CCM Music
JF-Expert Member
- Dec 5, 2018
- 1,036
- 1,788
1. Ugeni kwenye kiti cha Urais.
Kule kuingia ghafla kwenye kiti cha juu cha Urais kulimfanya Mama awe distabilized mentally kwa kiasi chake. Infact, kisaikolojia hakuwa okay maana ni Jambo la ghafla sana. Hivyo kujikuta maamuzi yake kutokuwa na base kubwa ya mizizi. Mentally alikuwa vulnerable sana. Hii ni kawaida kwa kila mtu.
Reference: Rais hakosei. Hii ni moja ya kauli yake ambayo ki ukweli hata yeye anajua Rais anakosea lkn hapa ilionyesha she was shaked mentally na hayupo very stable.
2. Ushauri mbaya.
Alishauriwa kwamba piga mchungaji kondoo watawanyike. Akaamini hivyo. Ambacho hakujua ni kwamba Mbowe ana wafuasi wengi kila pahala.
Hatujui nani alimshauri Rais Samia adili na Mbowe direct namna hii. Huwezi ku dili na Mbowe direct. Mbowe ni deep state. Ana wafuasi hadi Ikulu, Usalama wa Taifa, Jeshini, Polisi na kila sehemu hata ndani ya CCM.
Magufuli pamoja na ubabe wake alidil na Mbowe kwa kumzunguka yaani ile indirect. Mfano kupitia TRA, wakuu wa Wilaya, Polisi n.k. Hivi ndivyo inavyotakiwa.
Sasa, Mama sijui nani kamshauri vibaya kiasi kile.
Nina uhakika Rais angejipa muda wa kutosha hata miezi 6 ama mwaka wala Mbowe asingetiwa gerezani na wala Sabaya asingefungwa. Najua kwa sasa Mama anajutia sana haya mambo sema anakosa namna nzuri ya kujinasua.
3. Uanamke wake
Alidhani Mbowe hamheshimu sababu yeye ni mwanamke. Alishindwa kuelewa zile ni siasa za wapinzani yaani ni wana CCM watukutu na hatuna budi kuwazoea maana ni wana CCM wenzetu wakorofi.
Reference: Mimi ni Rais mwenye jinsia ya kike. Of koz hakukuwa na mjadala wa huyu ni Rais wa jinsia gani.
4. Alipania sana kufanya Jambo kwa Taifa hili.
Mama alipania sana ku hit the billboard kwenye nchi hasa akisukumwa na uanamke wake. Hakujua hii nchi ni ngumu. Kuna upinzani everywhere. Mpaka sasa hatujui falsafa ya Mama ni ipi. Kazi iendelee? Kuna vilio kila kona hakuna kazi/ajira bado maisha ni magumu.
Reference: Najenga nchi kwanza. Hii ni moja ya kauli zake kuhusu katiba mpya.
Ni hayo tu.