Ndondombi Mulin
JF-Expert Member
- Mar 13, 2016
- 413
- 1,868
Habari za wakati huu ndugu wana Jamiiforums,
Nimepokea kesi nyingi sana kutoka kwa vijana wakiume january hii, wengi wao malalamiko yako ni kuwa Wanawake/wake wanaoishi nao wanataka watoto wakasome shule za gharama (wengi ada ni 2.5M+), ilihali wao uwezo wao kiuchumi ni wastani na wakijikamua kumudu hizo gharama basi wanatakiwa kusimamisha shughuli zingine za kimaendeleo na wengine kuingia madeni.
Hizi kesi zimepeleka kuleta migogoro isiyo ya lazima kwenye kaya nyingi za vijana wa kileo.
Mara zote nikifatwa nimekuwa nikishauri kwamba, Mwanaume somesha kutokana na uwezo wa kipato chako na matamanio yako jinsi unataka mwanao apate Elimu ipi.
Swali ni
Je, huko mlipo ndugu zangu, nanyi mnakutana na kesi za namna hii? Nini chanzo.