MZIMU
JF-Expert Member
- Apr 29, 2011
- 4,058
- 1,373
they die physically not spiritually and their souls continue to rule the world till JESUS comes back.
Mhhh! that is Madness.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
they die physically not spiritually and their souls continue to rule the world till JESUS comes back.
Kila familia hapa chini imepewa kazi yake ya kuumaliza Ulimwengu kutoka utawala wa Mungu hadi utawala wao wa NEW WORLD ORDER "NWO", na hizi ndo familia zinazo control dunia nzima yaani wamejivisha umungu mtu, na hizi familia hazijaanza leo wala jana zimeanzishwa kabla hata Yesu na Mtume Muhammad S.A.W na huu ndio mwendelezo wake.
Hawa ndio wenye uwezo wa kufanya Mtanzania aishi chini ya Dolla 100 au 1, kutokana na Mipango yao ya New World Order, kwenye nchi yako umefikia wapi? Wenzetu South Africa walishakubali kitambo kwa shinikizo la makaburu ndio maana unaona maisha kwao ni mepesi, bahati nzuri nimefanikiwa kukaa South, kiufupi ndio Nchi iliyoendelea kwa Africa lakini ndio Nchi inayoongoza Maovu na Laana ambayo kwa niliyo yaona mimi hayasimuliki.
Unaweza kuyasachi haya majina ya familia 13 za Illuminati;
The Van Duyn Bloodline
- The Astor Bloodline
- The Bundy Bloodline
- The Collins Bloodline
- The DuPont Bloodline
- The Freeman Bloodline
- The Kennedy Bloodline
- The Li Bloodline
- The Onassis Bloodline
- The Reynolds Bloodline
- The Rockefeller Bloodline
- The Rothschild Bloodline
- The Russell Bloodline
![]()
Kwenye Dolla ya Marekani imeandikwa In God We Trust hii ndio Maana kamili;
![]()
Nipeni Ushirikiano nimwage Mchele Mwingine..
Mkuu hapo kwenye column ya 'Religious' umeitaja VATICAN? Au ni macho yangu!
Mkuu unaonekana umejiandaa kwa mabishano. By the way nilimuuliza tu mwanzaisha mada na sipo kwa ajili ya kubishana.Vatican ndio au unataka kubisha kuwa haisuki?
lucifer-mkuu wa malaika wote waovu waliotimuliwa siku ile mbinguni na kutupwa duniani.
Kudhani kuna mtu anacontrol maisha yako na mambo yote duniani ni highest level ya ujinga
Hizi story wanapiga watu wasioenda shule na waliofeli maisha
This is called faith.
Mkuu mimi nilikuwa nacho nilipewa ka zawadi kwenye basi na m Irish mmoja nilikisoma but hakikunipendeza mwanzo but siku moja nilikuwa na chat na a friend akanitajia kitabu hicho then nikakisoma upya for sure from there nimekuwa nikijiuliza how this people are so smart na kama kweli ni binadamu wakawaida
wait a minute,is lucifer a human?!, please do stop displaying your ignorance.
Nyie mmesema Lucifer katuma hizo familia zije kucontrola na hatimaye kumaliza dunia. Kudhani kuna watu/Lucifer anawacontrol ni upu.mbavu
mpaka hapo umeonyosha hofu yako dhahiri,you sound to be under the control of illuminat family.do you know who owns www/the internet?.
Hahaha uneducated mna shida sana. Ndio maana mnadanganywa na mapastor uchwara wasio na elimu.
Mnajaribu kila kitu kurelate na Illuminati ili mfurahishe hisia zenu. Hakuna Illuminati na wala hakuna anae-control maisha yako isipokuwa wewe mwenyewe.
Watu wamegundua internet, magari, ndege na mambo yote kurahisisha maisha leo wajinga wanakaa vijiweni kusema ooh illuminati acha kutumia basi!
Umewahi jiuliza kwanini wengi mnaofall kwa hii trap ya illuminati/freemason hamna elimu na ni masikini..
Vatican ndio au unataka kubisha kuwa haisuki?
Mkuu unaonekana umejiandaa kwa mabishano. By the way nilimuuliza tu mwanzaisha mada na sipo kwa ajili ya kubishana.
mkuu hili jina unalotumia naamini unalifaham asili yake.. Kwamba ni jina la mtoto aliyezaliwa na mzazi mmoja malaika na mwingine binadamu kama sijakosea.. Subject to correction..