Hizi hospital za serikali omba Mungu sana usipelekwe huku ukiwa serious. Unaweza kufa na wahudumu wa afya Wala hawajali

Hizo ni milango ya kuzimu,iyo mijitu ina roho mbaya sanasana
 
Rw
Shukrani mkuu
Rekodi tukio zima ,ikiwezekana nenda mpaka kwa daktari ongea naye maswaibu yote ,ukimrecord na kuona anasema nini ?
Hamia kwa manesi onesha kauli ya mamlaka kwao kuwamuru juu ya hali ya mgonjwa alafu nrekodi mgonjwa na sauti yako ukieleza hali halisi kwa jamii na pia mtunie DMO kwa namba isiyokuwa yako Wala simu yako .

Then tutumie jamiiforums tumalizane na mfawidhi ,pamoja na incharge wa hiyo shift na timu nzima .
Pole Sana Kaka imeniuma ,natamani mpae mje niwatibu Mimi .

Pole Kaka ,kikubwa katika kurecord naomba sura ya mama mgonjwa isionekane ila za hao mburu mwitu zionekane
 
Naendelea kuamini kuwa moja kati ya wafanyakazi wenye roho ngumu na ambao utu wao ni mdogo sana ni watu wa sekta ya afya. Kwao suala linaitwa haraka ni dogo sana.
Ongezea: Hususani ukiwa hauna hela mfukoni utaishia kumnufaisha mtu wa mochwari ambae nae amekaa muda wote anasubiri uvute ili uhamishiwe kule apate chochote kitu km muuza majeneza
 
Naendelea kuamini kuwa moja kati ya wafanyakazi wenye roho ngumu na ambao utu wao ni mdogo sana ni watu wa sekta ya afya. Kwao suala linaitwa haraka ni dogo sana.
Sio wote Kaka ni baadhi ya mburu mwitu waliobahatika kuajiriwa kutokea huko uswekeni wakiwa hapo uhisi wamemaliza kila kitu kwa kupenda kubembelezwa ndiyo wafanye kazi .

Ni hao wanaharibu taswira ya neno muhudumu wa afya .

Mimi na pombe zangu na utoto wangu japo mtu mzima najari Sana uhai na afya ya mtu ndiyo badaye mengine yafuate
 
Kwenye hili la hospitali za serikali nadhani hutofautiana mikoa kwa mikoa pia wilaya. Mfano mwanafamilia wetu alihudumiwa vizuri kabisa hospitali ya wilaya ya Hai pale Boma mkoa wa Kilimanjaro.
 
 
Mkuu watu wapo hapo kusubiri mwisho wa mwezi tu, hakuna utu
 
Nakubaliana na wewe mkuu. Ni kweli hii tabia si ya wahudumu wote kaka bali ni wengi wao.
 
Hii ni hali ya hospital zote na dawa siyo kupigana kutafuta fedha tu. Kwenye nchi kubwa kama Tanzania wote hatuwezi kuwa na fedha. Kinachotakiwa ni huduma za hospital nzuri. Tuungane kupigana kuwawajibisha viongozi. Tunapoambiwa tudai katiba mpya basi tuungane. Poleni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…