Hizi ndio Familia 13 za Illuminati zenye nguvu duniani Zilizopewa nafasi ya Kuumaliza Ulimwengu

Hizi ndio Familia 13 za Illuminati zenye nguvu duniani Zilizopewa nafasi ya Kuumaliza Ulimwengu

Kila familia hapa chini imepewa kazi yake ya kuumaliza Ulimwengu kutoka utawala wa Mungu hadi utawala wao wa NEW WORLD ORDER "NWO", na hizi ndo familia zinazo control dunia nzima yaani wamejivisha umungu mtu, na hizi familia hazijaanza leo wala jana zimeanzishwa kabla hata Yesu na Mtume Muhammad S.A.W na huu ndio mwendelezo wake.

Hawa ndio wenye uwezo wa kufanya Mtanzania aishi chini ya Dolla 100 au 1, kutokana na Mipango yao ya New World Order, kwenye nchi yako umefikia wapi? Wenzetu South Africa walishakubali kitambo kwa shinikizo la makaburu ndio maana unaona maisha kwao ni mepesi, bahati nzuri nimefanikiwa kukaa South, kiufupi ndio Nchi iliyoendelea kwa Africa lakini ndio Nchi inayoongoza Maovu na Laana ambayo kwa niliyo yaona mimi hayasimuliki.

Unaweza kuyasachi haya majina ya familia 13 za Illuminati;

  1. The Astor Bloodline
  2. The Bundy Bloodline
  3. The Collins Bloodline
  4. The DuPont Bloodline
  5. The Freeman Bloodline
  6. The Kennedy Bloodline
  7. The Li Bloodline
  8. The Onassis Bloodline
  9. The Reynolds Bloodline
  10. The Rockefeller Bloodline
  11. The Rothschild Bloodline
  12. The Russell Bloodline
The Van Duyn Bloodline

esp_so1x.jpg

Kwenye Dolla ya Marekani imeandikwa In God We Trust hii ndio Maana kamili;

97082_640.jpg

Nipeni Ushirikiano nimwage Mchele Mwingine..

wewe ni JUHA.
 
lucifer-mkuu wa malaika wote waovu waliotimuliwa siku ile mbinguni na kutupwa duniani.

So wakimaliza dunia what next! Mungu atakua ameshindwa na Lucifer sio

Kudhani kuna mtu anacontrol maisha yako na mambo yote duniani ni highest level ya ujinga

Hizi story wanapiga watu wasioenda shule na waliofeli maisha
 
Hawa jamaa hawajaanza leo wala jana, kitambo sana wapo ila hawawez shindana na Mungu. Kwa maana hiyo ndo maana unaona hata kufanikiwa kwao ni shida sanna na haitawezekana kamwe.
 
Topic kali sana hata pa kuingilia sipaoni,lakini mwenyezi mungu yupo nsisi kutulinda viumbe vyake.Mbarikiwe wote hapa.M/Mpamba.
 
Kudhani kuna mtu anacontrol maisha yako na mambo yote duniani ni highest level ya ujinga

Hizi story wanapiga watu wasioenda shule na waliofeli maisha

wait a minute,is lucifer a human?!, please do stop displaying your ignorance.
 
Nilisha anza nimefanikiwa kupata vitabu vita so naendelea kujifahamisha.
 
Mkuu mimi nilikuwa nacho nilipewa ka zawadi kwenye basi na m Irish mmoja nilikisoma but hakikunipendeza mwanzo but siku moja nilikuwa na chat na a friend akanitajia kitabu hicho then nikakisoma upya for sure from there nimekuwa nikijiuliza how this people are so smart na kama kweli ni binadamu wakawaida

mkuu hili jina unalotumia naamini unalifaham asili yake.. Kwamba ni jina la mtoto aliyezaliwa na mzazi mmoja malaika na mwingine binadamu kama sijakosea.. Subject to correction..
 
wait a minute,is lucifer a human?!, please do stop displaying your ignorance.

Nyie mmesema Lucifer katuma hizo familia zije kucontrola na hatimaye kumaliza dunia. Kudhani kuna watu/Lucifer anawacontrol ni upu.mbavu
 
Nyie mmesema Lucifer katuma hizo familia zije kucontrola na hatimaye kumaliza dunia. Kudhani kuna watu/Lucifer anawacontrol ni upu.mbavu

mpaka hapo umeonyosha hofu yako dhahiri,you sound to be under the control of illuminat family.do you know who owns www/the internet?.
 
mpaka hapo umeonyosha hofu yako dhahiri,you sound to be under the control of illuminat family.do you know who owns www/the internet?.

Hahaha uneducated mna shida sana. Ndio maana mnadanganywa na mapastor uchwara wasio na elimu.

Mnajaribu kila kitu kurelate na Illuminati ili mfurahishe hisia zenu. Hakuna Illuminati na wala hakuna anae-control maisha yako isipokuwa wewe mwenyewe.

Watu wamegundua internet, magari, ndege na mambo yote kurahisisha maisha leo wajinga wanakaa vijiweni kusema ooh illuminati acha kutumia basi!

Umewahi jiuliza kwanini wengi mnaofall kwa hii trap ya illuminati/freemason hamna elimu na ni masikini..
 
I like it!

Sent from my WhiteBerry using JamiiForums
 
kuna wcw hao walikuwa noma sana kwa vurugu/ kundi la kina kevin nash/sting kama sikosei alikuwa nwo na kna hulk horgan......
 
Singa singa yupo right.
Kama unakubaliana naye au hukubaliani naye siyo tatizo la SingaSinga.
Bisheni tu kama mmejielimisha vya kutoka juu jambo au mambo anayo ongelea.
Lakini kama ni kubisha kwa sababu hutaki iwe hivyo sasa yeye afanye nini?

In short hawa jamaa aliowataja hapo juu ndo Owner wa kitu mnaita Federal Reserve au Benki kuu ya USA.

Cha ajabu Federal Reserve haiko owned na US Government ni Private Organisation.
Kazi yao kubwa ni ku print hela kisha wanaikopesha serikali ya marekani kwa riba ambayo inalipwa na kila mtumia dola duniani.

Singa Singa hiii ndo taabu ya kuleta Ufunuo kwa watu ambao hawako tayari, wao wataonekana wana uelewa na wewe punguani.
Hasa hivyo usichoke endelea kuleta nondo.

Enzi zile ilikuwa ni rahisi kuuambia umma kabla ya kula osha mikono mpaka kwenye kiwiko kuliko kusema nawa vizuri ili kujinga na batkeria. Lingeingizwa neno bakteria tu shughuli ingezaliwa. Swali lingekuja

"Acha kudanganya watu bakteria bakteria, bakteria wenyewe wapo wapi?"
Ukisema ni wadogo sana huwezi kuwaona kwa macho lakini ndo huleta magonjwa
reaction ingekuwa
"Yakhe wewe umewaonaje kama hawaonekani kwa macho?"

Neno Haramu linasimama kuepusha maelezo mengi.
Hii ni haramu usiguse.
Ni rahisi kuliko kusema Handle with care.
 
mkuu hili jina unalotumia naamini unalifaham asili yake.. Kwamba ni jina la mtoto aliyezaliwa na mzazi mmoja malaika na mwingine binadamu kama sijakosea.. Subject to correction..

Mkuu Leonardo da vinci alizaliwa huko florance mwaka 1452 baba take akiwa ni ser piero da Vinci mama yake akiwa ni Caterina lakini hawakuwahi kuoana ingawa Leonardo alichukuliwa kama bastard son baba yake alimpeleka kwa Andrea del vacchio akiwa na umri wa miaka 16 ambapo alikuja kubobea katika fani za sayansi, architect,artist, painter na inginia ambapo anahesabika kuwa kama genius wa kipekee kuwahi kutokea kutokana mambo aliyowahi kufanya katika fani hizo mojawapo ikiwa ni ubunifu na uchoraji wa picha maarufu zaidi kuwahi kutokea iitwayo monalisa kuhusishwa kwake na fallen angel kunatokana na jamii ya ukoo wake uliokuwa na nguvu kipindi cha Italian Renaissance na iliyokuwa umejikita katika mambo ya nephilims rejea Genesis kaka ilivyo ainishwa katika mabandiko mengine katika uzi huu juu ya wana wa mungu na wa wanadamu hivyo kulingana na uwezo wake wa hali juu katika fani tofauti alihisiwa kuwa ni mtoto au ni sehemu ya jamii ya hao fallen Angels ingawaje kuna utata katika maisha yake ya awali kabla ya miaka 16 kwani hayakuwahi kubainishwa wazi na uwepo wa tetesi kuwa alijihusisha na secret society na ya kuwa ni moja ya blood line ya Jewish iliyokuwa na ushawishi mkubwa huku wakijikita katika misingi ya kutoa tafsiri juu tamaduni za wanefili ikiwa ni pamoja na ugunduzi wa mambo mbalimbali
 
Back
Top Bottom