Hizi Harrier 3rd gen zilivyojazana hapa mjini utasema haziuzwi Mil 70+

Toyota weka mbali na watoto

Marekani, germany, korea, uingereza, watatoa sana magari ilaa kwa mjapan wakasome, magari ya mjapan ni high level.

Toyota
Isuzu
Nissan
Weka mbali na watoto.

Range ukinunua mpya jua kabisa utapata tabu kupata mteja au kuuza kwa khasara, hivyo hivyo kwa Mercedes benz na gari za mmarekani.

Only japan only japan, salute kwake!
Ni wapi huko umesoma mjapan anamzidi technology ya magari mjerumani, mwingereza, etc? Kwa sababu wa Tanzania wengi wanatumia magari ya mjapan haimaanishi amewazidi teknolojia mataifa mengine! Africa ni kama dampo tu yanaletwa magari ambayo hayana soko kokote duniani made!
 
Una kipato cha milioni 5 kwa mwezi huna hata baiskeli, 🤣🤣 sasa hapo hata mungu si anakushangaa,

Chunguza akili yako vizuri nahisi shida inaanzia hapo🤣
Na ajichunguze kweli maana 5m kwa mwaka akiweka hata 3.5m anavuta mkoko wa heshima.

Binafsi harrier 3rd gen naikubali sana imetulia kwa sasa n miongoni mwa gari za toyota zinazonivutia.
 
Sahivi Harrier tako la nyani namba E za kutafuta, kuna hizi 3rd gen za kuanzia 2013 kuja juu.

View attachment 3160153
Chuma naziona aisee kibao utasema zinauzwa bei za CX5 kumbe unapata CX5 mbili hapo.
View attachment 3160155

Mfano cheapest unaweza ipata BF hizi hapa, mil 30 kasoro.
View attachment 3160156

Sasa ukija na ushuru wa TRA ndio utajua haujui
View attachment 3160158
Ila wajomba wanazo kibao namba E kila ukitoka lazima upishane nazo.
Wengine wanunua na kulipia mdogo mdogo.
 
mm nimetizama mileage tu nikabaki na maswali yaani harrier za 2013 mileage zaidi ya laki lakini ukija harrier za 2004-08 mileage zinasoma kuanzia 35,000-80.000 hasa kwenye yadi za kibongo na wale wanaouza used mkononi eti gari la miaka 8 iliyopita limeizidi mileage gari la miaka zaidi ya 20 iliyopita.!
 
Una kipato cha milioni 5 kwa mwezi huna hata baiskeli, 🤣🤣 sasa hapo hata mungu si anakushangaa,

Chunguza akili yako vizuri nahisi shida inaanzia hapo🤣
Mkuu tatizo sisi wengine sio kumiliki baskeli Wala ilimradi gari tatizo ni kumiliki gar ya malengo . Bado naendelea kujichanga gar nayohitaj ni Hilux lakini iwe zero km. Ngoja tuendelee kuzichanga.
 
Na ajichunguze kweli maana 5m kwa mwaka akiweka hata 3.5m anavuta mkoko wa heshima.

Binafsi harrier 3rd gen naikubali sana imetulia kwa sasa n miongoni mwa gari za toyota zinazonivutia.
Hatari mkuu ngoja niendelee kujichunguza, nikifikisha ela ya kuagiza Hilux zero km, ntakuja kuleta mrejesho.
 
Code ni kucheza na fursa za mama tu😂 watu wanajichotea mabilioni we unashangaa.
Mimi ndoto zakuwa tajiri naona zimepotea maana umri unakimbia sana hata baskeli Sina, licha ya kipato changu kufikia 5Mil kwa mwezi lkn ndoto at least za kupata mil 30 kwa mwezi zinaniishia.

Wenzetu wanawezaje kununua gari za mil 100 au 80 cash. Mambo ya mikopo ya sitaki kuyasikia.

Tupen code wakuu.
 
Sahivi Harrier tako la nyani namba E za kutafuta, kuna hizi 3rd gen za kuanzia 2013 kuja juu.

View attachment 3160153
Chuma naziona aisee kibao utasema zinauzwa bei za CX5 kumbe unapata CX5 mbili hapo.
View attachment 3160155

Mfano cheapest unaweza ipata BF hizi hapa, mil 30 kasoro.
View attachment 3160156

Sasa ukija na ushuru wa TRA ndio utajua haujui
View attachment 3160158
Ila wajomba wanazo kibao namba E kila ukitoka lazima upishane nazo.
Sahizi 100M imekuwa hela ya kitoto ndio maana wengi wanamudu kununua hizo gari za 35M-80M...Maboss wamelegeza.
 
mm nimetizama mileage tu nikabaki na maswali yaani harrier za 2013 mileage zaidi ya laki lakini ukija harrier za 2004-08 mileage zinasoma kuanzia 35,000-80.000 hasa kwenye yadi za kibongo na wale wanaouza used mkononi eti gari la miaka 8 iliyopita limeizidi mileage gari la miaka zaidi ya 20 iliyopita.!
Hizo mashine za diagnosis zipo zinazoweza kurudisha hizo mileage nyuma za gari ila ni risk sana maana ni mambo ya kuvuruga control box maana Watanzania wengi wametoka kwenye kuuliza namba gari na zinazotoka Nje ya Nchi wanauliza hiyo mileage na si mwaka wa gari...kwa hiyo wahuni wanacheza na akili zao..
 
mm nimetizama mileage tu nikabaki na maswali yaani harrier za 2013 mileage zaidi ya laki lakini ukija harrier za 2004-08 mileage zinasoma kuanzia 35,000-80.000 hasa kwenye yadi za kibongo na wale wanaouza used mkononi eti gari la miaka 8 iliyopita limeizidi mileage gari la miaka zaidi ya 20 iliyopita.!
Kwani gari ya 2004 used haiwezi kuwa imetembea 35k km
 
mm nimetizama mileage tu nikabaki na maswali yaani harrier za 2013 mileage zaidi ya laki lakini ukija harrier za 2004-08 mileage zinasoma kuanzia 35,000-80.000 hasa kwenye yadi za kibongo na wale wanaouza used mkononi eti gari la miaka 8 iliyopita limeizidi mileage gari la miaka zaidi ya 20 iliyopita.!
Mi nikiwa naangalia umri wa gari na mileage uwa nafanya simple hesabu:

Mfano gari la 2014 hadi leo 2024 inamaana miaka 10.

On average kama lilikua linaendeshwa kilometa 20 kwa siku, kwahiyo 20 x 10 x 364 = 72,000 Km.

Kwahiyo angalau liwe na 70k kwenda juu.

Mambo ya gari la 2004 hafu 30k Km hapana.
 
Mkuu kwani wewe unaamini ana hicho kipato?
Hata kama kusoma hujui, picha huoni kweli 😂
Mshahara wangu tu nizaidi ya hizo mil 5, bado na biashara za pemben. Kama unahitaj ushahidi sema nikuwekee.

Wewe endelea kuwa kibarua kwenye mashamba ya mpunga na kusaka kijikaz japo Cha laki 6 kwa mwezi huko Serikalini, na pia endelea kutwambia porojo za ufanisi wa Siraha mpya za Urusi, USA&CO mengine sio size yako.
 
Back
Top Bottom