Wa needa mahospitali ya wilayani ata nesi atakufanyia diagnosis, chezea Ccm yenuClinical Officer na ICU wapi na wapi ndugu yangu? Hospital ya wilaya wanatakiwa wawepo MD na kuendelea huyo CO labda umkute mapokezi.
Aisee huyu hawezi kutoboa hospital ya wilaya wampe rufaa tu kwenda hospital ya mkoa na huko pia muombe Mungu.Hali ya mgonjwa nimepiga video Kwa kuibia wasinione. Huo mguu hauna nyama mpaka chini
View attachment 3153089
Wanaacha kutatua kiini cha tatizo, wana angaika na end results.Acheni kutupia wa hudumu lawama tatizo ni serikali yenu isio wezesha hizo hospitali, huyu clinical ofisa unao muona analipwa sio zaidi ya laki saba......hana allowance yoyote na vitendea kazi ni duni. Unakuta hospitali kama hiyo haina hata gari la wagonjwa wala ICU unit, ajibusheni viongozi wenu acha kupokea rushwa na kuuza kura zenu
Ndo washindwe kumpa hata huduma ya kwanza? Kuzuia damu kuvuja + Dawa za maumivu nalo linashindikana?Aisee huyu hawezi kutoboa hospital ya wilaya wampe rufaa tu kwenda hospital ya mkoa na huko pia muombe Mungu.
Hapo unaweza Kuta wanajizungusha kwasababu hawajui wamfanye nini mgonjwa Kila mmoja anamuogopa ila rufaa pia ni sehemu ya matibabu.
😂😂😂Mkuu toka asubuhi nakuona unazunguka kwenye komenti zangu unanicheka ,nakausha .
Sasa umeamua kuniita nurse ilihali Mimi si nurse ,ukweli najua umeamua kunishusha status zangu .
Sasa sitaki tugombane kwenye huu uzi kikubwa tushikamane tumsaidie mama aweze walau kupata huduma ya kwanza au apate refferral aende rufaa alafu baada ya hapo ndiyo tutaanza kugombana .
Note:Niko tayari kwa pambano hata nje ya jamvi hili
Nazipigwe tu kwani nini?Muktadha wa swali la muulizaji kwangu .
Alafu na wewe nacopy jina lako pembeni ,embu kwanza simu ziite kwa marafiki na wafanyakazi wenzetu ,hospitali ya wilaya butihama mama atibiwe kwanza alafu baada ya hapo ndiyo nitawatafuta ili Kama ni Vita ya ngumi Basi location ipangwe ila Kama ni ya maneno basi hapa hapa patatosha ila nitawaalika rafiki zangu pia
Nasubiri update ya mgonjwa kutoka kwa Kaka Zegota ili Kama hali yake inaenda vizuri na amepata huduma .Nazipigwe tu kwani nini?
Usikute si ni species tofautiWaafrika ni wanyama tuliyopewa maumbile ya binadamu.
Mkuu, niliwahi kumpeleka mtt hospital ya mnazi mmoja zanzibar baada ya kupata ajali, tena ilikuwa usiku. Aisee wale wahudumu wa siku ile walikuwa kama malaika wameshushwa toka mbinguni. Imagine kitengo cha emergency kinavokuwa busy, tena usiku, lkn watu wanafanya kazi kwa uchangamfu utadhani mchana. Yaani km customer care wale niliwapa 100%Ni hospital za serikali zote ,yaani hawa jamaa wana majengo makubwa lakini madaktari hakuna ,hapa either hawaji kazini wanaenda kupiga mishe nje coz labda hakuna supervision ,sitaki kuamnini serikali itumie mabilioni halafu wasiweze kuajiri madaktari.
Kuna jamaa yangu alimpeleka mtoto hospital huku manyara,kuanzia saa moja mpaka saa nane hospital nzima yupo dr mmoja ,kama unaumwa ni bora uende private kuliko hospitali za serikali yaani ni hovyo xmilioni.
Aisee kumuita mtu ntu inataka moyoMkuu, niliwahi kumpeleka mtt hospital ya mnazi mmoja zanzibar baada ya kupata ajali, tena ilikuwa usiku. Aisee wale wahudumu wa siku ile walikuwa kama malaika wameshushwa toka mbinguni. Imagine kitengo cha emergency kinavokuwa busy, tena usiku, lkn watu wanafanya kazi kwa uchangamfu utadhani mchana. Yaani km customer care wale niliwapa 100%
Kwa hio sio wafanyakazi wote wa hospital za serikali wapo hivyo, inategemea ntu na ntu
Mie mpemba aloo hata sio maajabuAisee kumuita mtu ntu inataka moyo
Huwa hamtumii kamusi ya TUKIMie mpemba aloo hata sio maajabu
Hata naijua basi 🤔Huwa hamtumii kamusi ya TUKI
Kaka nimewasiliana nao wanasema ndio wamepewa rufaa now. Mimi niliondoka kuja msibani. Maana kulikuwa na msiba na huyo alikuwa kwenye bodaboda kwenda msibani ndio akapata ajaliNasubiri update ya mgonjwa kutoka kwa Kaka Zegota ili Kama hali yake inaenda vizuri na amepata huduma .
Basi nifungue uzi niwaite wakorofi wangu wote mmoja baada ya mwingine tupange pambano either la ngumi au maneno .
Ila nakuhakikishia nitauwa jitu bro
Tuendelee kumtakia ntu wa watu apate matibabuHuwa hamtumii kamusi ya TUKI