Hizi kazi za ualimu wa masomo ya biashara, mbona sisi wenye bcom in Accounting zinatukatalia?

Hizi kazi za ualimu wa masomo ya biashara, mbona sisi wenye bcom in Accounting zinatukatalia?

Isenye

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2024
Posts
1,985
Reaction score
5,167
Wamesema vigezo ni mtu yeyote aliyesoma shahada ya Biashara lkn kwa sisi wenye bcom in Accounting zinatukatalia.
Tunatatuaje hii changamoto wakuu?
 
Maana yake bcom sio degree ya biashara, degree ya biashara ni business administration
 
Je hiyo kozi imetajwa kwenye kipengele cha requirements?
 
Back
Top Bottom