwa mfano.

Itakuwa inafanyika review ya performance ya timu zote kila baada ya miaka 3 na baadae review hiyo itakuwa inafanyika kila miaka 5. Katika review hizo, timu 2 hadi 4 ambazo zitaonekana kuwa na matokeo mabovu, zitakuwa zinabadilishwa na kuingizwa timu mpya.

List yenyewe ni hii:
  1. Mamelodi Sundowns - South Africa
  2. Orlando Pirates - South Africa
  3. Al Ahly - Egypt
  4. Zamalek - Egypt
  5. Simba - Tanzania
  6. Wydad - Morocco
  7. Raja Casablanca - Morocco
  8. Esperance - Tunisia
  9. Etoile Du Sahel - Tunisia
  10. Canon Yaounde - Cameroon
  11. TP Mazembe - DRC
  12. AS Vita - DRC
  13. Petro de Luanda - Angola
  14. Power Dynamos - Zambia
  15. Al Hilal - Sudan
  16. Enyimba - Nigeria
  17. ASEC Mimosas - Ivory Coast
  18. Hearts of Oak - Ghana
  19. Vipers - Uganda
  20. Jwaneng Galaxy - Botswana
  21. AS Bamako - Mali
  22. CR Belouizdad - Algeria
  23. JS Kabylie - Algeria
  24. ASC Jaraaf - Senegal

Kuna timu kadhaa zitawekwa kwenye waiting list wakati bado kamati inaendelea kuangalia utayari wa timu hizi 24. Timu hizo za ziada ni:
  1. Hafia - Guinea
  2. Berkane - Morocco
  3. Asante Kotoko - Ghana
  4. Young Africans - Tanzania
  5. Africa Sports - Ivory Coast
  6. USM Algiers - Algeria
  7. Pyramids - Egypt
hatuwezi shangaa tena hizo mambo,yupo Kolo,Raja hayupo we unaona hili kombe au mauza uza
 
Yanga wajue kabisa hii African football league ni kwa ajili ya timu kubwa tu.. waache kujisumbua kwenye mambo yasiyowahusu
 
Huu mwandiko wa mwana Mbumbumbu FC, yaani bila ubishi Ngada FC ndo timu anayoipenda, yaani huyu ni kolo flani hivi ..!!!
FB_IMG_1697705818872.jpg
 
Hii ndiyo list ya awali ya timu 24 zinakazocheza katika toleo lijalo la African Football League.

Waandaaji wa AFL ambayo ni taasisi inayojitegemea imeona ni muhimu nchi zile ambazo zinajulikana zaidi kwa mpira Africa lazima zipewe uwakilishi pamoja na kwamba katika level za club wamekuwa hawana timu kubwa katika miaka ya hivi karibuni. Hii ni kwa sababu ni rahisi zaidi kuiuza Senegal au Ghana kimataifa kwenye masuala ya mpira kuliko Tanzania au Kenya kwa mfano.

Itakuwa inafanyika review ya performance ya timu zote kila baada ya miaka 3 na baadae review hiyo itakuwa inafanyika kila miaka 5. Katika review hizo, timu 2 hadi 4 ambazo zitaonekana kuwa na matokeo mabovu, zitakuwa zinabadilishwa na kuingizwa timu mpya.

List yenyewe ni hii:
  1. Mamelodi Sundowns - South Africa
  2. Orlando Pirates - South Africa
  3. Al Ahly - Egypt
  4. Zamalek - Egypt
  5. Simba - Tanzania
  6. Wydad - Morocco
  7. Raja Casablanca - Morocco
  8. Esperance - Tunisia
  9. Etoile Du Sahel - Tunisia
  10. Canon Yaounde - Cameroon
  11. TP Mazembe - DRC
  12. AS Vita - DRC
  13. Petro de Luanda - Angola
  14. Power Dynamos - Zambia
  15. Al Hilal - Sudan
  16. Enyimba - Nigeria
  17. ASEC Mimosas - Ivory Coast
  18. Hearts of Oak - Ghana
  19. Vipers - Uganda
  20. Jwaneng Galaxy - Botswana
  21. AS Bamako - Mali
  22. CR Belouizdad - Algeria
  23. JS Kabylie - Algeria
  24. ASC Jaraaf - Senegal

Kuna timu kadhaa zitawekwa kwenye waiting list wakati bado kamati inaendelea kuangalia utayari wa timu hizi 24. Timu hizo za ziada ni:
  1. Hafia - Guinea
  2. Berkane - Morocco
  3. Asante Kotoko - Ghana
  4. Young Africans - Tanzania
  5. Africa Sports - Ivory Coast
  6. USM Algiers - Algeria
  7. Pyramids - Egypt
Yanga ni timu inayowazia mafanikio makubwa! Bonanza kitu gani bhana!! 🤗
 
Mshindi klab bingwa ni point 6 na wapili ni point 5. Shirikisho mshnd point 5 na wapili point 4. Hzo point 25 yanga amezipata wapi? Acheni kudanganyana nyie
Uko sahihi ulivoelezea hizo Ila usichokijua n kua hizo point huzidishwa mara tano .. mfano Yanga alikua na poin 4 so utazidisha na 5
 
Sio rahisi mzee na acha propaganda, haya mashindano yapo kibiashara zaidi na hata wadhamini waliopo wanategemea Engagement ya fans.. Kwa miaka ya karibuni hasa kuanzia mwaka huu Yanga inauzika sana kwenye masuala ya fans engagement ukitaka uamini hilo japokuwa najua hutakubaliana na hilo angalia hata kwenye page za CAF za Facebook, insta na twitter reaction yake pale ambapo itatajwa yanga..

Post ya vile vikadi vya ligi ya mabingwa iliyohusi yanga ilipata kikes na comments za kutosha kuliko post zote, hakuna mtu mpumbavu ambaye hataiacha timu ya hivyo kwenye mashindano ambayo yamekaa kibiashara zaidi, mwaka huu kwa sababu walikuwa wanatest mitambo ndio maana wakaanza na simba iliyokuwa na engagement kubwa miaka miwili ya nyuma kuliko yanga usitegemee mwakan itakuwa the same
Hii mitandao ya kijamii mnaichukulia serious kuliko hata walioitengeneza. Yaani unadhani kabisa timu itachaguliwa kwa sababu tu kuna majobless wanalike post zake kwa wingi?
 
Hii ndiyo list ya awali ya timu 24 zinakazocheza katika toleo lijalo la African Football League.

Waandaaji wa AFL ambayo ni taasisi inayojitegemea imeona ni muhimu nchi zile ambazo zinajulikana zaidi kwa mpira Africa lazima zipewe uwakilishi pamoja na kwamba katika level za club wamekuwa hawana timu kubwa katika miaka ya hivi karibuni. Hii ni kwa sababu ni rahisi zaidi kuiuza Senegal au Ghana kimataifa kwenye masuala ya mpira kuliko Tanzania au Kenya kwa mfano.

Itakuwa inafanyika review ya performance ya timu zote kila baada ya miaka 3 na baadae review hiyo itakuwa inafanyika kila miaka 5. Katika review hizo, timu 2 hadi 4 ambazo zitaonekana kuwa na matokeo mabovu, zitakuwa zinabadilishwa na kuingizwa timu mpya.

List yenyewe ni hii:
  1. Mamelodi Sundowns - South Africa
  2. Orlando Pirates - South Africa
  3. Al Ahly - Egypt
  4. Zamalek - Egypt
  5. Simba - Tanzania
  6. Wydad - Morocco
  7. Raja Casablanca - Morocco
  8. Esperance - Tunisia
  9. Etoile Du Sahel - Tunisia
  10. Canon Yaounde - Cameroon
  11. TP Mazembe - DRC
  12. AS Vita - DRC
  13. Petro de Luanda - Angola
  14. Power Dynamos - Zambia
  15. Al Hilal - Sudan
  16. Enyimba - Nigeria
  17. ASEC Mimosas - Ivory Coast
  18. Hearts of Oak - Ghana
  19. Vipers - Uganda
  20. Jwaneng Galaxy - Botswana
  21. AS Bamako - Mali
  22. CR Belouizdad - Algeria
  23. JS Kabylie - Algeria
  24. ASC Jaraaf - Senegal

Kuna timu kadhaa zitawekwa kwenye waiting list wakati bado kamati inaendelea kuangalia utayari wa timu hizi 24. Timu hizo za ziada ni:
  1. Hafia - Guinea
  2. Berkane - Morocco
  3. Asante Kotoko - Ghana
  4. Young Africans - Tanzania
  5. Africa Sports - Ivory Coast
  6. USM Algiers - Algeria
  7. Pyramids - Egypt
Tunawaomba TP waendelee kutumia uwanja wetu.... sisi tutaujaza hamna shida TP wana nyuzi nyeusi ya bahati kama yetu.
 
Kilicho mkuta golikipa wa Ihefu kina karibia kukukuta na wewe
Ukitaja jina la Ihefu unawachukiza sana mashabiki wa Yanga.
Siku Yanga wakiifunga Ihefu, watashangilia sana na kula wali nyama siku hiyo. Kiufupi watafanya bonge la sherehe
 
Back
Top Bottom