Hizi hospital za serikali omba Mungu sana usipelekwe huku ukiwa serious. Unaweza kufa na wahudumu wa afya Wala hawajali

Hizi hospital za serikali omba Mungu sana usipelekwe huku ukiwa serious. Unaweza kufa na wahudumu wa afya Wala hawajali

Hali ya mgonjwa nimepiga video Kwa kuibia wasinione. Huo mguu hauna nyama mpaka chini
View attachment 3153089
Aisee huyu hawezi kutoboa hospital ya wilaya wampe rufaa tu kwenda hospital ya mkoa na huko pia muombe Mungu.

Hapo unaweza Kuta wanajizungusha kwasababu hawajui wamfanye nini mgonjwa Kila mmoja anamuogopa ila rufaa pia ni sehemu ya matibabu.
 
Acheni kutupia wa hudumu lawama tatizo ni serikali yenu isio wezesha hizo hospitali, huyu clinical ofisa unao muona analipwa sio zaidi ya laki saba......hana allowance yoyote na vitendea kazi ni duni. Unakuta hospitali kama hiyo haina hata gari la wagonjwa wala ICU unit, ajibusheni viongozi wenu acha kupokea rushwa na kuuza kura zenu
Wanaacha kutatua kiini cha tatizo, wana angaika na end results.

Ndo hawa wanakoromea walimu ety watoto hawafaulu, Wakati wanaona kabisa dafasa la watu 45 wapo wanafunzi 200
 
Aisee huyu hawezi kutoboa hospital ya wilaya wampe rufaa tu kwenda hospital ya mkoa na huko pia muombe Mungu.

Hapo unaweza Kuta wanajizungusha kwasababu hawajui wamfanye nini mgonjwa Kila mmoja anamuogopa ila rufaa pia ni sehemu ya matibabu.
Ndo washindwe kumpa hata huduma ya kwanza? Kuzuia damu kuvuja + Dawa za maumivu nalo linashindikana?
 
Mkuu toka asubuhi nakuona unazunguka kwenye komenti zangu unanicheka ,nakausha .
Sasa umeamua kuniita nurse ilihali Mimi si nurse ,ukweli najua umeamua kunishusha status zangu .

Sasa sitaki tugombane kwenye huu uzi kikubwa tushikamane tumsaidie mama aweze walau kupata huduma ya kwanza au apate refferral aende rufaa alafu baada ya hapo ndiyo tutaanza kugombana .

Note:Niko tayari kwa pambano hata nje ya jamvi hili
😂😂😂
 
Muktadha wa swali la muulizaji kwangu .
Alafu na wewe nacopy jina lako pembeni ,embu kwanza simu ziite kwa marafiki na wafanyakazi wenzetu ,hospitali ya wilaya butihama mama atibiwe kwanza alafu baada ya hapo ndiyo nitawatafuta ili Kama ni Vita ya ngumi Basi location ipangwe ila Kama ni ya maneno basi hapa hapa patatosha ila nitawaalika rafiki zangu pia
Nazipigwe tu kwani nini?
 
Ni hospital za serikali zote ,yaani hawa jamaa wana majengo makubwa lakini madaktari hakuna ,hapa either hawaji kazini wanaenda kupiga mishe nje coz labda hakuna supervision ,sitaki kuamnini serikali itumie mabilioni halafu wasiweze kuajiri madaktari.

Kuna jamaa yangu alimpeleka mtoto hospital huku manyara,kuanzia saa moja mpaka saa nane hospital nzima yupo dr mmoja ,kama unaumwa ni bora uende private kuliko hospitali za serikali yaani ni hovyo xmilioni.
 
Kuna kazi ni za wito, ukiamua kuzifanya basi unatakiwa uweke ubinaadam mbele, imani, huruma na utu.
Mdau unaesema wahudumu wanalipwa pesa haba, kuna wenzao wanalipwa kama hizo au kdg zaidi lkn utashangaa wanavopiga kazi mpk unajiuliza huyu binaadam wa aina gani, jee hachoki!!!
Na nature ya binaadam hasa ni kusaidiana na sio kuumizana either kuwe na malipo au laa.
Sasa kidonda cha namna hio hata huduma ya kwanza inawashinda at least wakafikiria kuziba hio sehemu?
Inasikitisha sana, siku mtu ukifikwa na ttz km hilo ndio utajua how it hurts
 
Ni hospital za serikali zote ,yaani hawa jamaa wana majengo makubwa lakini madaktari hakuna ,hapa either hawaji kazini wanaenda kupiga mishe nje coz labda hakuna supervision ,sitaki kuamnini serikali itumie mabilioni halafu wasiweze kuajiri madaktari.

Kuna jamaa yangu alimpeleka mtoto hospital huku manyara,kuanzia saa moja mpaka saa nane hospital nzima yupo dr mmoja ,kama unaumwa ni bora uende private kuliko hospitali za serikali yaani ni hovyo xmilioni.
Mkuu, niliwahi kumpeleka mtt hospital ya mnazi mmoja zanzibar baada ya kupata ajali, tena ilikuwa usiku. Aisee wale wahudumu wa siku ile walikuwa kama malaika wameshushwa toka mbinguni. Imagine kitengo cha emergency kinavokuwa busy, tena usiku, lkn watu wanafanya kazi kwa uchangamfu utadhani mchana. Yaani km customer care wale niliwapa 100%
Kwa hio sio wafanyakazi wote wa hospital za serikali wapo hivyo, inategemea ntu na ntu
 
Aisee kumuita mtu ntu inataka moyo
 
Pole!

Nilienda Kituo cha Afya Kinyerezi, nikiwa na homa.

Baada ya masaa matano ya mizunguko ya dirisha hadi dirisha, nilibainika nina malaria kali.

Niliandikiwa sindano.

Nilichomwa sindano moja, ila baadaye wakaniandikia rufaa kwenda Amana.

Kesho yake nilienda Amana kama nilivyoagizwa, ila madaktari wa Amana wakanihoji mgonjwa ni yupi, nikamwambia ni mimi! Akaniauliza mgonjwa gani una malaria kali na umekuja unatembea?

Amana walinipima na kuniambia sina malaria. Na wakasema Kinyerezi wamefanya makosa kunipa rufaa.

Nilirudi nyumbani ila baada ya muda nikaenda kupima na kukutwa na malaria kali.

NB:* Ninajua kwa code hizi wahusika wanaweza kunitambua.

Kama vipi waje waniteke maana ndicho wakiwezacho!
 
Nasubiri update ya mgonjwa kutoka kwa Kaka Zegota ili Kama hali yake inaenda vizuri na amepata huduma .

Basi nifungue uzi niwaite wakorofi wangu wote mmoja baada ya mwingine tupange pambano either la ngumi au maneno .

Ila nakuhakikishia nitauwa jitu bro
Kaka nimewasiliana nao wanasema ndio wamepewa rufaa now. Mimi niliondoka kuja msibani. Maana kulikuwa na msiba na huyo alikuwa kwenye bodaboda kwenda msibani ndio akapata ajali
 
Back
Top Bottom