Hizi hotuba za kisiasa za Rais Magufuli zitatuponza. Tuchague mambo ya kusema hadharani

Sizani km alisema Malaria inaambukizwa na virus ila alihoji " Kama(Wazungu) wameweza kutengeneza chanjo ya Covid-19 mbona wameshindwa kutengeneza chanjo ya Virus vya ukimwi,Kifua kikuuu au Malaria"?
Kiufupi hujui maana chanjo,chanjo kwenye vimelee kwan communicable desease
 
Sizani km alisema Malaria inaambukizwa na virus ila alihoji " Kama(Wazungu) wameweza kutengeneza chanjo ya Covid-19 mbona wameshindwa kutengeneza chanjo ya Virus vya ukimwi,Kifua kikuuu au Malaria"?
Mkuu baada ya kubaki na mbunge mmoja wa kuchaguliwa na wananchi, wamekosa ishu ya kuongelea na kumkosoa JPM. Angalia threads za kupinga alichoongea JPM leo zilivyoanzishwa kwa fujo!?.., bora hata huyu kaishia kupindisha maana tu wengine wanalilia lockdown wengine wanataka chanjo, ilimradi wapinge pinge tu. Ila uzuri JPM huwa hayumbishwi.
 
Statement kama hii ingeongelewa na nsomi wa mambo ya biashara, uchumi na politics tungeelewa kuwa yupo misinformed.

Sasa huyu PHD tena wa chemistry hajui tofaut ya virus na parasites. Hjui hata maana ya chanjo ni nini .

Hii inaonesha hata PHD yake ni fake ndyomaana ben sanane alipoanza fatilia elimu yake alipotea.

Hivi hata wanafunzi wake alikuwa anawafundisha nini kama sio kuwapa matango pori.
 
Huna lolote
 
TV ya AL jazira isha rusha kituko chake kwamba magufuli aiamini hiyo chanjo,

Ni aibu sana kwa Taifa.
 
Tumeshakuwa kituko muda mrefu joo.

Wewe fikiria Rais anatuma ndege Madagascar kwenda kuleta dawa ya mitishamba ambayo majani hayo tunayo kila kona na kuclaim kuwa inatibu corona/ virus ambayo scientificallly virus haitibiki bali kuna chanjo.
 
Ni kwa wapumbavu na wajinga.
 
Rais ana mambo ya kishamba sana! Hotuba zake hazina tofauti na stori za vijiweni Buguruni! Hata hiyo PhD sijui aliipataje huyu jamaa! Chuki yake kwa wazungu inaonesha jinsi gani alivyo mshamba na hajiamini! Kikwete sijui ilikuwaje akaruhusu huyu jamaa kupenya 5 bora 2015! Nafikiri katika maisha yake ya kisiasa hilo ndio kosa kubwa alilofanya, na yeye anajua hilo! Amekabidhi nchi kwa mtu ambaye hayupo stable kichwani
 
Virusi ni parasite pia
 
Uzuri wa magu sio mnafiki. Ni vizuri ukaonesha your true colour na msimamo iwe upo sawa au umekosea. Watu design ya magu wanawavuruga sana wazungu kwani huwa hawakwepeshi maneno.
Nchi hii ina watu wajinga! Halafu mtu kama huyu utakuta ana Mke na watoto na akirudi nyumbani anaitwa Baba πŸ™„. We still have a long way to Go πŸ˜“πŸ˜“πŸ˜“
 
Kwa hiyo wewe kwako mtu akiropokaropoka basi ameshakuwa kiboko ya Mabeberu..jinga kabisa wewe
 
Sizani km alisema Malaria inaambukizwa na virus ila alihoji " Kama(Wazungu) wameweza kutengeneza chanjo ya Covid-19 mbona wameshindwa kutengeneza chanjo ya Virus vya ukimwi,Kifua kikuuu au Malaria"?
Wewe ndio huelewi!!ina maana hata hujui kuwa chanjo ina husika na magonjwa yanayosababishwa na VIRUS, sasa malaria iko kwenye kundi hilo??toka lini parasaiti, akatibiwa kwa chanjo?!!JAMANI , Hata haya majina mnayojiita wakati mwingine hamyatendei haki walaaah!!eti newton!!!

Lakini ukijiita kingwendu, maimuna, zomboko, matimbwa, kuna michango hata ukitoa mtu akiangalia jina tu!!anajua sio kosa lake!!lakini haya mengine daaa!!kuna mmoja anajiita arbort akauliza kwani kutoka dar hadi morogoro ni umbali wa MILIMITA ngapi?!!
 
Kaitaja mpaka cancer kailundika kundi moja na magonjwa ya kuambukiza.

Nikasema hii ndiyo Ph.D yetu ya Chemistry Watanzania?

Maana kama angekuwa kasoma historia tungesema labda hajui sayansi.

Huyu anasemwa ana Ph.D ya Chemistry kisingizio chake nini?
 
Tulia wewe sisi ndio wataalam - Barnabas Mwakalukwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…