Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Sahivi Harrier tako la nyani namba E za kutafuta, kuna hizi 3rd gen za kuanzia 2013 kuja juu.
Chuma naziona aisee kibao utasema zinauzwa bei za CX5 kumbe unapata CX5 mbili hapo.
Mfano cheapest unaweza ipata BF hizi hapa, mil 30 kasoro.
Sasa ukija na ushuru wa TRA ndio utajua haujui
Ila wajomba wanazo kibao namba E kila ukitoka lazima upishane nazo.