Hizi hotuba za kisiasa za Rais Magufuli zitatuponza. Tuchague mambo ya kusema hadharani

Nchi hii ina watu wajinga! Halafu mtu kama huyu utakuta ana Mke na watoto na akirudi nyumbani anaitwa Baba πŸ™„. We still have a long way to Go πŸ˜“πŸ˜“πŸ˜“
unaweza kuta pia ni Katibu wa Wizara
 

Nimecheka kwa nguvu, baada ya kubaki na mbunge mmoja, kwani kulikuwa na uchaguzi au yalikuwa maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura? Eti huwa hayumbishwi, kwani hayumbishwi kwa ubora au kwa hayo hayo, ama hujaona kanisa Catholic wameamua kutoka hadharani na kusema wamekubaliana wawaamini wanasayansi?

Acha upotoshaji usio na maana yoyote, wengi tunasema kapatia tu kutokuweka watu lockdown, lakini hayo mengine anayoongelea ni aibu tupu. Kwa taarifa yako ni bora chanjo ya hao wazungu ambayo unaweza kupata ushahidi wa kimaabara, kuliko kile kikombe cha babu alienda kunywa kisicho na ushahidi wowote wa kimaabara.
 

Labda ana mpango wa kuwa na kipindi kama cha TV kama "mizengwe."

Kwa hakika si bure.
 
Kazi mnayo. Si bure!

Ila tu la kuvunda kama lilikwisha pata kuwa na ubani.
 
Acheni kung'ang'aniza ugonvi...
 
Malaria, kama ilivyo Korona, ni moja ya Magonjwa yanayoambukizwa kwa njia ya Virusi (aina gani, hajafafanua).,,[emoji3][emoji848][emoji3064][emoji3064][emoji30][emoji30][emoji30]
 
Sizani km alisema Malaria inaambukizwa na virus ila alihoji " Kama(Wazungu) wameweza kutengeneza chanjo ya Covid-19 mbona wameshindwa kutengeneza chanjo ya Virus vya ukimwi,Kifua kikuuu au Malaria"?
Chanjo ni dhidi ya maambukizi ya virusi na bakteria. Sijawahi kusikia kuna chanjo dhidi ya vimelea.
[emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541]
 
Apate msaada sana. Akufungwe spidi gavana. Eti hana imani na Chanjo kwa utafiti gani alioufanya. UTAFITI UPINGWA NA UTAFITI MWINGINE
 
The highest office of the nation "inhabited" by a ...
 
Hiyu ni kilaxa tu. Amezoea kucrame kemia.

Analytical brain negative
 
Nchi hii ina watu wajinga! Halafu mtu kama huyu utakuta ana Mke na watoto na akirudi nyumbani anaitwa Baba πŸ™„. We still have a long way to Go πŸ˜“πŸ˜“πŸ˜“
Unaonaje ukahamia Kenya?
 
Walio fanya vetting ya Magufuli awe mgombea ndani ya CCM walitukosea saana wananchi..
 
Kwa hiyo wewe kwako mtu akiropokaropoka basi ameshakuwa kiboko ya Mabeberu..jinga kabisa wewe
Ameropoka au ametoa angalizo kuhusu vaccine ya Covid-19? Rais amesema wizara isikubali tu chanjo yeyote inayotoka nje kabla ya kujiridhisha kuhusu ubora na usalama wake. Rais kutoa tahadhari kwa watu wake ni vibaya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…