Hizi hospital za serikali omba Mungu sana usipelekwe huku ukiwa serious. Unaweza kufa na wahudumu wa afya Wala hawajali

Wewe Daktari kituo chako cha kazi ni wapi au wewe ni Nesi?
 
Ulisomea ili ukomoe watu, hukujua kuwa maslai madogo , kama madogo acha kazi waachie wenzio nafasi wanaihitaji na kuridhika na maslai hayo madogo acha kuleta ushetani kwa matatizo ya watu mtu kaumia hivyo unatetea ujinga pumbabu
 
Umesema jambo kubwa sana ndugu. Shida vichwa vyetu vinawaza ubinafsi tu kaka.
 
Ila kazi haachi.. frustrations msizitolee kwa wagonjwa..bora hio kazi apewe mtu ambaye yupo tayari kuifanya
 
Alafu linatokea jitu linasema hiyo ni kazi ya WITO, yaani Secta imejaa roho na mbaya/maslahi kwa wenye pesa/vyeo.

Sio jipya ni matokeo mabaya ya uwajibikaji wa hii serikali, kila mahala pakp hovyo
 
Simu: 0767300061/756357458
Mkuu toka asubuhi nakuona unazunguka kwenye komenti zangu unanicheka ,nakausha .
Sasa umeamua kuniita nurse ilihali Mimi si nurse ,ukweli najua umeamua kunishusha status zangu .

Sasa sitaki tugombane kwenye huu uzi kikubwa tushikamane tumsaidie mama aweze walau kupata huduma ya kwanza au apate refferral aende rufaa alafu baada ya hapo ndiyo tutaanza kugombana .

Note:Niko tayari kwa pambano hata nje ya jamvi hili
 
Nijuavyo mimi madaktari hata ukiwaita nurse huwa hawamaindi
 
Mkuu pole,hii imewahi Nikuta mtoto kasiginwa na tipper hospitali wamenipa rufaa,polisi wanakataa kuandika pf3 eti mpaka wajue nani kasababisha ajali,na askari wakike,wanaojinasibu Wana uchungu na watoto,nilitamani kummeza ila niliogopa bunduki tu
 
Sawa hata kama hayo yote unayosema ni kweli, hivi hata issue ya kumpa huduma ya kwanza washindwe? Okay hawawezi mtibia kwann wasitoe referral mapema hadi wavutane?
 
Nijuavyo mimi madaktari hata ukiwaita nurse huwa hawamaindi
Muktadha wa swali la muulizaji kwangu .
Alafu na wewe nacopy jina lako pembeni ,embu kwanza simu ziite kwa marafiki na wafanyakazi wenzetu ,hospitali ya wilaya butihama mama atibiwe kwanza alafu baada ya hapo ndiyo nitawatafuta ili Kama ni Vita ya ngumi Basi location ipangwe ila Kama ni ya maneno basi hapa hapa patatosha ila nitawaalika rafiki zangu pia
 
Clinical Officer na ICU wapi na wapi ndugu yangu? Hospital ya wilaya wanatakiwa wawepo MD na kuendelea huyo CO labda umkute mapokezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…