Magorofa yote kariakoo la bei rahisi si chini ya billioni 4,ila hata uanze kuyahesabu unaweza usiyamalize..........utajiri kama tu ulivo umasikini sio jambo la kila mtu,tukatae tukubaliSahivi Harrier tako la nyani namba E za kutafuta, kuna hizi 3rd gen za kuanzia 2013 kuja juu.
View attachment 3160153
Chuma naziona aisee kibao utasema zinauzwa bei za CX5 kumbe unapata CX5 mbili hapo.
View attachment 3160155
Mfano cheapest unaweza ipata BF hizi hapa, mil 30 kasoro.
View attachment 3160156
Sasa ukija na ushuru wa TRA ndio utajua haujui
View attachment 3160158
Ila wajomba wanazo kibao namba E kila ukitoka lazima upishane nazo.
Kama una moyo wa Siri ,njoo huku kijijini kwetu nitakuambia kila kitu ,mwaka Mimi na wewe tunachekelea kikubwa ujue lazima huo utajiri unishirikishe na Mimi .Mimi ndoto zakuwa tajiri naona zimepotea maana umri unakimbia sana hata baskeli Sina, licha ya kipato changu kufikia 5Mil kwa mwezi lkn ndoto at least za kupata mil 30 kwa mwezi zinaniishia.
Wenzetu wanawezaje kununua gari za mil 100 au 80 cash. Mambo ya mikopo ya sitaki kuyasikia.
Tupen code wakuu.
Hiyo Fortuner unaikataa kwa hoja zipi za kitaalamu mkuu yaani Fortuner ya 2023 au 2024 ufananishe na ya 2010 kweli? ushaendesha hizi za miaka ya karibuni ukaona tofauti ya comfort na usalama kwenye hizo gari na hizo za zamani au ukiwasikia tu watu wakisema ndio unakuja na majibu ya jumla..Hii 3rd gen sijui wanaipendea nn, 2nd ndo ilikua nzuri ukiondoa yale matatizo ya kupinda pinda kwenye suspension systems zake, unakuta chuma imelalia upande mmoja kabisa.
Ni kama fortuner tu, latest model siikubali kabisa bora ile previous ilokua kama hilux kwenye dash na engine ila tofauti ni body tu
Mkuu umelipia tangazo?Sahivi Harrier tako la nyani namba E za kutafuta, kuna hizi 3rd gen za kuanzia 2013 kuja juu.
View attachment 3160153
Chuma naziona aisee kibao utasema zinauzwa bei za CX5 kumbe unapata CX5 mbili hapo.
View attachment 3160155
Mfano cheapest unaweza ipata BF hizi hapa, mil 30 kasoro.
View attachment 3160156
Sasa ukija na ushuru wa TRA ndio utajua haujui
View attachment 3160158
Ila wajomba wanazo kibao namba E kila ukitoka lazima upishane nazo.
Hizi ndio mada zake, unamshusha vyeo kumwambia alipie tangazoMkuu umelipia tangazo?
Sahivi Harrier tako la nyani namba E za kutafuta, kuna hizi 3rd gen za kuanzia 2013 kuja juu.
View attachment 3160153
Chuma naziona aisee kibao utasema zinauzwa bei za CX5 kumbe unapata CX5 mbili hapo.
View attachment 3160155
Mfano cheapest unaweza ipata BF hizi hapa, mil 30 kasoro.
View attachment 3160156
Sasa ukija na ushuru wa TRA ndio utajua haujui
View attachment 3160158
Ila wajomba wanazo kibao namba E kila ukitoka lazima upishane nazo.
Yeah, ranger na everest zimeanza kujaa sana darDar hii watu wanae pesa mzee.Kuna hizi anakonda halafu kuna Ford nazo zimejazana kama haziuzwi 70,-80M
Mama amefungua nchiSahivi Harrier tako la nyani namba E za kutafuta, kuna hizi 3rd gen za kuanzia 2013 kuja juu.
View attachment 3160153
Chuma naziona aisee kibao utasema zinauzwa bei za CX5 kumbe unapata CX5 mbili hapo.
View attachment 3160155
Mfano cheapest unaweza ipata BF hizi hapa, mil 30 kasoro.
View attachment 3160156
Sasa ukija na ushuru wa TRA ndio utajua haujui
View attachment 3160158
Ila wajomba wanazo kibao namba E kila ukitoka lazima upishane nazo.
Upo sahihi kabisa me mwenyewe binafsi sivutiwi na hiyo 3rd gen na pia kwenye fortuner ni hivyo hivyoHii 3rd gen sijui wanaipendea nn, 2nd ndo ilikua nzuri ukiondoa yale matatizo ya kupinda pinda kwenye suspension systems zake, unakuta chuma imelalia upande mmoja kabisa.
Ni kama fortuner tu, latest model siikubali kabisa bora ile previous ilokua kama hilux kwenye dash na engine ila tofauti ni body tu
Hata mimi nimeshangaa. Fortuner ya 2020 iwe sawa na 2010? Hata Hilux za 2020 sio kama za 2010.Hiyo Fortuner hunaikataa kwa hoja zipi za kitaalamu mkuu yaani Fortuner ya 2023 au 2024 ufananishe na ya 20010 kweli?ushaendesha hizi za miaka ya karibuni ukaona tofauti ya comfort na usalama kwenye hizo gari na hizo za zamani..